Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema ushirikishwaji wa sekta binafsi ni muhimu katika kufanikisha malengo ya maendeleo ya Tanzania, hasa azma ya kufikisha thamani ya uchumi wa Taifa hadi dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050.
Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Jumapili, Septemba...