dini

  1. Kenya2022 NAIROBI: Viongozi wa Dini wamuangukia Raila kabla hajalianzisha!

    Viongozi wa dini wamekutana na ndg Raila Odinga ili kujadiliana kwa suala la amani, katika kikao hicho ajenda kubwa ilikuwa suala la AMANI kuliko HAKI. Baadhi ya wanachama wa Azimio wamesema kuwa, wao hawapingani na Amani bali wanapinga Dhuruma, pia wameendelea kusema hawataki Amani ya...
  2. SoC02 Dini inapogeuka kichaka cha kujificha kwa watawala wasiotimiza wajibu wao kwa wananchi

    UTANGULIZI. Nafungua kamusi yangu ya kiswahili na Kutambua kuwa Neno "DINI" ni neno la kiarabu lenye maana ya jumla ya imani ya binadamu pamoja na mafundisho wanayotoa kuhusu yale ambayo wanayazingatia ama kuyasadiki, yaani mambo ya roho, kama vile kuhusiana na Mungu, maisha na uumbaji (...
  3. Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

    Mwandishi wa vitabu na makala maarufu Profesa Salman Rushdie amevamiwa na kuchomwa kisu akiwa kwenye mhadhara na anaedhaniwa kua ni muumini wa dini ya kiislamu huko New York. Kwa Tusiofahamu Bwana Rudhdie ndie muandishi wa Kitabu cha Satanic Verses ambacho kinasema kua dini ya kiislamu na Quran...
  4. Ruvuma: Waathirika 4,023 waacha kutumia dawa za ARV sababu ya imani ya dini

    Baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Ruvuma ambao ni wathirika wa Virusi vya UKIMWI (VVU) wamebainika kutotumia ARV ambazo ni dawa za kufubaza makali ya VVU wanazopewa vituoni kutokana na imani ya dini. Mratibu wa Kudhibiti UKIMWI Mkoani Ruvuma, Josephat Kalipesa amesema hatua hiyo imebainishwa licha ya...
  5. SoC02 Selivesh: Dini ya Manyanyaso (Waumini Ni Watumwa wa Kiongozi)

    Miaka yangu miwili kama muumini wa Imani hii, niliamini hakuna mtu anaweza kusikia maagizo ya Mungu kama hajafunguliwa kutoka kwenye nguvu za giza zinazomshikilia katika ulimwengu wa kiroho (wanaita vifungo). Lakini siku chache baada ya kutoka Selivesh, kwa msaada wa Neema ya Mungu, kulitafakari...
  6. Dini zinavyoharibu watu akili

    Muislamu, Jifunze Kiarabu Achana na Kiingereza. Peponi Lugha ni Kiarabu tu
  7. T

    Watanzania na Viongozi wa Dini tufunge na kuliombea hili Taifa

    Sitaki kunyoosha kidole kwa mamlaka maana nina imani kila mamlaka inawekwa na Mungu. Iwe mbaya au nzuri ila anaye isimika ni Mungu pekee iwe kwa wizi wa kura ama kwa namna yoyote bado Mungu ndie anaye ziweka mamlaka nakuzipa ridhaa kuwaongoza watu. Yes kama Mungu angakuwa sio anaye bariki mambo...
  8. Hadi sasa waislamu ndio wanaoongoza kwa waumini wengi wenye imani moja Tanzania. Wakristo wamegawanyika madhehebu mengi yasiyo na ushirikiano

    Muhimu: Uzi huu umejikita kwa mazingira ya Tanzania na sio nchi za nyingine Hii ni kwa sababu ya mpasuko mkubwa sana uliotokea katika ukristo, wapo ambao wanataka kwenda dhehebu lenye miujiza hawana mda na neno, wapo wanaotaka dhehebu wanaloweza kujichia wakate hata mauno wanavyocheza gospel...
  9. Harmonize kabadili dini kisa Kajala

    Tumezoea mwanamke ndio huamua kubadili dini ili amfuate mwanaume. Lakini leo Harmonize amebadili dini na kumfata Kajala katika Ukristo. Harmonize jina lake halisi la NIDA ni Rajab ila kwasasa anaitwa Robert. Kesho akibwagwa tena atarudi kwenye uislamu wake au atabaki hukohuko? Dunia haijawahi...
  10. Tubadlike: Tunapoteza asili yetu kwa kuwaiga vitu vingi wazungu na waarabu kwa kujidanganya ni dini

    Haijalishi ni Ukristo au uislamu, hizi dini sio kwajili ya wazungu na waarabu kama watu wengi wanavyodhani, hizi dini ni kwajili ya mtu yoyote sehemu yoyote duniani. kumekuwa na mazoea mabovu tangu zamani ya wanaoabudu hizi dini kwa kudhani kwamba ili kuabudu dini ya kiisalamu inabidi uige ige...
  11. Nchi ya Chad inaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja kwa dini zote, Nusu ya wanaume wakristo wana mke zaidi ya mmoja, Je ukristo unawabana wanaume?

