dodoma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Jiji Dodoma amefeli zoezi la urasimishaji makazi Nzuguni A

    Mheshimiwa Rais sisi wakazi wa Nzuguni A tunakuomba uingilie kati zoezi hili lisiloisha kwa wenye makazi na viwanja katika eneo la Nzuguni A. Zoezi hili linakaribia mwaka wa tatu lakini imekuwa linaenda kwa kusuasua sana urasimu umekuwa ni mwingi l, ubabaishaji na Rushwa imekithiri kupelekea...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua sehemu wanapouza kuku wa kisasa wa mayai Jijini Dodoma

    Wadau habarini, Msaada kwa mtu anaeishi jijini Dodoma na anajishughulisha na uuzaji wa kuku wa kisasa wa mayai wanaotaga mwezi kwa mwezi ,kama yupo tuwasiliane tafadhali nahitaji hio bidhaa.
  3. JamiiForums Tanzania Dodoma: Katibu Mkuu CCM akutana na Katibu Mkuu wa CNDD - FDD cha Burundi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo leo tarehe 10/06/2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Tawala Cha Burundi cha CNDD -FDD Ndg. Reverien Ndikuriyo. Mazungumzo hayo yemefanyika katika Ofisi za Makao za Makao Makuu ya CCM jjini Dodoma. Katika...
  4. JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali kuzindua Makao Makuu ya kitaifa ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi

    Kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika, Serikali inatarajia kuzindua Makao ya Taifa ya Malezi na Makuzi ya Watoto yaliyojengwa katika Kata ya Kikombo, jijini Dodoma. Akizungumza leo na Waandishi wa Habari jijini Dodoma, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto, Dkt Dorothy Gwajima...
  5. JamiiForums Tanzania Lucy Mahenga: Huduma katika Hospitali Kuu ya Mkoa wa Dodoma sio ya kuridhisha

    Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Mahenga, amesema huduma katika Hospitali Kuu ya Mkoa wa Dodoma sionza kuridhisha, vitu vingi vina kasoro na wananchi wamekuwa wakilalamika. Akiwa Bungeni amesema, "Hospitali imekuwa ikihudumia Wagonjwa wengi sana, hasa kutokana na kwamba idadi kubwa ya Wananchi...
  6. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia afanya mkutano na Wanawake ukumbi wa Jakaya Kikwete

    Wanawake zaidi ya 10,000 Mkoa wa Dodoma makundi mbalimbali wanatarajiwa kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 8 mwaka huu katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete. Hayo yamesemwa leo Juni 6,2021 na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  7. JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali yasitisha mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa kati unaopita kata ya Nkuhungu

    Serikali ya awamu ya tano ya Hayati Magufuli sote twajua iliasisi miradi mingi ktk maeneo mbalimbali ya nchi, mfano bwawa la Mwl. Nyerere, Reli ya Mwendokasi (SGR), barabara za njia nane,ringroads na miradi mingine mingi. Miradi hii kiukweli ilileta mabadiliko makubwa ya maendeleo ya miji na...
  8. JamiiForums Tanzania Bungeni, Dodoma: Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba aeleza changamoto za Wizara hiyo

    Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba amesema licha ya kutekeleza majukumu, Wizara hiyo imekumbwa na changamoto mbalimbali Akiwa Bungeni, ametaja baadhi kuwa ni ugumu wa kutoa viwango stahiki vya fidia kwa waaathirika wa ajali za mali za Serikali kutokana na kukosekana #Sheria/Mwongozo wa...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia, usipoteze dhumuni la kuifanya Dodoma kuwa jiji la mfano kimpangilio

    Amani iwe nawe Mama yetu Mpendwa! Leo naomba nikuandikie ushauri wangu juu ya suala la mipango miji hasa kwenye mikoa yetu / majiji yetu, ikiongozwa na Jiji la Mfano Dodoma! Kusema kweli nilitembelea Dodoma kipindi Kunambi akiwa Mkurugenzi wa Jiji na wiki hii iliyopita nilikuwa tena Dodoma kwa...
  10. JamiiForums Tanzania BAKWATA, huu utaratibu gani? Dodoma kuna Sheikh wa Mkoa, kwanini Sheikh wa Mkoa wa DSM anatuingilia kuja kupiga dua hafla za Serikali?

