dira

Deficiency of the interleukin-1–receptor antagonist (DIRA) is an autosomal recessive, genetic autoinflammatory syndrome resulting from mutations in IL1RN, the gene encoding the interleukin 1 receptor antagonist. The mutations result in an abnormal protein that is not secreted, exposing the cells to unopposed interleukin 1 activity. This results in sterile multifocal osteomyelitis, periostitis (inflammation of the membrane surrounding the bones), and pustulosis due to skin inflammation from birth.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Dira ya Taifa la Kujitawala

    Wakati Tanzania inasonga mbele katika siku zijazo, moja ya malengo makuu lazima liwe ni kuhakikisha mali na viwanda muhimu vya taifa letu viko chini ya udhibiti na umiliki wa raia wa Tanzania na serikali ya Tanzania. Kwa muda mrefu sana, tumeacha udhibiti wa bandari zetu, maliasili, miradi...
  2. JamiiForums Tanzania Jamii forum, maoni dira ya Taifa, 2025-2050.

    -Maoni yangu binafsi ni umri wa kustaafu uwe miaka 50, kupisha chipukizi. -Iwe mwiko mtu kushika nafasi za kiuongozi zaidi ya moja. -Baada mtu kustaafu awe anapatiwa eneo la ekari 2, kama sehemu za benefit zake. -Uchumi wa viwanda upewe uzito -Utaalamu wa maswala ya electronic, ujuzi wake kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Dira ya Kurudisha Fadhila ya Asili

    Jua linapochomoza juu ya tambarare kubwa za Serengeti, milio ya ndege na mivumo ya nyumbu hujaa hewani tena. Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka – taifa ambalo viumbe vilivyo hatarini kutoweka sio tu vinaishi, bali vinastawi katika makazi yao ya asili. Mahali ambapo shughuli za binadamu zipo kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tunayoitaka: Dira ya Wakati Ujao Wenye Kustawi

    Tanzania iko kwenye kilele cha zama za mabadiliko. Ulimwengu unabadilika kwa kasi isiyo na kifani, na ili kuhakikisha taifa letu linastawi, ni lazima tukuze maono yenye mwelekeo wa siku za usoni kwa ajili ya elimu, kukuza uvumbuzi wa kisayansi, na kujenga uchumi imara. Dira hii, “Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Kongamano la Kwanza la Kitaifa la Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ni Juni 8, 2024

    Kutakuwa na mawasilisho ya maoni kutoka kwa makundi mbalimbali ya kijamii na mjadala wa wazi Mada za Utangulizi 1. Prof. Issa Shivji: Tanzania @ 60 2. Prof. Kitila Mkumbo: Tanzania ya 2050 Wachagizaji wa Mada 1. Prof. Samwel Wangwe 2. Mama Getrude Mongela 3. Dkt. Neema Mduma 4. Dkt. Richard Mbunda
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 DIRA 2050: Umuhimu wa kuboresha mfumo wa uchaguzi na uteuzi wa viongozi wetu ni hitaji la lazima

    Dira ya taifa kuelekea mwaka 2050 ni hatua muhimu sana itakayotoa taswira na muelekeo wa taifa kwa miaka takriban 25 ijayo. Umuhimu wa kuwa na malengo ya muda mrefu ya kitaifa ni nafasi nzuri ya kuiandaa kesho ya taifa kwenye nyanja tofauti ikiwemo kiuchumi, kielimu na hata kimaadili na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msuya na Warioba: Tatizo la dira 2050 ni siasa

    Mawaziri wazee wetu wastaafu wote Warioba na Msuya wamesema tatizo kubwa la Dira yetu ya taifa ni kutokuwa na mfumo wa siasa wa kueleweka. Kwa muda mrefu sasa tumekuwa na mifumo ya vyama vingi lakini wakati huohuo serikali hiyo hiyo ndiyo wanaongoza kuharibu chaguzi zetu na kusumisha mfumo wa...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Muda uwe ni dira kuu katika ujenzi wa uchumi wa taifa

    MUDA ni sehemu muhimu sana katika mpangilio wa mambo mengi duniani, na hii ni tangu kwa kuumbwa kwake, kutokana na maandiko ya vitabu vya dini, vimeandikwa kwamba hata Mungu aliutumia muda katika kuumba ulimwengu, na kuongeza kuwa Dunia iliumbwa kwa siku sita na ya saba ikawa ni mapumziko yake...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tunayoitaka: Dira na Uwezekano

    Tanzania, nchi yenye utajiri wa rasilimali na utamaduni, imekuwa ikipiga hatua kubwa katika nyanja mbalimbali za maendeleo. Hata hivyo, ili kufikia ndoto ya Tanzania tunayoitaka, kuna mambo kadhaa muhimu ambayo yanapaswa kuzingatiwa. Makala hii itajadili masuala ya kiuchumi, kijamii, kisiasa, na...
  10. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania 2044: Miaka Ishirini ya Kujiimarisha

    Tanzania iko katika wakati muhimu sana katika safari yake ya maendeleo. Kama Taifa ni muhimu kuandaa ramani ambayo itakuwa muongozo wetu kwa miaka 20 ijayo, ramani ambayo itagusa sekta zote muhimu katika ustawi wa nchi. Katika makala hii nimeelezea mpango wa maendeleo tunaoweza kuutumia...
  11. JamiiForums Tanzania CCM inapoteza Msingi Mkuu wa Dira yake na nguvu yake