    Ifike mahala jamii ikubaliane na uumbaji wa Mwenyezi Mungu na namna alivyomuumba mwanaume. Nchini Chad, unaweza kuoa zaidi ya mke moja hata kwa ndoa ya kikristo, hali hii imepelekea zaidi ya nusu ya wanaume wenye imani ya kristo kuoa zaidi ya mke moja....kuna asilimia kubwa ya wanaume wakristo...
  12. Ni Wendawazimu kujificha kwenye Kichaka Cha Dini. Ni kupoteza Uelekeo na kufunika Kichwa Ardhini Ukidhani wenye akili Hatukuoni

    assalaam alaikum wa rahmatullahi wabalakatuh... huu naandika nikiwa nimekasirishwa na matukio ya watu kadhaa kuamua kujificha katika dini ili kudendeleza tabia cao chafu za njaa, unafiki na chuki. ni aibu kuwa sasa hivi kama Mtu atamkosoa Rais Samia itadaiwa ni sababu ya Dini yake. Huu ni...
  13. Taasisi za dini zianzishe utarabu wa kuwaunganisha vijana/ndoa

    Kutokana na mabadiliko makubwa ya Sayansi na Teknologia, Kumekuwa na changamoto kubwa sana kwa vijana wa kike na kiume kupata wenza sahihi wa kuoa/kuolewa na kwa wakati sahihi; Hii ni kutokana na mfumo mzima wa Elimu nk Nashauri Makanisa na Misikini ianzishe utaratibu rafiki (wa faragha) ambao...
  14. Sabaya komaa mpaka mwisho, usitume viongozi wa dini kuomba msamaha

    Mwamba wa Chadema alijifanya nunda lakini mwisho wake alituma viongozi wa dini ili wamchomoe na akalia sana kwa hudhuni ya huruma. Sasa hivi habari ya katiba mpya na kudai haki za wanyonge amesahau amebaki kuhudhuria live concert sababu yeye ni Deejay
  15. F

    Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

    Ninajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi? Inawezekana wanatujua ngozi nyeusi tuna mambo ya ajabu. Mfano msiba wa dada wa Mwanza aliyepigwa risasi ndugu wa...
  16. Askofu jimbo la Mbinga: Amani ni tunda la haki

    Mahubiri ya Askofu John Ndimbo (Kingenzu) katika Misa ya Christmas amesisitiza kuwa bila kutenda haki hakuna Amani.Amesema haki ya watu kuchagua viongozi wao,haki ya kuishi pia amesieistiza msamaha wa kweli. Lakini amesema yeyoye anayempenda Mungu anawajali binadamu wenzake. Amesema pale mtu...
  17. Ni dini au biashara?

    *Kwanini Manabii wengi sanaaa wanahubiri watu KUKUA KIUCHUMI kuliko kuhubiri UFALME WA MUNGU? *Kwanini SADAKA na MICHANGO ya kiimani imekuwa AGENDA kubwa katika mikutano ya KIDINI kuliko mafundisho ya TABIA NJEMA, UTII KWA MUUMBA na UPENDO?
  18. Ninatafuta mpenzi (girl friend) awe Iringa mjini

    Natafuta mpenzi I mean a girlfriend- awe Iringa mjini au karibu na maeneo ya Iringa, umri uwe kati ya miaka 22-27, asiwe na mtoto Wala kuwahi kuzaa, awe na mwili wa kawaida sio mnene, Wala sio mwembamba sana, rangi yoyote tu Haina shida, elimu yake kuanzia kidato Cha nne na kuendelea, awe...
  19. Nawezaje kuanzisha dini mpya? Naomba maoni

    Habari wakuu. Nafikiria kuanzisha dini. Sababu kubwa ni iwe kama kitega uchumi. Naombeni maoni yenu iwe ya namna gani iendane na nyakati za sasa. Najua matakwa mawili matatu. Kitabu pathetic fallacy kinasema kuwa dini ni zao la binadamu kuogopa kufa na kujiona bora(egoism of specie). Sasa hii...
  20. N

    Taasisi za dini, zinazoomba zisitozwe kodi ni wezi, Serikali msikubali kwa hilo

    Mara kwa mara, taasisi za kidini zimekua zikiomba serikali kutowatoza kodi kwenye huduma wanazotoa, wakidai kwamba wao hawafanyi biashara bali wanatoa kusaidia jamii, Huu ni wizi fatilia shule, hospitali na vyuo vya kidini wanatoza gharama kubwa kuliko hata vya watu binafsi, vyuo vingi vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…