dodoma

  1. akatiwanya

    JamiiForums Tanzania Nina tsh 15,000/= nataka kwenda Dodoma, ni chimbo gani naweza kupata usafiri wa kiasi hicho?

    Haina kujieleza sana familia, ni dharura na kwenye mfuko wa shati nina hiyo kumi na gwala tu, kwa heshima na tahadhima familia nawaombeni mnielekeze chimbo ambalo nitapata usafiri wa hela hiyo. Jioni njema
  2. Kitchener

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkurugenzi wa Jiji Dodoma fuatilia watoza huduma maegesho wako!

    Niliamua kutembelea waifu kwa wiki kama 2 Dodoma nimegundua kitu fulani cha ajabu sana kwenye maegesho ya magari Dodoma. 1. ukiegesha gari, mtu anakuja kuscan namba ya gari, hata dakika chache hazijafika mwingine anafanya hivyo. nilipouliza mmoja akaniambia wanaweza kuscan 500 hadi 3000...
  3. Nsinambi the Don

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa Dodoma

    Shamba linauzwa hakuna udalali lipo DODOMA kata ya chihanga Lina ukubwa wa heka 4 linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji na ufugaji. Wasiliana nami 0658090695 bei kwa kila heka ni million 3
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa awabana Wakandarasi wanaojenga Barabara ya Mzunguko Dodoma, ataka kazi ikamilike kwa wakati

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kutoridhishwa na kasi ya ujenzi na usimamizi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Dodoma (Dodoma Outer Ring Road) km 112.3, sehemu ya Ihumwa Dry Port - Matumbulu - Nala (km 60) kwa kiwango cha lami na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya AVIC kuwasilisha...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso: DUWASA hakikisha mnatafuta suluhisho la muda mfupi maeneo yenye changamoto ya upatikanaji wa maji, hasa ya pembezoni mwa Mji wa Dodoma

    WAZIRI AWESO ATOA MAAGIZO DUWASA Kufuatia kuwepo kwa changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji katika baadhi ya maeneo ya Kisasa Jijini Dodoma, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kutekeleza maagizo yake aliyoyatoa Septemba...
  6. mr pipa

    JamiiForums Tanzania CWT tawi la Songea kwanini hamtoi hela za wastaafu waliopunjwa kuanzia 2016 hadi 2024 wakati nauli zao mlikula?

    2021 aliwaita wastaafu wote ambao walipunjwa pensheni zao na mkafanya nao kikao mkakubaliana atumwe katibu dodoma kwenda kufuatilia hayo mapunjo ambayo baadhi ya wastaafu katika penshen zao walipata pesa tofauti na wanachodai na mkakiri kweli mahesabu hayakufanyika vizuri. Baada ya katibu...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded DUWASA: Changamoto ya kusambaa kwa majitaka Dodoma kulikosababishwa na chemba kuziba, imetatuliwa

    MREJESHO KWA WADAU: DUWASA YATATUA KERO YA MAJITAKA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) inapenda kutoa mrejesho kwa wadau na wateja wake kuwa changamoto ya iliyokuwepo ya kusambaa kwa majitaka kulikosababishwa na chemba kuziba imetatuliwa mapema mara baada ya kupokea...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Serikali yatenga Shilingi Bilioni 34 kujenga Makumbusho ya Marais Dodoma

    Serikali imetenga Shilingi bilioni 34 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Makumbusho ya Marais nchini, unaotarajiwa kujengwa katika eneo la Mtumba, Dodoma. Mradi huo utatekelezwa kwenye eneo lenye ukubwa wa ekari 50 na unalenga kuhifadhi kumbukumbu za viongozi wakuu wa nchi pamoja na historia...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya "Waliotumwa na Afande" kutolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024

    Hukumu ya kesi ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam inayowakabili washtakiwa wanne wakiwamo askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na wa Magereza, itatolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024. Kesi hiyo ya jinai...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Job Ndugai akumbana na maswali ya mpiga kura Jimboni kwake

    Aliyekuwa Spika wa Bunge ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa mkoani Dodoma, Job Ndugai amekumbana na maswali magumu kutoka kwa wapiga kura wake alipowatembelea na kuzungumza nao.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona leo Dodoma Jiji Vs Simba S.C Club

