dodoma

  1. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Meneja wa NHIF Dodoma na Watumishi waliokiri kuiba fedha hawajachukuliwa hatua za kisheria na kinidhamu

    Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri wa Afya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Mwaka 2022 zililipotiwa taarifa za Wizi wa fedha za Umma zilizosganywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma pamoja na Watumishi wa Mkoa huo kufanya ubadhirifu wa fedha za...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mbunge Ditopile atoa msaada kwa wanafunzi 1,000

    Wanafunzi 1,000 wanufaika na msaada wa vifaa vya shule vyenye thamani ya tsh. milioni 32 kutoka kwa Mariam Ditopile Mbunge wa Viti Maalum kupitia CCM mkoani Dodoma. Mbunge viti Maalum Mkoa wa Dodoma anayetokana na Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Mariam Ditopile amewawezesha wanafunzi wenye...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Job vacancies in Dodoma

    A new Lodge located at Nzuguni Dodoma is looking for the following qualified staff A full-time manager with at least 3 years’ experience and a diploma or degree in hotel management A full-time receptionist with appropriate knowledge and at list 3 years’ experience in the hotel field. A full-time...
  4. JamiiForums Tanzania Kila mwana Simba SC ninayemwomba anipangie kikosi cha leo ananipangia hiki je, kitatuokoa na aibu leo Dodoma?

    1. Aishi Manula (Nisiyempenda ) 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Mohammed Outarra (Nisiyemwamini) 6. Ishmael Sawadogo (aliyekosa Timu tokea February mwaka Jana 2022) 7. Kibu Denis (Nisiyemuelewa kabisa) 8. Nassoro Kapama (sijui hata nani alimsajili Simba SC) 9...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Wajue Matycoon, richest business men in Dodoma

    Kama Tunavyojua, Nchii hii imebarikiwa kuwa na wafanyabiasha wakubwa sana na wanafahamika nchi nzima, wakiwemo Kina MO, Rostam, Marehemu Mengi, Patel, etc. Sasa Leo tupate Fursa ya kuwajua wafanyabiasha wakubwa na matajiri ndani ya Mkoa was Dodoma, Japo ni mkoa upo nyuma Kimaendeleo lakini Kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Leo Dodoma hali ya hewa ni upepo mkali na vumbi

    Nimepita Dodoma Muda Wa Saa 18:00 Kulikuwa Na Upepo Mkali, Na Giza Nene Ambalo Limefanya Watu Kukimbia Huku Na Huko Kutafuta Sehemu Za Kujikinga Na Vumbi Ambalo Upepo Wake Ulikuwa Na Kasi. Nimeona Miti Ikivunjika Na Kudondoka Chini, Pia Huenda Baadhi Ya Nyumba Zikakumbwa Na Uharibu Mkubwa Leo...
  7. JamiiForums Tanzania Mazoezi ya kuzuia majanga ya moto yazua taharuki TRA Dodoma, mmoja akimbizwa Hospitali

    Baada ya watu 191 kunusurika kwenye tukio la moto katika jengo la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), tukio hilo limetajwa kuwa ni mazoezi ya kukabiliana na majanga ya moto. Licha ya kunusurika huko mmoja wa wafanyakazi wa Mamlaka hiyo alikimbizwa katika kituo cha afya cha Makole kupatiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mkutano wa mjadala wa utekelezaji wa mradi wa uimarishaji ya miliki ya ardhi(land tenure improvement program)

    MKUTANO WA MJADALA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UHIMALISHAJI YA MILIKI YA ARDHI (LAND TENURE IMPROVEMENT PROGRAM) Tumefungua mkutano wa mjadala wa Utekelezaji wa Mradi wa uhimalishaji Salama ya Miliki za Ardhi yaani Land Tenure Improvement Program. Mradi huu unakwenda kupima, na kutambua Vipande...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ukuta huu uliopo Kikuyu Dodoma ni wa taasisi gani?

