dodoma

  1. Dar Ceramica yatinga Dodoma kwa kishindo

    DODOMA Ijumaa Oktoba 6, 2023: Moja ya makampuni yanayoongoza katika vifaa vya ujenzi katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati, Dar Ceramica Centre, leo imefungua rasmi milango kwa wakazi wa Dodoma na mikoa jirani ili pamoja na mambo mengine kukidhi mahitaji yaliyopo sasa hivi katika miradi ya...
  2. Ulanguzi wa Maji Dodoma: Waziri wa Maji Chukua Hatua

    Hii nimepenyezewa na watani zangu wa kigogo Wananchi wa Dodoma wanataabika kupata maji kutoa mamlaka yao ambayo ni Duwasa, huku Duwasa wenyewe wakiwapelekea wauza maji wenye matenki chini ya ardhi ili wauze Imekua ni kawaida kwa Duwasa kutoa ratiba ya maji ambayo hawaitekelezi. Ikifika Siku ya...
  3. viwanja vya Dodoma & Arusha vijengwe kwa AFCON

    Naishauri serikali ijenge viwanja hivi haraka iwezekanavyo, kwa ajili ya kugombania michezo ya AFCON 2027. Kenya wanajenga viwanja vyao vizuri sana na kuna uwezekano michezo mingi ikachezwa kule kama hatutachangamka. Dodoma wajenge uwanja hata wa watu 30,000 tu, na Arusha 30,000. tukimaliza...
  4. Nini kifanyike kupunguza au kuondoa kero ya upepo mkali wenye vumbi Dodoma?

    Wataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambatana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema...
  5. Piga kelele uwanja uliokusudiwa Dodoma ujengwe

    Ujio wa AFCON nchini ni fursa kwa mji wa Dodoma, Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania, lakini hauna uwanja wa michezo wa serikali baada ya uliokuwepo kuporwa na CCM kama ilivyotokea kwenye miji mingine. CCM inataka kutumia pesa za umma kuuendeleza uwanja wake (haramu) wa Arusha badala ya kuzitumia...
  6. Amekuja Dodoma na vingi

    Huu ni mwaka wa sita toka nilivyoanzisha uzi humu JF kuhusu mdogo wangu aliyepata GPA ya majonzi 0.3 kwenye matokeo yake ya kidato cha nne enzi hizo ya motoo na inavutia kweli kweli siku hizi wanajua wenyewe ilivyokuwa haili muda wangu tena. Uzi wenyewe huu hapa...
  7. Kwanini Uwanja wa Mpira Dodoma ulikuwa uwe wa kuchukua Watu 100,000, lakini Samia anaujenga wa Watu 30,000 tu?

    Najua mtachukia ni nani kanipa Taarifa hii GENTAMYCINE, ila kamlaumuni Rais wa TFF Karia ambaye akifanyiwa Exclusive Interview na Azam Tv lilimchoropoka na akaliropoka hili na kama Kawaida yangu Bingwa na Mzee wa Kunyaka ya Muhimu tu Nikalinyaka na leo naliwasilisha. GENTAMYCINE naomba kujua ni...
  8. Nisaidieni kupaza hii sauti iwafikie Wakuu wa Nchi, Sakata la bodaboda Dodoma ni zaidi ya mateso kwa vijana wetu

    Habari wakuu, Naandika huu ujumbe kwa maumivu makali sana, kilio simanzi na maumivu yasiyoelezeka, Nilishawahi kuleta mada hii hapa jukwaani bahati mbaya sana haikupata wadau wengi, haikupata wachangiaji na mwisho wa siku uzi wangu ulifunikwa na nyuzi za vichekesho, vibonzo na stori za...
  9. Refund ya Ada chuo cha Mipango Dodoma, Mamlaka husika ziingilie kati

    Habari za Saizi wana jukwaa. Nimeleta mada hapa jukwaani nikiamini mamlaka husika wataona na kulishughulikia haraka. Ni zaidi za miezi kadhaa imepita dogo alinigusia habari kuwa alikuwa amelipa ada na amemaliza ada yote lakini baadae alikuja kujua kuwa bodi pia walimlipia kiasi cha ada, na...
  10. Dodoma ndo ilipaswa iitwe Rock city

    Ukiachana na Symbolic rock ya Mwanza, Dodoma naamini inaongoza kwa mawe na miamba mingi, nadhani ikifuatiwa na Singida, Dodoma ndo Rock city. Mwanza ni Kibua city
  11. A