    Ninajua Sheikh wa Mkoa was Dar es Salaam alizoea kualikwa katika hafla mbalimbali za kitaifa na pengine alikuwa anafaidika kinamna fulani, sasa anaelekea kuvuka mipaka. Mamlaka yake yanaishia Dar es Salaam lakini inaonekana uamuzi was kuhamia Dodoma ulimuumiza sana sasa kaamua kuvamia hafla za...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde aanza kuboresha miundombinu ya Viwanja vya Michezo vya Shule za Msingi na Sekondari Dodoma Jiji

    MBUNGE MAVUNDE AANZA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIWANJA VYA MICHEZO VYA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI DODOMA JIJI. Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ameanza kuboresha miundombinu ya viwanja vya michezo katika shule za Msingi na Sekondari za Jiji la Dodoma kwa kulenga la kukuza...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Anthony Mavunde aiomba Wizara ya Nishati kutoa matangazo ya fursa katika ujenzi wa Bomba la Mafuta-Hoima

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Antony Mavunde amempongeza Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa za kuharakisha utiaji saini wa Mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta la Hoima - Tanga. Maana Mradi huo utatoa ajira zaidi ya elfu kumi na tano (15,000) kwa Watanzania. Hivyo...
  13. JamiiForums Tanzania Chamwino, Dodoma: Rais Samia Suluhu awaapisha Makatibu Tawala

    Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami. ========== Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
  14. JamiiForums Tanzania Mchezaji Mamadou Sakho na Mkewe watinga Bunge la JMT, Dodoma

    NYOTA wa Klabu ya Crystal Palace na timu ya Taifa ya Ufaransa, Mamadou Sakho na Mkewe Majda Sakho wamewasili Bungeni kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali za Kibunge. Mamadou Sakho ni Balozi wa Hiari Utalii Tanzania.
  15. JamiiForums Tanzania Tanesco Dodoma bado hawataki tulipe 27,000 kuunganisha umeme

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Licha ya waziri wa nishati kuelekeza kuwa wananchi waunganishiwe umeme kwa 27,000 tanesco Dodoma bado wamekaidi agizo hili. Wameamua kuwaunganisha wateja wenye nguzo karibu na nyumba zao huku wengine wakiambiwa walipie gharama za kuwasogezea nguzo karibu...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Ni kivipi Serikali itajiwajibisha Kwa upotevu wa mabilioni ya fedha kuhamia Dodoma kumbe ni geresha?

    Upole wtu ni mzuri na unapaswa uendelezwe Kwa kila mtu, lakini endapo tunataka tuondokane na kichefuchefu cha umasikini uliotopea, some time ni kuvunja upole wetu hasa linapokuja swala la masilahi ya nchi yetu Kwa ujumla, Ni Kwa namna gani serikali tunaweza kuiwajibisha inapotumia fedha zetu...
  17. JamiiForums Tanzania Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

    Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako. Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao...
  18. JamiiForums Tanzania FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa

    Patashika ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC), hatua ya robo fainali, kupigwa leo Jumatano ya Mei 26, 2021 ambapo Mabingwa Watetezi Simba SC, wanawakaribisha Dodoma Jiji FC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mchezo unatazamiwa kuwa mkali sana kwa kila timu...
  19. JamiiForums Tanzania Fursa ya mboga mboga na matunda Dodoma

    Habarini wana jamvi. Kutokana na kukua kwa kasi ya kuridhisha kwa jiji la Dodoma, kuna mahitaji yanayoongezeka kutokana na umuhimu wake kwa maisha ya binadamu ya kila siku. Uhitaji wa mboga mboga na matunda unakua kwa kasi kubwa. Uhitaji huu ni wa wote, yaani wauzaji na wazalishaji. Kwa wale...
  20. JamiiForums Tanzania Anayejua chimbo la hizi bidhaa kwa Dodoma

    Kwema wapambanaji? Napenda anayefahamu mahali wanapozalisha hizi ice cream cone biscuit pekee na kuziuza kwa bei ya jumla kwa hapa Dodoma Mjini. Nitafurahi kama nitapata msaada .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…