diploma

A diploma is a certificate or deed issued by an educational institution, such as college or university, that testifies that the recipient has successfully completed a particular course of study. The word diploma also refers to an academic award which is given after the completion of study in different courses such as diploma in higher education, diploma in graduation or diploma in post-graduation. Historically, it can also refer to a charter or official document, thus diplomatic, diplomat and diplomacy via the Codex Juris Gentium Diplomaticus.The diploma (as a document certifying a qualification) may also be called a testamur, Latin for "we testify" or "certify" (testari), so called from the word with which the certificate begins; this is commonly used in Australia to refer to the document certifying the award of a degree. Alternatively, this document can simply be referred to as a degree certificate or graduation certificate, or as a parchment. The certificate that a Nobel laureate receives is also called a diploma.
The term diploma is also used in some historical contexts, to refer to documents signed by a King affirming a grant or tenure of specified land and its conditions (see Anglo-Saxon Charters and Diplomatics).

View More On Wikipedia.org
  1. Think2

    JamiiForums Tanzania Nisome diploma ipi kwa ufaulu huu

    Form four division 1 ya 17 Physics C Chemistry B Biology A Mathematics C Geography B Nimesoma political science ila uchawa nimekataa
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mpangilio usio sahihi kwa fani ya diploma ya forensic science kwenye mifumo ya ajira portal na zan ajira. Utumishi hamulioni hili?

    Wahitimu wa diploma ya forensic science kutoka UDOM tunapata shida kwenye kuomba ajira kutokana na mpangilio usio sahihi wa category yake, kikawaida forensic science ni Applied/Natural science ila kwenye mifumo hii miwili imepangwa katika category ya IT and telecoms kitu ambacho sio sahihi, je...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu course hizi za Diploma

    Shukurani ziwafikie wote mnaosoma uzi huu. Naomba niende kwenye mada, mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2025 katika Tahasusi ya PCM, kwa mwaka huu ninatamani ku-apply kusoma courses za Diploma. Kuna machaguo mawili; kozi za Diploma za afya na kozi za Diploma za Uhandisi. Nipo katikati sijajua...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyuo vya Private vya Diploma za Afya hawana uwezo ndo maana kila kukicha wanalalamikia kufeli mitihani ya leseni

    Mimi ni Mhitimu wa Diploma ya Pharmacy Muhimbili College of Health and Allied Sciences, nimehitimu mwaka 2023. Nimesoma O-level nina Division 1 ya 14, A-level nina Div 2 ya 12. PCB baada ya kuwa na competition kwenye kozi za Afya sikupata chuo katika kozi nilizokuwa nataka kama Pharmacy, MD kwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tuliosoma Ordinary Diploma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) – Mwanza tunashindwa kujisajili Ajira Portal

    Mimi ni mhitimu wa ngazi ya Ordinary Diploma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Mwanza, nimesoma kwa miaka 3 (yaani 1st year Certificate, 2ry & 3yr Diploma nimehitimu 2024 November lakini nilivyojaribu kufuatilia Vyeti vyangu vya Certificate na Diploma nimepata kimoja cha Diploma...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Course ya Ordinary Diploma in Heavy Duty Equipment Engineering kutokuwepo kwenye mfumo inatukosesha kazi

    Kuna changamoto katika waombaji wa kazi katika mfumo wa ajira.go.tz kutokubaliwa na mfumo na ikitokea ukiitwa interview wakaguzi hawaturuhusu kufanya usaili. Tulivyouliza shida ni nini jibu toka utumishi ni kuwa chuo kitume maombi ya kutambulisha course kwenda utumishi na jambo hilo...
  7. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania MPYA Walimu Wenye Diploma Kushushwa Madaraja

    Kumekuwepo Na Taarifa Ambayo Imechapishwa Katika Mitandao ya Kijamii Hasa Facebook Ikiwa Kuwa Wizara inatarajia Kuja Na Mpango wa Kuwapanga Walimu Kwa Kuzingatia Viwango Vya Elimu Katika Chapisho Hilo Huko Mtandao Lina Habari Kama ifuatavyo ""Serikali imetangaza kuanza kwa mpango wa kuwapanga...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Serikali kupanga upya walimu kulingana na ngazi za elimu, wenye diploma kufundisha elimu ya msingi

    Serikali imeanza mpango wa kupanga upya walimu kulingana na viwango vyao vya elimu, ambapo walimu wenye stashahada watapangiwa kufundisha katika shule za msingi huku wale wenye shahada wakielekezwa kufundisha ngazi ya sekondari. Hatua hiyo inalenga kuongeza ufanisi katika ufundishaji kwa...
  9. idiomer

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi walimu wa diploma kuendelea jufundisha sekondari?

