dini

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nalaani vikali eneo takatifu la Mahakama kugeuzwa na Chadema kuwa ulingo wa siasa, dini na vurugu

    Kila inapofika kesi ya Lissu au ya Chadema lazima kutokee tafrani ya wafugaji na Polisi, huu ni mchezo wa kifala sana unaochezwa na Kitengo cha propaganda cha chama hicho ili watanzania tuamini kuwa chama hicho kinaonewa na kinapambania haki, kamanda Muliro usikubali uhuni wa namna hiyo, upande...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA Mmeishiwa mbinu? Serikali haina dini na haitaongozwa kwa misingi ya dini

    Naona aibu sana kuona chama ambacho kilikuwa kwenye ubora wa kipekee miaka kadhaa nyuma sasa kimeporomoka na kufanya vitu visivyoeleweka. Serikali haina dini japo watu wake ni waamini wa dini mbalimbali.
  3. JamiiForums Tanzania Wasioamini katika dini tukutane hapa!!

    Wapagani wenzangu, habari za jioni. Karibuni tujadili kuhusu Imani Yetu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Form 6 leavers mliopata division 2 na 3, mjitahidi kuomba vyuo vingi hasa vya makanisa na private, Vya serikali ni vigumu kuingia.

    Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10. Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k) si kwamba ukiwa na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mzungu mwanadamu pekee anaejitahidi kuisaidia dunia, waliobaki wapo kwajili ya matumbo yao, makabila yao, dini zao, n.k.

    Wachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu au mazingira. Waarabu mpaka leo wana mindset ya kuwaona waafrika ni watumwa hata uwe mna dini sawa, waafrika wengi mahousegirl hulalamika kunyanyaswa, nchi za kiarabu kama Libya biashara ya utumwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mama amshika pabaya mchungaji, Mungu kasema unipe laki sita

    Wakuu Mungu kasema na Mama ajabu mchungaji anajianya hasikii.😁😁
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania wanapenda sana kujadili mambo kwa mlengo wa dini

    Kuna mtu alituma andiko kua mafanikio ya taifa stars ni kua waislamu wamepewa nafasi. Hilo ni andiko la ajabu sana na huyu mtu ningekua na mlaka ningempa onyo kali sana kwa kuleta fitna. Kwenye sakata la wake wa Ndugai wapo wanaosema ndoa ya kwanza ya kanisa ndio inayotambulika kwakua hawa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nimemsikia Dkt. Malisa akisema kama hakutakuwa na Mabadiliko anayodai Viongozi wa Dini zote wataongoza maandamano

    Akiongea na Watanzania walioko Diaspora kupitia mtandao wa Sauti ya Watanzania au Clubhouse,Dk Malisa alisema kuwa kama mambo anayodai mahakamani hayatakubaliwa,Viongozi wa Dini zote watawaongoza watanzania kuandamana kudai maboresho ya sheria za uchaguzi. Amesema amekuwa akiwasiliana na...
  9. JamiiForums Tanzania Msanii wa Bongo flava Samiri abadili Dini

    Kwanini kubadili Dini kutoka Ukristo kwenda uislamu inakua story Sana?? Na kwanini kutoka uislamu kwenda Ukristo inachukuwa kawaida tuu
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna dini inayofundisha ukweli hata moja duniani

    Nini maana dini - Dini ni utamaduni wa eneo fulani. Je dini zinafundisha ukweli , ? Hakuna dini yoyote yenye mafundisho ya kweli. Ila ni hadithi , na kawaida ya hadithi waweza pata kitu cha kujifunza chanya au hasi. Bibilia na Quruan - hivi vitabu vimeandikwa na watu havina uhusiano na Mungu...
  11. JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo dini zimeharibu zaidi akili za watu

    Hii ni mikoa nane ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa. 1. Dar es Salaam 2. Mbeya 3. Arusha 4. Kilimanjaro 5. Mikoa yote Zanzibar 6. Pwani 7. Lindi 8. Mtwara
  12. JamiiForums Tanzania DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

