Diploma to Masters na Bachelor to PhD

Mr_Teacher

JF-Expert Member
Feb 28, 2021
362
334
Wanabodi, naomba kujua hivi vitu wanatumia vigezo gani kufanyika?

1. Nmeshaona jamaa ana Diploma then Masters, hakupiga Bachelor Degree.

2. Nmeona watu wana Bachelor Degree then wana PhD, hawakufanya Master Degree(mfano Prof. Ndalichako n Prof. Mwandosywa)

Swali langu kuweza kutoka Diploma to Masters au Bachelor to PhD sababu wanaangalia academic performance au experience? Na je ktk vyuo vyetu TZ huu mfumo upo kweli au ni majuu tu?

Nawasilisha
 
1. Hamna diploma to masters ila kuna advanced diploma to masters ( hii AD ni equivalent to bachelor lakini unatakiwa kupiga postgraduate diploma ndo uende masters lakini unapokuwa na AD na uzoefu nadhan wa 3+ yrs kazini kwa equivalent studies basi utafanya masters direct kutoka AD)
NB: pgd ya udsm pia unaweza kuupgrade kwenda masters na usipate cheti cha pgd ukapata masters tu.

2. Kutoka bachelor mpaka Ph.D ni kawaida kabisa, unapofanya masters by thesis huwa kuna kuupgrade kupitia ruhusa kutoka kwa seneta na kuunganisha Ph.D lakini hauwezi kupewa cheti cha masters hivyo utaweza kumaliza ukiwa na PhD tu. Hii ni fursa kwa Thesis sio wale wa Coursework na dissertation. Kwa nchi yetu wanafanya na wapo watu wengi sana wanafanya hivyo, kaangalie cv za walimu wa udsm kwenye prospectus zao utaziona. Baadhi wanaoingia kwenye siasa na kutoka kwenye academics ndo tumejikuta tukiwaona lakin wapo sana vyuoni.
NB: wengi (sio wote) wanaofanya PhD ni wale walio kwenye sekta ya research na taaluma so kujua wapo kawaangalie maeneo hayo.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi wako kuhusu wa Bachelor to PhD, ila bado sijapata wa kuhusu Diploma to Masters, maana nmeona kuna watu wawili wanazo nkajiuliza imekaaje, lkn naanza kupata mwanga labda kwa sababu ya Experience pengine kama ilivyokua kwa Shigongo with just darasa la saba lkn akapiga Bachelor Degree
 
1. Hamna diploma to masters ila kuna advanced diploma to masters ( hii AD ni equivalent to bachelor lakini unatakiwa kupiga postgraduate diploma ndo uende masters lakini unapokuwa na AD na uzoefu nadhan wa 3+ yrs kazini kwa equivalent studies basi utafanya masters direct kutoka AD)
NB: pgd ya udsm pia unaweza kuupgrade kwenda masters na usipate cheti cha pgd ukapata masters tu.

2. Kutoka bachelor mpaka Ph.D ni kawaida kabisa, unapofanya masters by thesis huwa kuna kuupgrade kupitia ruhusa kutoka kwa seneta na kuunganisha Ph.D lakini hauwezi kupewa cheti cha masters hivyo utaweza kumaliza ukiwa na PhD tu. Hii ni fursa kwa Thesis sio wale wa Coursework na dissertation. Kwa nchi yetu wanafanya na wapo watu wengi sana wanafanya hivyo, kaangalie cv za walimu wa udsm kwenye prospectus zao utaziona. Baadhi wanaoingia kwenye siasa na kutoka kwenye academics ndo tumejikuta tukiwaona lakin wapo sana vyuoni.
NB: wengi (sio wote) wanaofanya PhD ni wale walio kwenye sekta ya research na taaluma so kujua wapo kawaangalie maeneo hayo.
Naomba ufafanuzi wa masters naona umezitaja kama tatu coursework na hizo zingine.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hkn kitu Kama hcho Kuna advance diploma kwenda masters.
Na siyo dipla kwenda master hcho cheti Ni Cha uongo
 
Naomba ufafanuzi wa masters naona umezitaja kama tatu coursework na hizo zingine.

#MaendeleoHayanaChama
Coursework and dissertation (ni kitu kimoja) unaingia darasan na kusoma kawaida na hapo ndo neno course work linapotokea na baada ya hapo unafanya research/disertation kwa miezi 6 au mwaka kwa baadhi ya kozi.

Thesis ni mfumo wa kufanya utafiti kuanzia mwanzo mpaka mwisho, hamna kuingia darasani. Hii huchukua miez 18 had 24 na kwa nchi yetu wanahitaji min 3.5gpa kwa undergraduate

NB: kuna masters za mwaka mmoja so muda hutofautiana nchi na nchi ila hiyo nliyokupa inatumika zaidi nchini kwetu
 
Back
Top Bottom