    Shalom, Ni ajabu sana siku hizi huwezi kusikia kauli kama serikali ya CCM, utekelezaji wa ilani ya CCM, serikali imeleta. Utasikia kauli za kipumbavu kwamba Rais amefanya, Rais ameleta upumbavu mtupu. Rais ni mwajiriwa, mtumishi, mwakilishi wa CCM, pesa yoyote ile sio yake ni ya nchi, ni ya...
  12. JamiiForums Tanzania Waimbaji wa Injili wamekosa Dira mpaka wamevamia content zetu za minyanduo ni hatari kwa Ukristo siku za usoni

    Ukristo wageuka dini huria, kila mtu afanya atakalo, uongozi wa kiroho umegeuka biashara. Content za minyanduo zavamiwa na waimbaji wa Injili. Dunia uwanja wa Fujo. Yes apewa character ya kunyanyua na kunyandua mchana kweupe Yesu mwamba anaelekezwa afanye kuwanyandua waimbaji. Toba Toba...
  13. JamiiForums Tanzania Jumbe za dira ya maendeleo, je umechangia nini? Ni kweli mawazo yetu yatazingatiwa au wanapoteza muda wetu?

    Nimepokea sms takriban 8 kwa wiki hii kujulishwa kuhusu dira ya taifa ya maendeleo itayodumu mpaka 2050 kupitia kifaa changu cha mkononi ila nimeshindwa kuwajibu kwa sababu kuu mbili simu inaji-cancel before sijamaliza kujibu na sababu nyingine uchangiaji upo very limited siwezi kuchangia kwa...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Dira ya maendeleo 2050 na Katiba Mpya

    Ni hivi karibuni serikali imezindua mchakato wa kuandika Dira ya maendeleo ya mwaka 2025 - 2050 (au pengine zaidi, kadiri itakavyopendekezwa). Jambo hili ni jema kwa sababu, kama Taifa, mipango ya maendeleo ya muda mrefu ni muhimu ili kujenga uelewa wa pamoja wa nini tunahitaji na wapi...
  15. JamiiForums Tanzania Swali kwa Kamati ya Dira ya Taifa: "Umoja wa Taifa ni Chachu ya Maendeleo au Maendeleo ni Chachu ya Umoja wa Taifa?"

    Wajumbe 22 wa Kamati ya Dira ya Taifa ya Maendeleo wakiwa wamesimama mbele ya bango lenye kaulimbiu isemayo kwamba "Umoja na Mshikamano ni Chachu ya Maendeleo ya Taifa" I. Utangulizi "Tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyonywa kiasi cha kutosha, tumenyanyaswa kiasi cha kutosha. Unyonge wetu...
  16. JamiiForums Tanzania CPT wasema Katiba Mpya ni Kipaumbele Alfa na Omega, Wataja Vipaumbele 28 vya Dira ya Taifa Kuelekea 2050

    Profesa Kitila Alexander Mkumbo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Waziri mwenye dhamana ya kusimamia utendaji wa kazi za Tume ya Mipango Chama cha Wanataaluma Wakristo Tanzania (CPT) kimeadhimisha kwa kishindo kumbukizi ya miaka 40 tangu kilipoasisiwa na wanataaluma wakristo...
  17. JamiiForums Tanzania Kiongozi asiye na dira huishia kuendesha nchi kupitia mashinikizo

    Tumekuwa na ombwe kubwa la uongozi wa nchi yetu tangu awamu ya sita ichukue hatamu. Kuhamisha wamaasai kutoka Loliondo ili kuwakabidhi Waarabu kipande cha ardhi kumezalisha shinikizo la jumuiya za utetezi wa Haki za binadamu. Rais anayeshikiza kumtoa Spika madarakani kwa kutoa maoni yake juu...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Hatuwezi kufikia Dira ya Maendeleo 2030 ikiwa mamilioni ya Wasichana wataendelea kukeketwa

    Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima akizungumza kwenye Mkutano wa Kimataifa wa kupinga ukeketaji amesema mpango Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030, hauwezi kufikiwa kwa mafanikio kama vitendo vya ukeketaji wa Wanawake...
  19. JamiiForums Tanzania Huku ni kukosa dira ya kiuchumi na kuweweseka kimaono. Unanunua dege la bil 200 unaacha kununua magari zimamoto

    Magari ya zimamoto kwa maisha ya mtanzania ni muhimu kuliko dege ambalo raia wa kawaida hawawezi kumudu hata tikiti ya laki tatu na ushee. Hii midege ina return gani ya kiuchumi kwq wananchi wa kawaida? Kwa nini kusinunuliwe gari za kisasa za zimamoto? Au ikibidi Helkopta ya kisasa ya kuzimia...
  20. JamiiForums Tanzania Kilimo cha Bashe hakina dira yoyote, ni porojo tu. Sasa anataka wakulima waisajili mikorosho ili iweje?

    Mimi Bado simuelewi kabisa Hussein, anasema wakulima wa korosho waanze kuisajili mikorosho Yao ili iwe Nini? Anajishughulisha na vitu vingi visivyokuwa na tija kabisa! Kusajili mikorosho kutaleta nafuu Gani kwa mkulima? Hilo ndio hitaji la wakulima wa korosho? Itasaidia Nini kwa wakulima au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…