    DOKEZO Kuna mazingira ya rushwa kwa Askari wanaoomba kwenda Kozi

    Nimeamua kuandika hapa kwa kuwa JamiiForums inafuatiliwa na watu wengi ndani na je ya Nchi, mtandao huu unafuatiliwa na watu wa kawaida, Viongozi na Watu wengine mashuhuri. Ningependa kuwaomba kwa unyenyekevu mkubwa kabisa andiko langu hili liende hewani. Ikiwezekana andiko hili lifikisheni...
  12. Dodoma: Wanaodaiwa kuwa wapenzi wakutwa wamefariki

    Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni wapenzi wamekutwa wamefariki dunia huku mwanamke akiwa amechinjwa na mmwanaume ambaye hajafahamika jina akiwa na jeraha kubwa tumboni lililosababisha utumbo kutoka nje. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo Jumatatu Septemba 18, 2023 katika Mtaa wa...
  13. Dodoma: Aliyekuwa akisafirisha Mirungi afariki dunia wakati akijaribu kuwakimbia Polisi

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Mkacha Mohamed (35), mkazi wa Soya wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma, amefariki dunia baada ya kuanguka na pikipiki akiwa na mwenzake wakiwakimbia Polisi wa Kibaya waliokuwa kwenye doria kijiji cha Namelock. Vijana hao walikuwa wanasafirisha shehena ya dawa...
  14. Dodoma yaweza kuwa kama Windhoek

    Kwa wale waliobahatika kufika Windhoek, kuanzia ukame, tambarare na hali ya hewa vinalingana kabisa na Dodoma, hadi ukavuukavu. Nilipita Dodoma last week kuna maeneo kama unaelekea udom, hazina hadi kule makao makuu ya mahakama, kuna vigorofa vingi vinaibuka na kuna uwezekano pakafanana au...
  15. Kero ya barabara ya Morogoro - Dodoma

    Ndugu zangu TANROAD niwaombe sana mtuonee huruma na vigari vyetu na usalam pia. Kilichofanyika barabara ya Morogoro kwenda Dodoma mbele ya hotel ya Flomi karibu na kituo cha kupozea umeme hapo msamvu ni kero. Zile rasta mlizoweka 6 zinaumiza magari na nimeshuhudia ajali mbili mfululizo...
  16. B

    Ridhiwani Kikwete: Marufuku ruhusa za kwenda Dodoma.

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewaagiza Maafisa Utumishi wa Halmashauri zote nchini kuacha tabia ya kukaa ofisini badala yake watembelee ofisi za watumishi zilizopo katika Kata na Vijiji ili kutatua changamoto za watumishi...
  17. D

    Where is SGR? 2 years delays? infrastructures?

    It’s 2023 , we have not progress kabisa In infrastructures . Leo kutoka Dodoma Dar ni shida. No buses no nothing . Yani natumia 12 hrs kwa bus . Kweli ? When. Will people work . Serikali hii vipi ? Wana fanya nini sasa? Au wengine Huko kuna kitu wanafanya? Maji shida? umeme shida? Usafiri...
  18. Dodoma: Spika Tulia aitaka Serikali ifanye tathimini kuhusu mfumo wa uagizaji mafuta

    SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson ametaka ifanyike tathmini ya mfumo mpya wa uagizaji mafuta nchini. Ametoa kauli hiyo bungeni muda mfupi kabla ya kusitisha shughuli za bunge mchana leo Septemba 7, 2023 na kusema ni wakati mwafaka kwa serikali kufanya tathimini kwa mfumo huo wa uagizaji mafuta...
  19. Ujenzi wa Bwawa Jijini Dodoma Umefikia Wapi kwa Maendeleo ya Kanda ya Kati?

    Wakuu Kama mada ilivyowekwa mezani kwa utaratibu wa swali nikiwa miongoni mwa wananchi wa Tanzania ambao pia eneo la Dodoma, Singida, Manyara Na Tabora ni mojawapo ya sehemu ninazoweza kutembelea lakini pia wakazi wa maeneo hayo pamoja na serikali kuu mradi huu wa ujenzi wa bwawa kubwa kwa...
  20. D

    Wakristo Zanzibar na wao hawataki kuongozwa kutoka Dodoma na Askofu Mkuu Dkt. Mndolwa

    Mama anaezungumza kwa niaba ya Wakristo wa Kanisa la Anglikana Zanzibar (Kanisa mama), anasema hawataki tena kuchukua maelekezo kutoka Dodoma au kwa Askofu Mkuu Dkt. Maimbo Mndolwa ! Anasema ni vyema sasa wakawa na utaratibu kama wa ndugu zao Waislam wa Zanzibar ambao taasisi yao haipokei...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…