    1. Kocha Fahdu anatakiwa aaambiwe ugumu wa mechi za mikoani otherwise atadondosha sana pointi ugenini hasa kule Mbeya, Kagera, Singida na Kigoma. 2. Fahdu amezidiwa kabisa kimbinu leo na Dodoma Jiji kama sio uzoefu mambo yangekuwa magumu leo 3.Fahdu akubali kuwa mechi za ugenini ni za akina...
  12. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Dodoma Jiji FC 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 29.09.2024

    Another game, Mzunguko wa Nne. Dodoma Jiji wanaikaribisha Simba SC ya Dar es sala Uwanja wa Jamhuri, Jijini Dodoma. Kikosi cha Dodoma Jiji Kinachoanza. Kikosi cha Simba Kitakachoanza #nguvumoja# Ushindi mwingine ugenini. Updates za Mchezo Kipindi cha Kwanza. ===========================...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni lipi Basi zuri la VIP la kwenza Mwanza kutoka Dodoma

    Naomba kujuzwa basi zuri la VIP la kutoka Dodoma hadi Mwanza lisilo na mwendo mkali. Ni mara ya kwanza kuelekea jiji la Mwanza.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli angekuwepo, awamu mpya ya SGR ingekua Dodoma - Arusha na Moshi

    Naanza kwa kuipongeza Serikali kwa kazi nzuri ya Ujenzi wa Reli ya Mwendo kasi inayo endelea, hakuna shaka yeyote kwasasa watanzania wamesha anza kuonja matunda ya reli hiyo wakitokea Dar - Dom na Dom - Dar, ikijumuisha maeneo yote yaliyo kati ya Dom Dar nao wananufaika Kwa namna inavyoonekana...
  15. TUMSUMINGULIVI

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kugombea Ubunge Dodoma Mjini?

    Natarajia kuja kuishi Dodoma mjini Mwakani na Kugombea ubunge 2025.. Wana JF nipeni mbinu nawezaje pata ubunge pale Dodoma kupitia CCM
  16. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania Dodoma kuna shida gani mbona kupata kazi kwenye Private Sector ni ngumu sana?

    Kuna ndugu yangu alikuja Dodoma kutafuta pa kufanya kazi Baada ya kumaliza chuo, Ni mwaka wa pili huu kazi hapati, wala hata kuisikia zikitangazwa hamna. Kazi nyingi zinatangazwa location ni Dar, Bado naji uliza nafasi za kazi kwa Dodoma zinatangaziwa wapi?
  17. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Taasisi ya kukopesha ya Imarika inavyodhulumu mali za wateja kwa mikopo umiza mkoa Dodoma

    Sisi wakazi wa Dodoma tumechoshwa na mmiliki wa kampunı ya ukopeshaji Fedha ya Imarika, imekuwa ikitoa mikopo umiza kwa riba kubwa ya asilimia 40, imekuwa akidhulumu dhamana zetu kwa kubadilisha mikataba. Mmiliki kwa kuwa tabia yake ni kudhulumu mali zetu, pindi unapotaka kumaliza deni ofisi...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DODOMA:

    Hivi TORONTO BAR ipo wapi Dodoma na Totoz zipo au Hamna?
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Dodoma Jiji Wagawiwa Majiko ya Gesi 1,000 Kuunga Mkono Nishati Safi

    WANANCHI DODOMA JIJI WAGAWIWA MAJIKO YA GESI 1000 KUUNGA MKONO NISHATI SAFI -RC Senyamule ampongeza Mbunge Mavunde kwa ufadhili wa majiko -Vituo vya Afya,Shule,Vituo vya kulea watoto na Mama/Baba Lishe wanufaika -Mbunge Mavunde amuunga mkono Rais Samia kwenye kampeni ya Nishati safi Dodoma📍...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde Azindua Ujenzi Jengo la Mapumziko Hospitali ya Mkoa wa Dodoma

    MBUNGE MAVUNDE AZINDUA UJENZI JENGO LA MAPUMZIKO HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA DODOMA MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini, Mh. Anthony Mavunde amezindua ujenzi wa jengo la mapumziko la wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kusema kuwa ujenzi huo ni sehemu ya utatuzi wa changamoto...
Back
Top Bottom