dodoma

  1. JamiiForums Tanzania Dodoma: Bunge la 13, Mkutano wa Kwanza, Kikao cha 3, Novemba 13, 2025

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jina la Mbunge huyo wa Iramba Magharibi limewasilishwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Brigedia Jenerali Nyamburi Mashauri kwa ajili ya Bunge...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano tarehe 09/12 Nguvu kubwa tuwekeze Dar, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Arusha

    Wazalendo, Ukombozi wa nchi yetu unakaribia. Tulichokifanya tarehe 29/10/2025 hawatakuja kukisahau. Tulifanikiwa kuuzuia uchaguzi. Ilikuwa muhimu vijana kuwepo kila sehemu ili kuuzuia uchaguzi. Sasa tunahitaji kuchukua nchi. Inatakiwa nguvu kazi kubwa iwe maeneo muhimu na yenye impact kubwa...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2

    Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2025.
  4. JamiiForums Tanzania Nauza wine kutoka Dodoma kwa ujazo wa Lita 1, 3 na 5

    Habari wana jukwaa, nauza Sweet na dry Red Wines kutokea Dodoma kwa ujazo wa Lita 1, Lita 3 na Lita 5...Lita 1 ni Sh.7000/=, Lita 3 ni Sh. 18,000/= na Lita 5 ni Sh.27,000/= (Bei hizi ni za reja reja)....Karibuni sana na Mikoani tunasafirisha pia kwa uaminifu mkubwa sana.
  5. JamiiForums Tanzania Dodoma: Mkutano wa Kwanza Bunge la 13 November 11, 2025

    Leo, Novemba 11, 2025, Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaanza rasmi vikao vyake kwa kufanyika kwa kikao cha kwanza cha mkutano wa kwanza wa Bunge hilo. Kazi kubwa inayotarajiwa kufanyika leo ni uchaguzi wa Spika wa Bunge, ambapo vyama Sita vimewasilisha wagombea huku mgombea wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kapata Chuo Dodoma Asome Accounts Akiwa Amesoma PCB –Ushauri

    Habari wakuu, Naomba kupata mawazo yenu kuhusu hili. Mdogo wangu amefaulu vizuri kidato cha sita akiwa na combination ya PCB, lakini amepangiwa kusoma chuo kimoja huko Dodoma Bachelor of Commerce in Accountancy katika. Hii kozi hakuichagua kabisa. Jana kapokea majibu ya mkopo kutoka HESLB na...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Watu wengine 25 waongezwa kwenye mashtaka ya Uhaini Dodoma, idadi yafikia 187 nchi nzima

    Watu wengine 25 wameongezwa kwenye mashtaka ya Uhaini Dodoma, idadi yafikia 187 nchi nzima. Awali, watu 17 walipandishwa kwenye mahakama hiyo hiyo ya Hakimu Mkazi Dodoma. Kwa sasa, mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu ina watuhumiwa 145 na Hakimu Mkazi Dodoma ina watuhumiwa 42. Pia soma GE2025 -...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Why Samia Anaiogopa Ikulu ya Dar?, je ndo rasmi Serikali imehamia Dodoma

    Kumekuwa na malalamiko muda mrefu kwa matumizi makubwa ya pesa za Umma toka ikulu ihame dae kwenda Dodoma, Kwani Rais Samia alipendelea sana kufanyia kazi ikulu ya Dar kuliko ile ya Dodoma, hivyo kusababisha viongozi wengi wa serikali kulipwa pesa za safari nyingi. wanapokuwa ikulu ya Dar. cha...
  9. JamiiForums Tanzania DODOMA: Kama Kuna Mdau Muda Huu Upo Macho

    Usingizi umepotea ukiwa Dodoma basi tuambie kinachoendelea toka saa 23hrs hadi muda huu?. Nimepita hapo naelekea Singida nyuma nasikia kimewaka kwenye baadhi ya mitaa, kuwa njugo zina rushwa ovyo!. Je, ni kweli ?.
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania awamu ya Sita

    Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
  11. JamiiForums Tanzania Mkuu yeyote wa kikosi cha Dodoma ashike Ikulu cha Chamwino. Kwa Dar es Salaam ashike Magogoni. Tumeshashinda