    Wakuu, huu ukuta upo Kikuyu Dodoma, Ni wa taasisi gani?
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ipeleke BRT Dodoma & Mwanza etc

    Nimetoa mikoa hiyo miwili kama mfano tu wa mikoa mingine. Mwanza na Dodoma walau ni tambarare na urahisi kidogo wa kujenga barabara unaweza kuwepo. maeneo hayo yanatakiwa yaanze kujengwa miundombinu ya kisasa mapema. vilevile, kwasababu umeme utakuwepo, sio mbaya tukajenga na trams kwenye mikoa...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi au shughuli yoyote, nipo Dodoma

    Habari, Kama kichwa kinavyo sema hapo juu, mimi ni kijana nina miaka 26 elimu ya stashada ya maendeleo ya jamii kwetu ni mtwara kwasasa nipo Dodoma, Ujuzi nilio nao tofauti na elimu yangu: . Ujuzi wa computer hasa exel,word na publisher . Saluni ya kiume(kunyoa) . Kuandaa miradi, nipo hapa...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dodoma karibu wote ni CCM ikiwemo watu wa kijiji cha Mpwayungu

    Yaani nimeshangaa kumbe ndiyo maana hiki kijiji ni maskini na wananchi wa hivi vijiji hawajielewi ikiwemo kijiji cha Mpwayungu. kijiji cha Mpwayungu watu wote ni wanachama wa CCM. CCM imeshika mizizi mkoa wa Dodoma na vijiji vyake vya mkoa huo ikiwemo kijiji cha mpwayungu. CCM imeshika mizizi...
  13. JamiiForums Tanzania Toba: Naombeni wana Mwanza mnisamehe

    Kwa kweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu . Nikiri wazi kwamba nimekuwa nikishiriki kulifananisha jiji la Mwanza na Jiji la Arusha nikisema kuwa Mwanza na Arusha ni Sawa tu na mara nyingine huwa naenda mbali hadi kusema Arusha ni jiji zuri kuliko Mwanza. Ilifikia kipindi hadi nikawa nasema...
  14. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Mkuu okoa wananchi wa Dodoma jiji D Center Makole. Wanadhulimiwa haki yao, wapewa fidia eneo ambalo kumbe mali ya MSD medeli AC Block 157

    Kichwa cha habari cha jitosheleza ,wananchi wa makole D center halmashaur ya jiji walihamisha kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali. Mwanzo walitakiwa kufidiwa kwa malipo ya hela ila halmashauri wakasema fungu lililotengwa lilichukuliwa tena serikali...
  15. JamiiForums Tanzania Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu

    Kutokana na maiti kukosa ndugu wa kuzipa heshima ya mwisho, Halmashauri ya Jiji la Dodoma imezika jumla ya maiti 59 zilizopokelewa katika kipindi cha Januari hadi Desemba 19. Mapema mwezi huu, gazeti hili liliibua sintofahamu ya miili 19 iliyokuwa imekosa ndugu hivyo kutakiwa kuzikwa kwa mujibu...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kusudio la kuuza kiwanja chenye ukubwa 1.48 hectres = sqm2 14,800 Dodoma eneo la Mwangaza

    Ndugu wana JF habari ya majukumu? Napenda kutoa taarifa juu ya kusudio la kuuza kiwanja namba 10 D-centre Mwangaza lililopo Dodoma mara tu baada ya kukamilisha upatikanaji wa Hati ya eneo hilo ifikapo mwakani mwezi Januari au Februari kwakuwa eneo lilikuwa limetwaliwa na wenye nguvu almaarufu...
  17. JamiiForums Tanzania Tunaokwenda usiku huu Dodoma tupite Didz, Starpark, Samaki Morogoro, ntakuwepo sehemu zote

    Hello guys hope mko byee, wale tunaoelekea dodoma usiku huu karibu Tupite Didz, starpark, na samaki hapa morogoro tule bata za kimtindo, tufanye matumizi ya pesa, njoo ukinikuta una bill yako ya bia 5 na nusu ya mbuzi au ng'ombe choma. Maisha ni zawadi na maisha ndio haya haya, maisha ni watu...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi spare za DT Yamaha hapa Dodoma?

    Naam kwa wakazi wa Dodoma naomba mnisaidie na hili. Nahitaji kununua spare kadhaa za pikipiki yangu Yamaha DT 125, je, nitapata duka lipi apa Dodoma mjini?
  19. JamiiForums Tanzania Msaada mabasi ya kwenda Arusha toka Dodoma

    Naomba msaada kujua mabasi ya kwenda Arusha, nilikuwa napanda Shabiby na yamejaa mpaka tarehe 26, binafsi nataka safiri kesho mchana tarehe 21.
  20. JamiiForums Tanzania Kuna basi la moja kwa moja ama kuunga kutoka Dodoma hadi Mbeya Kuanzia saa tatu asubuhi?

    Habari zenu waheshimiwa, Naombeni mnijuze kama kuna basi la kutoka dodoma hadi Mbeya kuanzia saa tatu asubuhi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…