donald trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a bachelor's degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. Trump later started various side ventures, mostly by licensing his name. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. Despite being disfavored in most forecasts, he was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump has pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He recognized Jerusalem as the capital of Israel, imposed import tariffs triggering a trade war with China, and started negotiations with North Korea toward their denuclearization.
A special counsel investigation led by Robert Mueller found that Trump and his campaign welcomed and encouraged Russian foreign interference in the 2016 presidential election under the belief that it would be politically advantageous, but did not find sufficient evidence to press charges of criminal conspiracy or coordination with Russia. Mueller also investigated Trump for obstruction of justice, and his report neither indicted nor exonerated Trump on that score. A 2019 House impeachment inquiry found that in the Trump–Ukraine scandal, Trump solicited foreign interference in the 2020 U.S. presidential election to help his re-election bid, and then obstructed the inquiry itself. The inquiry reported that Trump withheld military aid and a White House invitation in order to influence Ukraine to publicly announce investigations into Trump's political rivals. On December 13, 2019, the House Judiciary Committee approved two articles of impeachment: abuse of power and obstruction of Congress.
On December 18, 2019, Trump became the third U.S. President in American history to be impeached by the House of Representatives. A Senate trial is pending.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Tanzania itarajie maumivu ushuru mpya wa Trump

    Tangu Rais wa Marekani, Donald Trump, alipotangaza viwango vipya vya ushuru kwa bidhaa zinazoingizwa nchini humo, kumekuwa na hofu kutoka kwa mataifa mbalimbali duniani ya jinsi yatakavyoathirika. Wakati mataifa mengine kwa ujumla yakitangaziwa na Marekani ushuru wa jumla wa asilimia 10 tangu...
  2. Echolima1

    Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akikaribishwa white-house na rais wa Marekani Donald Trump

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo hii amepokelewa White-house na Rais wa Marekani Donald Trump Wakiwa kwenye kikao chao watazungumza mambo mbalimbali yakiwemo vita vinavyoendelea na Hamas na Saula la Iran kushutumiwa kuwasaidia magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth huko Yemen. Ma...
  3. Heparin

    Rais Trump atishia kuanzisha ushuru mpya wa 50% dhidi ya China iwapo Beijing haitafuta Ushuru wa kisasi kwa bidhaa za Marekani kufikia Aprili 8, 2025

    Masoko ya hisa ya Marekani Jumatatu hii, Aprili 7, 2025 yamefunguliwa yakiwa yameshuka kwa kasi kwa mara ya tatu mfululizo, huku ushuru uliowekwa na Rais Donald Trump ukiendelea kulemaza biashara na uwekezaji wa kimataifa. Hali hiyo imeathiri pia masoko ya Asia, ambapo thamani za hisa nchini...
  4. Webabu

    Maandamano yaanza kwenye majimbo yote 50 Marekani kupinga utawala wa Donald Trump

    Waandamanaji maelfu walikusanyika Jumamosi katika miji mbalimbali Marekani kupinga utawala wa Rais Trump, katika maandamano makubwa zaidi tangu aingie madarakani. Maandamano hayo ya "Hands Off" yalifanyika katika majimbo yote 50 na hata nje ya Marekani, ikiwemo London na Berlin. Waandamanaji...
  5. W

    Obama amchana Trump: 'Fikiria Kama mimi ningefanya yote haya!'

    Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, ameonya dhidi ya mwenendo wa kisiasa wa Donald Trump, akisema kuwa hatua kama kusitisha vibali vya usalama na kufuta mikataba kwa kampuni zinazohusishwa na wapinzani wa kisiasa ni kinyume na maadili ya kidemokrasia. Akizungumza katika Chuo cha Hamilton...
  6. peno hasegawa

    Agenda ya Rais Donald Trump: Marekani Kwanza, Agenda ya Rais Samia Suluhu Hassan Haijulikani – Je, Tanzania Inaelekea Wapi?

    Katika siasa za kisasa, viongozi wengi wanatumia ajenda zao kuimarisha nchi zao na kujenga mwelekeo wa baadaye. Rais Donald Trump wa Marekani alipochaguliwa mwaka 2024, alileta ajenda yake maarufu ya "Marekani Kwanza." Ajenda hii ililenga kuboresha uchumi wa Marekani, kuleta ajira, na kulinda...
  7. ELI COHEN

    Trump ameshare video ya shambulio la mlipuko kutoka kwa jeshi lake dhidi Wahouthis waliokuwa katika mkusanyiko huko Yemen

  8. Yoda

    Spika wa bunge Marekani afunga bunge baada ya kushindwa kuzuia wabunge waliojifungua kupiga kura wakiwa nje ya bunge!

    Mike Johnson, spika wa bunge la Marekani amezua gadhabu kutoka kwa raia wengi na wabunge wenzake baada ya kuhairisha bunge wiki nzima kufuatia kushindwa kuzuia muswaada wa mbunge mmoja wa chama chake cha Republican uliolenga kuruhusu wabunge wenye udhuru wa uzazi(waliojifungua watoto) kuweza...
  9. Yoda

    Tariffs King, Trump kazichapa tarrifs nchi zote duniani mpaka Burundi na Israeli!

    Tarrif King, mwendawazimu Trump kaamua kuchapa dunia nzima tarrifs, mpaka Tanzania nasi tumo! Huyo mzee kachanganyikiwa anajiendea kama gari la mlevi.
  10. Mindyou

    Kim Jong Un ampa onyo kali Donald Trump asema msaada wowote wa Marekani utazuiliwa na kuangamizwa vibaya!

    Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, ameionya Marekani kupitia shirika la habari la serikali, KCNA, akisema kuwa “msaada wowote wa kijeshi” ambao Marekani itatoa katika Asia ya Kaskazini “utazuiliwa na kuangamizwa kabisa.” Hii inakuja wakati Japan inapanga kupeleka makombora ya masafa...
  11. Webabu

    Uroho wa waarabu, Trump na Netanyahu utaimaliza dunia haraka. Ni muda wa wenye hekima kuwakimbia

    Tukianza na Donald Trump kuwakilisha mabwanyenye wa Marekani ni kuwa ni waroho sana wa mali kiasi kwamba kila kitu wanataka wakabidhiwe wao ili wawagawie wengine kwa uchoyo na dhulma. Upande wa Benjamini Netanyahu kama muwakilishi wa mayahudi waliolaaniwa na Mungu wana uroho wa hali ya juu ya...
  12. Sir John Deere

    Donald Trump mambo magumu Yemen . Aiangushia lawama Iran na kuapa kuchukua hatua Kali dhidi ya Iran

    Baada ya masaa 36 ya mashambulizi ya kulipizana kisasi. Donald Trump amekuja na mpya Leo anasema mashambulizi yeyote yatakayofanywa na houth kuanzia sasa atachukulia ni Iran imehusika kuanzia silaha , intelijensia n.k. Hivi huyu trump kama Yemen wanamtoa jasho atawaweza Iran?
  13. ELI COHEN

    Ushajuliza kwa nini watu kama Elon na Donald Trump wanapata chuki kubwa nchini mwano na duniani kote ingawa wanafanya yale ya kuimarisha nchi yao?

    Katika misimamo ya ki-conservative, majemedali hawa wanataka marekani iwe marekani ya viwango vikubwa bila ya kupoteza asili, utamaduni na chapa yake ya kuwa nchi yenye nguvu zaidi duniani. Wamekuwa maadui kwa wafuatao: Mashoga Transgenders Wanaofanya abortion Wahamiaji holela Wavushaji wa...
  14. Webabu

    Marekani imechagua adui dhaifu kupigana naye kuficha aibu zake.

    Bila kuchokozwa raisi Trump ameamua tu kupiga maeneo ya Yemen akijua hiyo ni nchi dhaifu kwa miaka mingi. Kwa kujua huko nyuma wameshaipiga sana na kuvunja miundo mbinu mingi ya nchi hiyo lakini bado tu Trump ameelekeza nguvu zake huko huku akijisifu kwamba anashusha kiama huko Yemen Tukio...
  15. Webabu

    Katika vita vya kibiashara hivi Trump anakusudia kupata nini ?

    Nimejaribu kujiunga na mtandao binafsi wa Trump wa Truth Social na sijafanikiwa. Nilitaka nimuulize baadhi ya maswali anijibu na akishindwa nimpe elimu kidogo. Swali langu ni hilo hapo juu. Nilichotaka kumwambia Trump ana kwa ana ni kuwa anapigana na vita ambavyo atashindwa mchana kweupe...
  16. Waziri wa Kaskazini

    Utawala wa Rais Donald Trump unafikiria kuongeza vizuizi vya kusafiri kwa raia kutoka nchi 41 kati ya hizo za Afrika ni 22

    Utawala wa Trump unazingatia kulenga raia wa nchi hadi 43 kama sehemu ya marufuku mpya ya kusafiri kwenda Marekani, ambayo itakuwa pana zaidi kuliko vizuizi vilivyowekwa wakati wa muhula wa kwanza wa Rais Trump, kwa mujibu wa maafisa walioko karibu na suala hilo. Soma Pia: Trump asimamisha...
  17. Yoda

    Trump ayafanyia kampeni ya masoko magari ya Tesla ya Elon baada ya anguko kubwa la mauzo na hisa

    Baada ya anguko kubwa la mauzo na hisa za magari ya kampuni ya Tesla inayomilikiwa kwa hisa nyingi na kuongozwa Elon Musk, Rais wa Marekani Trump ameingia mzigoni akitumia ofisi ya Ikulu ya US, White House kuifanya matangazo ya kibiashara na kushawishi watu kununua magari ya Tesla huku...
  18. Mag3

    Mshauri Mkuu wa Rais wa Marekani Donald Trump amtaka Trump amsamehe Derek Chauvin muuaji wa George Floyd

    Elon Musk, mshauri mwandamizi wa Rais wa Marekani, Rais Trump, amtaka bosi wake huyo kumpa msamaha muuaji, Derek Chauvin, mweupe, aliyekuwa na cheo cha afisa wa polisi nchini humo. Elon Reeve Musk ni tajiri mkubwa anayemiliki kampuni za Tesla, Inc., SpaceX, na Twitter, na pia ofisa mwandamizi...
  19. ELI COHEN

    Utawala wa Trump wautaja tena waasi wa Houthi kuwa "shirika la kigaidi la kigeni"

    Pesa ya kujenga nchi waliyoiharibu wenyewe hawana ila ya kurusha makombora kwenda Israel na USA wanayo. MATAPELI! ============= Wizara ya Mambo ya Nje siku ya Jumanne ilirejesha tena hadhi ya "shirika la kigaidi la kigeni" kwa kundi la Houthi linaloungwa mkono na Iran nchini Yemen, ikitimiza...
  20. R

    Mbona mapema sana ? Baada ya Zelensky kukataa kusaini mkataba wa madini Marekani na kutimkia ulaya, kabadili msimamo yupo tayari kusaini,

    Siku chache zilizopita Zelensky alitrend kweny vichwa vya habari kwa kukataa kusaini mkataba huku baadhi ya vyombo vikimsifu ni shupavu, hodari, Hero, n.k. Zelensky alidhani kwamba baada ya kukimbia Marekani na kuelekea Ulaya angeliweza kupata msaada mkubwa zaidi, Lakini alijikuta na mshangao...
Back
Top Bottom