    Ilihali walimu wa degree wapo wengine shule ya msingi???
  10. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi anayejua vizuri Auto electrical au aliyesomea hii kozi ngazi ya cheti au diploma

    Habari wakuu! Nina shida na fundi mzuri wa auto electrical mwenye cheti kwa ngazi ya diploma sio lazima awe vizuri kwa upande wa practical, uzoefu ataupata kazini!! Kama unamjua mtu wa namna hiyo au ni wewe mwenyewe unaweza Kuja dm au comment namba ya simu, nitakupigia
  11. raizen 50

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye ujuzi na utumishi. Nimepata kazi kwa kigezo cha diploma lakini nina degree

    Habari wakuu nimekuja kwenu kuomba uelewa nimeajiriwa na diploma lakn nina cheti changu cha degree bado sijakichukua chuoni naomba kujua je itachukua muda gan kazini hadi niweze kukitumia cheti cha degree na kisheria ya utumishi pia inasemaje ni kosa au, Kwa anaejua naomba maelezo niweze...
  12. Flowerpot

    JamiiForums Tanzania Diploma jina la kwenye Deed poll degree limevutwa la form 4.

    Majina ya form 4 mfano (John M. Doe), lakini yakabadilishwa na deedpoll yakawa John Doe Michael (Notice M imekuja mwisho na kuwa kwa kirefu). Na ndio Jina lililopo kwenye Cheti Diploma na Kwenye Ajira serikalini. Nimeenda kujiendeleza Degree, muda wa registration wajina yakavutwa ya form 4...
  13. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma nikiwa kazini Diploma za Sayansi kwa ufaulu huu kidato cha sita wa mwaka 2014?

    Habari za muda huu ndugu wana jukwaa. Niende moja kwa moja kwenye mada; nilihitimu kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM na kupata alama zifuatazo; Physics- D Chemistry- E Advanced Mathematics-E General Studies- D ( japo haina maana). Baada ya matokeo hayo yasiyoridhisha nikajikatia tamaa...
  14. Ntahandinkimuhila

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nifanyeje kupata mkopo wa HESLB ili nianze kusoma diploma ya afya mwaka huu 2025 ?

    Pole kwetu wote kwa msiba mzito uliolipata Taifa letu mwaka huu, mwenyezi Mungu awarehemu ndugu zetu waliotangulia mbele za haki, Amina 🙏. Enyi viongozi, muwe na hekima, madaraka ni ya kupita tuu, tutakufa tunaacha vyote hapa duniani tupendane tuu ndugu. Sasa, nilifanya mtihani wa kidato cha...
  15. dogman360

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu watu wa diploma wanaoenda Bachelor hamna mkopo

    Kila mtu wa diploma ninayr mfahamu hamna aliyepata hata aliye weka cheti cha kifo . Ni kazi kweli kweli kama mikopo ni ya form six tu waseme
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Ndimara Tegambwage, asema “Ithibati na Press Card: Pacha au Pachanga? TUSEMEZANE”

    KITAMBULISHO au Press Card anayobeba mwandishi wa habari, haina uwezo wa kumpa au kumwongezea elimu, maarifa wala stadi. Tuseme hivi: Hiki ni kitambulisho tu. Hakina hata uwezo wa kukamilisha, kuongeza au hata kupunguza sifa za mwandishi wa habari. Ni kwa ajili ya kutambulishwa na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Aliemaliza degree 2018 yupo kitaa, mwenzake alierudia form 4 akiwa "25 years" kahitimu diploma mwaka jana 2024 ila tayari kapata ajira taasisi nzito

    Hawa ni wanafunzi naowajua vizuri walimaliza form 4 mwaka 2012 Moja alifaulu kwa division 1 ya point 16 (ya enzi hizo), akaenda A Level shule nzuri ya private akafaulu division 2 nzuri, chuo akamaliza 2019, hakuwa mvivu wa kusubiria kazi ijilete, ni mpambanaji, kajitolea sana na kuhudhuria...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Dirisha la usajili kwenye vyuo vinavyo toa ordinary diploma in electrical engineering lipo wazi?

    Samahani kwa anayejua kuhusu mwenendo wa dirisha la usajili kwenye vyuo vinavyotoa ordinary diploma in electrical engineering, naomba kujua kama bado nina muda wa kutuma maombi au muda umeshaisha saivi.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya wanafunzi wa diploma

    Siku za nyuma kidogo nilieleza jinsi waanafunzi wanavyochaguliwa vyuo vya kati hasa vya Afya isivyo kuwa na utaratibu mzuri. Nikaeleza kuwa vyuo hivyo vinachukua wanafunzi wenye points 10 mpaka 18. Mwanafunzi aliyesoma shule ya kata ,ambaye MIAKA yote ameangaika kupata Mwalimu wa Physics kwa...
  20. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wanaku-Delude Kuwa Umeelimika, Ila Wewe Ni Robot Lao Tu, Maana Nje Ya Mfumo Wao Vyeti Vyao Vya Degree Ni Vifungashio.

    Katika jamii ya leo, elimu imekuwa kama kipimo cha thamani ya mwanadamu. Certificate, Diploma na Degree vimechukua nafasi ya heshima, ajira na hadaa kubwa ya kijamii. Hata hivyo, ukweli ni kwamba hiyo ni chicanery tu, unaambiwa na unajiona umeelimika kwa sababu umepokea uthibitisho wa...
Back
Top Bottom