    Imeisha Wakuu wa Vikosi vya JWTZ Dodoma tunaomba mji organise mshike ikulu ya Chamwino Kwa Wakuu wa Vikosi vya JWTZ Dar tunaomba mshike Ikulu ya Magogoni Wengine washike Benki Kuu, wengine TBC. Airport tayari zipo chini ya Jeshi. Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki JWTZ
  12. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Dodoma tumeni salamu hapo Bungeni na Ofisi za Tume ya Uchaguzi

    Wananchi wa Dodoma, ccm wamelitumia sana hilo jengo kupitisha sheria mbovu za kidhalimu zilizotukandamiza wananchi vibaya sana. Tunawaomba mliopo Dodoma, katumeni salamu hapo Bungeni na kwenye jengo la Ofisi za Tume ya Uchaguzi. Jeshi likichukua nchi tutawaomba tangazo la kwanza liwe ccm ni...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa Rais Samia akizungumza Na Waandishi wa Habari Baada ya Kupiga Kura Chamwino Dodoma.

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Hapa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge akizungumza na...
  14. JamiiForums Tanzania Dodoma kuna nini? Magari ya JWTZ, PT na TISS yanapishana tokea jana usiku

    Tangu jana kumekuwa na ongezeko kubwa la magari ya viongozi wa kijeshi yakitokea Mpwapwa kuingia Dodoma mjini. Wiki hii nzima hali haijawa ya kawaida—magari ya polisi, Jeshi la Wananchi (JWTZ), na maofisa wa usalama wa taifa yamekuwa yakionekana kwa wingi, hasa katika njia kuu ya kutoka Dar es...
  15. JamiiForums Tanzania Tarehe 29, Amri zitatolewa akiwa ikulu ipi? Dodoma? Dar? Zanzibar? Au nyumbani?

    Ki msingi naona Kuna a well calculated plan. Huwenda siku hiyo asiwepo kabisa hapa TANGANYIKA na kuwaacha watanganyika waone lipi Bora la kufanya huku akimwaga amri kutokea nchi nyingine. Nauliza tu. Atakuwa chimbo lipi?
  16. JamiiForums Tanzania Kwa wakulima wa Morogoro na Dodoma, TRC wamerahisisha usafirishaji wa mazao yenu kwa kuwaletea Mabehewa ya cold chains

    Kwa wale wakulima mliokua mnaogopa kusafirisha mazao yenu kuja Dar kwa kuhofia kuharibika bidha zenu za mazao sasa TRC wanawaletea mabehewa haya kwa ajili ya kuhifaadhi mazao yenu kama mboga, matunda na kufika mjini yakiwa fresh, kwa wanaotaka kusafirisha mazao yao ndan ya majokofu haya unaweza...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa Dini na Wananchi Dodoma wasisitiza umuhimu wa Amani kwa Maendeleo ya Taifa

    Kuelekea kwenye Zoezi la uchaguzi Mkuu wa Tanzania Jumatano ya Oktoba 29, 2025, Viongozi wa dini, kijamii pamoja na wananchi wa Mkoa wa Dodoma wameungana pamoja kuhimiza amani, wakiitaja kama rasilimali muhimu kwa maendeleo ya Kijamii, kiuchumi, Viongozi wa dini wakisema amani ndiyo Neema muhimu...
  18. JamiiForums Tanzania Dodoma: Hofu yatanda Nzuguni baada ya kundi la ‘Teleza’ kuwavamia Wanawake Usiku na kuwabaka

    Huko Arusha miaka kadhaa nyumba iliyopita alikuwa jamaa anaitwa teleza naye alikuwa na michezo hii. Baada akapotoa Haya huko Dodoma wamejitokeza wengine, hii sasa ni balaa tu ======================== Wakazi wa Mtaa wa Nzuguni B, Kata ya Nzuguni, Jijini Dodoma wameingia katika hofu kubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Dodoma: Issa atuhumiwa kubaka na kulawiti watoto watatu

    Mwanaume anayefahamika kwa jina la Issa Ramadhani (35), mkazi wa Mtaa wa Mnyakongo, Kata ya Nkuhungu, jijini Dodoma, anatuhumiwa kwa kumbaka na kuwalawiti watoto watatu wenye umri chini ya miaka mitatu, na kuwasababishia majeraha makubwa sehemu za siri. Tukio hilo linadaiwa kutokea mnamo Agosti...
  20. JamiiForums Tanzania Hello Dodoma

    Hello wana October natarajia kusafiri kuja dodoma ni sehem gan nzuri ya kufikia kwa mtu asie na mwenyeji 🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…