Wanabodi, naomba kujua hivi vitu wanatumia vigezo gani kufanyika?
1. Nmeshaona jamaa ana Diploma then Masters, hakupiga Bachelor Degree.
2. Nmeona watu wana Bachelor Degree then wana PhD, hawakufanya Master Degree(mfano Prof. Ndalichako n Prof. Mwandosywa)
Swali langu kuweza kutoka Diploma...