    DOGMA ni kitendo Cha kuufanya uongo kuwa ukweli na kutumia Mbinu za kisaikolojia kukupandikiza huo uongo katika akili za watu DOGMA ndani ya ukristo 1) wameaminishwa kuwa Yesu amezaliwa katika hori la kulishia ng'ombe wakati hakuna andiko linalosema hivyo 2) wameaminishwa kuwa ukristo ni dini...
  13. JamiiForums Tanzania Mungu hana dini

    "Muumba alitupatia uzima - sio mafundisho na hekaya za kidini "Ukweli haumilikiwi na vitabu, mahekalu, au wanadamu. Ukweli unapatikana kwa kupatana na Nuru - katika matendo, nia, na ukumbusho." "Kila dini ilianza na mtu ambaye alikumbuka. Lakini mara tulipogeuza ujumbe wao kuwa udhibiti...
  14. JamiiForums Tanzania Wazazi, Mnamfundisha Mtoto Kuishi au Kuwa Mshika Maandishi? – Usimjengee Akili, Ukauwa Ujasiri Wake

    Kuna wazazi wengi wanafikiria kuwa kazi yao kubwa ni kuhakikisha mtoto anapata akili sana. Anapata elimu nzuri, anasoma vitabu vingi, anajua mambo mengi. Hili si kosa. Lakini kuna jambo moja kubwa ambalo wengi wanasahau: Yaani, unamjaza mtoto maarifa, unamwambia maisha ni hivi na vile...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nini dinosaria(Dinasours) hawazungumziwi kabisa kwenye vitabu vya dini?

    Mnyama wa urefu wa mita 13 na kimo mita 4 ni mkubwa sana na lazima awe jambo la kushangaza na gumzo kwa binadamu ila hawa wanyama hawatajwi kabisa kwenye vitabu vya dini! Haya hapa ni mabaki ya T.Rex Dinasour ambao katika evolution wanasemwa ndio ndugu wa karibu zaidi wa kuku wa leo.
  16. JamiiForums Tanzania Mungu hatetewi mnanishangaza mnaosema Mungu ni muweza wa yote alafu bado mnasimama kumtetea

    Mungu hatetewi mnanishangaza mnaosema mungu ni muweza wa yote alafu bado mnasimama kumtetea. Kuna hawa sijui wanatetea uislam, sijui wanamtetea allah, kuna hawa sijui wanatetea ukristo sijui wanamtetea yesu. alafu hapo hapo wanakwambia mungu wetu sisi ni muweza wa yote. Mungu hayupo hivyo...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nini Wachina na Wahindi hawasambazi dini KWA bidii kama Waarabu

    Wachina wanadini ZAO, wahindi ndio balaa. CA ajabu watu wa haya maeneo hawana kiu kubwa ya kutaka watu wajiunge na dini yao kama Waarabu. Sababu ni nini?
  18. JamiiForums Tanzania Hata Biblia Inajua...

    Mhubiri 10:19 "Karamu hufanywa kwa ajili ya kucheka, divai hufurahisha maisha; bali fedha hujibu kila kitu." Mungu huwapendelea wanaojituma. Miujiza haiji kwa wavivu, huja kwa wale walio tayari kuipokea kupitia kazi. Fedha huleta suluhisho kwa mahitaji ya maisha: chakula, afya, elimu, malazi...
  19. JamiiForums Tanzania Imani (dini) ya kweli haiishii kwenye hoja.

    Juhudi za kimwili na akili tulizonazo binadamu wote hazitoshi kuwa ushahidi wa imani ya Mungu mwenye nguvu kupita wote. Kuna Mungu na miungu. Viumbe kama miungu vina nguvu, na nguvu hiyo tunaita nguvu ya kiroho (maarifa ya kiroho) Tunafahamu Mungu aliyetuumba ndie ana nguvu kubwa ya kiroho...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Namkubali na kumuheshimu sana Shehe Hashim Rusaganya, mbobezi elimu ya dini na elimu Dunia ,mfano wa kuigwa miongoni mwa Wanazuoni wakubwa duniani

    Niwe muwazi kuwa Mimi ni mkiriso lakini namkubali sana Mwanazuoni Shehe Rusaganya Mungu azidi kumbariki Kwa hekima alizompa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…