diplomasia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania China itaendelea kuwa fursa muhimu ya diplomasia ya uchumi kwa Tanzania

    Fadhili Mpunji Hivi karibuni balozi wa Tanzania nchini China Balozi Mbelwa Kairuki alipohojiwa kwenye kipindi cha Dakika 45 cha kituo cha televisheni cha ITV, alifafanua vizuri kuhusu fursa inazotoa China kwa Tanzania, iwe ni katika sekta ya viwanda, kilimo, biashara na hata uwekezaji. Baadhi...
  2. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Tuiangazie Diplomasia katika kukuza uchumi endelevu

    DIPLOMASIA BORA NI MSINGI WA UCHUMI IMARA Na Elius Ndabila 0768239284 Diplomasia ni nadharia ambayo tumekuwa tunaitumia sana tukiwa tunalenga uhusiano baina ya mataifa duniani. Leo nitazungumzia kinagaubaga juu ya diplomasia katika sekta ya kukuza uchumi nchini. Uchumi na maendeleo kote...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anajua vyema kuicheza Diplomasia ya Uchumi na kuziingia Siasa za Kimataifa

    Rais Samia Suluhu Hassan anajua sana kuzicheza Siasa za Kimataifa na kuiendea Diplomasia ya Uchumi na ndio maana kwa muda mfupi wa Urais wake ameweza kuzishawishi Jumuiya nyingi za Kimataifa na Mataifa mbalimbali kuiamini Tanzania na kuleta Uwekezaji na mitaji mikubwa kwenye Nchi yetu. Tanzania...
  4. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ombi kwa Rais Samia: Chuo cha Diplomasia kipewe Jina la Dr. Salim A. Salim ikipendeza

    Nimejaribu kukumbuka kwa haraka haraka kuna kitu gani kinataja jina la Dr. Salim kwa kumbukumbu ya utumishi wake kwa taifa letu. Sijui kuna barabara au daraja gani limepewa jina lake. Ikumbukwe kwenye utumishi wa kimataifa hakuna mtu aliyeitangaza na kuacha alama kimataifa kama Dr. Salim A...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Bulembo acha kudhalilisha watu kwa kuharibu diplomasia wakati wewe ndio muharibu

    Kutokana na uchu na tamaa ya madaraka mzee wangu Abdalah Bulembo na wengine wanakuita alhaji ulitoa kauli ambayo iliishtua dunia na pengine dunia kuamini Tanzania ni nchi ambayo serikali inaua watu wanaohoji pesa za miradi Kufuatia mkopo wa benki ya dunia(WB) kwenye mambo mbalimbali ambayo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tunakubaliana Profesa Kabudi aliua Diplomasia yetu, lakini hatukubali kwamba hafai kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

    Kwa Hali ilivyo ni wazi CCM wameanza kukubaliana na watu wenye akili timamu kwamba tuliua Diplomasia ya Kimataifa. Ni Jambo la Wazi kwamba hata wale waliowakamata wapinzani waliokosoa sera ya mambo ya nje wanajiona wajinga kwamba wameshiriki kutufikisha hapa tulipo. Watu wale wale walioelekeza...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wachekeshaji wetu wafunzwe diplomasia

    Kuna umuhimu mkubwa wa kufundishwa diplomasia kwa kila mzungumzaji kwenye hadhira iliyo na watu wa mataifa mbalimbali. Unaweza kudhani unachekesha watu kumbe unaharibu. Public speaking is an art, the untrained need to be trained before being given platform.
  8. Sijali

    JamiiForums Tanzania Nikumbusheni kama bado tuna 'Diplomasia'

    Wote tuliokulia miaka ya 60, 70, 80 tunajua vyema, wakati huo Tanzania ilikuwa 'jogoo' katika ulinge wa Kimataifa. Hivi kwamba, katika mahafali ya Kimataifa Tanzania ikimwunga mkono mtu, nchi hivyo hivyo mataifa duniani yatafuata na kumpitisha. Sina haja ya kuelezea mapambano ya Tanzania dhidi...
  9. Hamduni

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Misri ni kete muhimu kwenye Diplomasia ya Uchumi Tanzania

    MISRI NI KETE MUHIMU KWENYE DIPLOMASIA YA UCHUMI TANZANIA Uhuru Na Umoja Ukitaka kwenda upesi nenda peke yako, lakini ukitaka kwenda mbali nenda na wenzako, msemo huu wa wahenga ndiyo unaoongoza falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan katika mahusiano na mataifa mengine duniani. Ziara ya...
  10. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Japhari Kubecha, Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM: Wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa diplomasia

    Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM, Ndugu Japhari Kubecha amesema wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais kufanya maamuzi sahihi na kupelekea mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine kuwa dhaifu. Amesema...
  11. B

    JamiiForums Tanzania DIPLOMASIA - Dr. Liberata Mulamula: Tanzania relationship with Italy is strong

    12 October 2021 Rome, Italy In an exclusive interview with Vatican News Liberata Mulamula Rutageruka Minister of Foreign Affairs and Cooperation in East Africa of the United Republic of Tanzania, highlights the important results of the third edition of the Italy-Africa Ministerial Conference...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Algeria yapiga marufuku ndege kutoka Morocco

    Algeria imefunga anga yake kwa ndege zote za kiraia na za kijeshi za Morocco. Hatua hiyo inakuja takriban mwezi mmoja baada ya Algeria kusitisha uhusiano wa kidiplomasia na Taifa hilo. Algeria imesema uamuzi huo ni kwasababu ya uchochezi unaoendelea pamoja na vitendo vya uhasama kwa upande wa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, turufu muhimu katika Siasa za Kimataifa

    Na Dk Juma Mohammed Kwa mara ya kwanza, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa akiwa Rais wa kwanza mwanamke wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Septemba 23 mwaka huu, Rais Samia atahutubia Baraza Kuu linalowakutanisha Viongozi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani yadhalilishwa kwa kuharibu uhusiano kati ya China na Afrika

    Kwa muda mrefu, baadhi ya wanasiasa nchini Marekani wamefanya kila wawezalo kuchafua jina la China kwa kuisema kama ni hatari na kufanya ukoloni mambo leo ili kuharibu uhusiano kati ya China na Afrika. Hata mkuu wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend...
  15. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi aliharibu diplomasia yetu

    Heshima sana wanajamvi, Sote tunafahamu serekali ya awamu ya tano chini ya Mh sana Marehemu Dr John Pombe Magufuli iliharibu diplomasia yetu katika kiwango ambacho hakijawahi kuonekana tangu kuasisiwa kwa Jamhuri Muungano wa Tanzania. Ni rahisi sana kumtupia furushi la lawama Marehemu Dr John...
  16. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saud Arabia

    Rais wa Kenya Mhesh Uhuru Kenyatta leo Mei 26, 2021 katika Ikulu ya Nairobi amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saud Arabia Mwana Mfalme Faisal Bin Farhan AlSaud Viongozi hao walijadili na kukubaliana kuongeza ushirikiano wa nchi zao kwenye maeneo ya Ulinzi na...
  17. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Hoyce Temu katika ulimwengu wa Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa

    MFAHAMU HOYCE TEMU KATIKA ULIMWENGU WA DIPLOMASIA NA MAHUSIANO YA KIMATAIFA 📍Hoyce Temu alisoma Stashahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Mahusiano ya Kigeni yaani Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations (PGD-MFR) kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini Dar es Salaam ama...
  18. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Bomba la mafuta la Afrika Mashariki: Diplomasia ya uchumi ya urithi wa Hayati Magufuli na mapato ya Tsh 76.32bn kwa mwaka

    BOMBA LA MAFUTA LA AFRIKA MASHARIKI: DIPLOMASIA YA UCHUMI YA URITHI WA JPM NA MAPATO YA TSH 76.32bn KWA MWAKA Mnamo Septemba 27, 2020 Uganda na Tanzania ziliingia makubaliano kupitisha Bomba la Mafuta ya Afrika Mashariki kutokea Hoima (Uganda) hadi Bandari ya Tanga (Tanzania). Hii ni moja ya...
  19. Zitto

    JamiiForums Tanzania Kusitishwa Mradi wa Bagamoyo SEZ kumedhihirisha udhaifu wa Rais Magufuli kwenye Uchumi na Diplomasia

    Na Kabwe Z. Ruyagwa Zitto, Mb (Makala haya kwa sehemu kubwa yametokana na makala iliyoandikwa na mtu mwengine [....]. Mimi nimeiboresha tu Katika baadhi ya maeneo) Juzi Serikali imetangaza bungeni kuwa Mradi mkubwa wa Ukanda Maalumu wa Kiuchumi wa Bagamoyo (Bagamoyo SEZ) wa thamani ya Dola za...
Back
Top Bottom