dodoma

  1. JamiiForums Tanzania LEO BUNGENI DODOMA - Bajeti ya Wizara ya Kilimo

    LEO BUNGENI DODOMA - Bajeti ya Wizara ya Kilimo Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameelezea umuhimu wa uanzishwaji wa Mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji ndani ya Bonde la Bugwema la Jimboni mwao. Mbunge huyo ameeleza mengi, yakiwemo yafuatayo: (i) Mhe Rais Dkt Samia...
  2. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Waandishi wa Habari - Dodoma, Mei 22, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=EK3rdU5HqhE Ndugu wanahabari, miongoni mwa majukumu ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ni kuliwezesha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Taasisi nyingine zilizopo chini ya Wizara kutekeleza majukumu yake ipasavyo ambayo ni: ulinzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma (ring road) wafikia zaidi ya asilimia 85

    Ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma (ring road) umefikia zaidi ya asilimia 85 ya utekelezaji wake. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesomewa taarifa hiyo alipotembelea ujenzi huo ili kuona maendeleo yake. Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 112.3, ni miongoni mwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ndaisaba Ruhoro Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo Bungeni Jijini Dodoma

    NDAISABA RUHORO AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI KUU YA SERIKALI YA WIZARA YA KILIMO, BUNGENI JIJINI DODOMA Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro tarehe 21 Mei, 20245 amechangia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali ya Wizara ya Kilimo ambapo amempongeza Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  5. JamiiForums Tanzania Karibuni Dodoma wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa , 29-30 Mei 2025

    Karibuni Dodoma wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa , 29-30 Mei 2025
  6. JamiiForums Tanzania Ulega Awataka Wakandarasi Dodoma Ring Road Kuongeza Kasi

    ULEGA AWATAKA WAKANDARASI DODOMA RING ROAD KUONGEZA KASI Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekagua na kuridhishwa na utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya jiji la Dodoma (km 112.3) ambapo kwa sasa umefikia zaidi ya asilimia 85 ya utekelezaji wake. Ulega ameeleza hayo leo Mei...
  7. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinapatikana Nzuguni Dodoma

    Habari wakuu nimerudi tena nauza viwanja vinne 4 eneo ni Nzuguni unapojengwa uwanja wa mpya wa mpira.kwa wale niliowai kuwauzia wanapajua vizuri Huduma zote zipo Umeme, maji , barabara lami ukubwa tofauti tofauti 774, sqm 427, sqm 618, sqm 651 sqm. BEI ni kuanzia million 5 ,6,8 adi 14...
  8. JamiiForums Tanzania HOTEL LANDSCAPE DODOMA ,WE DO BEST DESIGN FOR ALL BUILDING JUST CALL US +255624004650

    CALL US +255624004650
  9. JamiiForums Tanzania Singo maza wa dodoma anatafuta mwenza

    Ni mmarangu,umri 36,ana mtoto wa kike anasoma darasa la 7,anafanya kazi wizara ya mambo ya ndani,dodoma na ni mkkkt.Anatafuta mwenza ambae watakubaliana kuishi pamoja na kupata watoto,na watashirikiana kila kitu kwenye maisha.kama kuna mwanaume atavutiwa na hizo sifa basi aje inbox.Mwanaume awe...
  10. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Simiyu NRNE: Waziri wa madini anatokea Dodoma, hii imekaaje?

    Salaam! Hii nimeipata kwenye hotuba ya CHADEMA mkoani Simiyu kwenye operation ya NRNE kwamba Waziri wa madini atokea Dododomma kusiko na madini yoyote zaidi ya kilimo Cha karanga. Haya ameyasemea Simiyu kanda ya Ziwa, Ndugu Deo Mahilinya, Amedai Tanga kuna mawaziri watano, iweje kanda ya Ziwa...
  11. JamiiForums Tanzania Dodoma: Zaidi ya bilioni 11 zatumika kulipa wanufaika TASAF

