dira

Deficiency of the interleukin-1–receptor antagonist (DIRA) is an autosomal recessive, genetic autoinflammatory syndrome resulting from mutations in IL1RN, the gene encoding the interleukin 1 receptor antagonist. The mutations result in an abnormal protein that is not secreted, exposing the cells to unopposed interleukin 1 activity. This results in sterile multifocal osteomyelitis, periostitis (inflammation of the membrane surrounding the bones), and pustulosis due to skin inflammation from birth.

View More On Wikipedia.org
  1. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha makumi ya watu kujitokeza kuwania nafasi moja tu uspika kimedhihirisha kuwa Taifa hili halina dira wala halijitambui

    Hatuwezi kujisifu kuwa hii ni demokrasia bali ni fujo na ukosefu wa mwelekeo na sera za Taifa. Hadi sasa kama Taifa hatujui kama tunafuata ujamaa au ubepari. Viongozi huandaliwa, hufunzwa na kulelewa. Haiwezekani mtu anakurupuka usingizini akiwa na matongotongo machoni anachukuwa fomu ya...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuondoa watu wenye akili Serikalini nakutumia wenye nguvu, taifa lakosa dira

    Mifumo yetu yote yakijasusi na kiraia imekosa au imepungukiwa watu wenye akili na kukaliwa na watu wenye nguvu. Watu wenye akili hata wakizeeka au kuugua still wanaweza kutoa strategies zakuwasaidia wenye nguvu kufanya KAZI lakini watu wenye nguvu iwe ya mwili au uchumi au ya dola wakipatwa na...
  3. KHM 1995

    JamiiForums Tanzania Afrika ni bara la ujinga na limekosa dira

    Mimi ni mwana wa Afrika, pia ni mwana wa Afrika Mashariki, nalia na bara langu, nalilia Afrika, machozi yangu bila kuficha hayaendi endi bure, wewe Afrika kwanini uko nyuma kitechnologia. Wewe Afrika kwanini had leo bado unapokea misaada, wewe Afrika lini utasimama kwa miguu yako, utapiga hatua...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika hauko kwenye “dira” au karatasi tu

    “Msimu wa kutangaza bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet” wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika kwa mwaka 2021 umezinduliwa hivi karibuni na utaendelea katika miezi mitatu ijayo. Hili ni tunda la mapema lililopatikana kwa China kutekeleza ahadi yake ya kusaidia Afrika kuhimiza...
  5. Ritz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamepoteza dira kuwaambia Watanzania kususia huduma na bidhaa ili Serikali ikose mapato

    Wanaukumbi. CHADEMA tuelezeni hizo Tozo Mpya zinaingizia serikali kiasi gani cha Pesa Kisha mtueleze matumizi ya serikali kama mnavyodai zinaenda kununua mabomu na kulipa polisi mishahara. Serikali inasema hizo Tozo zitakwenda Tamisemi kujenga madarasa na zahanati zingine zinaenda Taruru...
Back
Top Bottom