    Billion 11,123,585,402.18 zimetumika kuwalipa wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya masikini (TASAF) kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Takwimu hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Mhe. Rosemary Senyamule wakati akifungua kikao kazi cha tathmini ya utekelezaji ya mpango huo. ‘’Serikali ya awamu...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri wa Viwanda na Biashara, Jaffo anazungumza Waandishi wa Habari jijini Dodoma, Mei 15, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=wGZzLWb4Xeo Mkutano wa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Waandishi wa Habari wa Jijini Dodoma kueleza mafanikio ya Miaka Minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania MheshimiwaDkt Samia Suluhu Hassan.
  13. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa changamoto na fursa katika ufugaji endelevu na salama kiafya Dodoma

    Habari wanajamii, Mimi ni mdau ninayepanga kuanzisha mradi wa ufugaji endelevu na salama kiafya hapa Dodoma. Lengo kuu la mradi huu ni kuzalisha bidhaa za mifugo kama nyama, maziwa, mayai na kadhalika ambazo ni bora kiafya na salama kwa matumizi ya jamii. Malengo ya mradi huu ni pamoja na...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde awataka Machinga Dodoma kuchangamkia Mkopo wa Bilioni 7 za Jiji

    Umoja wa Wanawake Machinga Dodoma(UWAMADO) wamempongeza, Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa ujenzi wa soko la kisasa la Machinga Complex na miundombinu ya kisasa ya soko hilo ambalo ni la kipekee nchini. Hayo yamesemwa jana wakati wa uzinduzi wa chama cha UWAMADO uliofanyika kwenye eneo la soko la...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wastaafu & Wenza wao wazikwe sehemu moja (Dodoma) kutunza kumbukumbu & Umoja wa kitaifa

    Ingependeza viongozi wa Kitaifa na wenza wao wazikwe sehemu moja (Dodoma) ili kutunza kumbukumbu, umoja na historia ya kitaifa.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga tayari ameshawekwa sawa alipokwenda Dodoma

    Alipokuwa Dodoma na kufika Bungeni inasemekana mamlaka zilimuweka kitimoto na kukubali Yanga kucheza. Tatizo ni namna ya kuwalainisha Mashabiki wa Yanga. Ila tayari kuna mbinu imeshaanza kutumiwa na Ali Kamwe kuanzisha propaganda za majigambo kuwa SIMBA WASIFIKIRI KUWA YANGA INAWAOGOPA. Kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Wewe jamaa unaemsusa mkeo hapa Dodoma naomba tusilaumiane kwa kitakachotokea, tafadhali mrejee mkeo

    Nimeamua kuja kuandika ili kama ni msomaji wa JamiiForums basi utachukuwa hatua, mkeo amekusalia mtoto mzuri sana na mke pia ni mzuri ila unacho fanya kumsusia mkeo kisa ishu ndogo hivyo mnagombna basi ujue mke ana taabika sana, na usipo mrejeaa usitulaumu maan kazi unayo na pesa uanzo ila ni...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga

    Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana Mbunge Mama...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Polisi Mtumba, Dodoma muache uonevu

    Imekuwa miezi kadhaa sasa askari toka mtumba wanapita na difenda zao Mahoma, Ipala na Hombolo kubeba vijana wasio na hatia na kuwavisha kosa la uzururaji. Wanapita saa 3 usiku wakakamata mpaka madogo wanaorusha movie tena wakiwa ndani ya vibanda vyao. Ndugu zao kufika kituoni wakatozwa 50000...
  20. JamiiForums Tanzania Dodoma: Wananchi kata ya Mtumba wanufaika na mikopo asilimia 10 ya halmashauri

    Kata ya Mtumba, Halmashauri ya Jiji la Dodoma yapatiwa jumla ya shilingi 83,000,000 kwaajili ya mikopo ya asilimia 10 kwa makundi maalum ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa lengo la kuwainua kiuchumi na kuboresha maisha yao. Hayo yalielezwa na Afisa Maendeleo ya Jamii Kata ya Mtumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…