Dini na mahusiano

Dini na mahusiano

jo5

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2022
Posts
897
Reaction score
1,386
Wakuu habari,

Kiukweli issue ya dini tofauti katika mahusiano inatesa sana, usiombe ikukute.

Huyu mwanamke ameamua kubadili dini na kuwa mlokole wakati tulikuwa Catholic wote, saizi muda wote fireeee, fireeeee, fireeee.😬😬😬

Kazi hataki kufanya kazi kushinda kanisani, yaani hata akiona mjusi tu uatasikia "fireeee''. Mara amlete mchungaji nyumbani daadeki.

Nimemtukana mchungaji na yeye na akimleta tena ni mwendo wa mapanga Kama T.M.K

NB: Huyu mwanamke sijazaa nae Ila nimepanga kumuacha.
 
Mchungaji anakula vyombo

Amini kwamba

Ameshatekwa, ngoja aanze kupeleka Mali zako kanisani huko kwa kigezo Cha sadaka ndo akili ikukae sawa !

Mwambie achague dini au ndoa!

Simama Kama mwanaume
 
Mchungaji anakula vyombo

Amini kwamba

Ameshatekwa, ngoja aanze kupeleka Mali zako kanisani huko kwa kigezo Cha sadaka ndo akili ikukae sawa !

Mwambie achague dini au ndoa!

Simama Kama mwanaume
Sawa mkuu, ndo maana nimesema namuacha.
 
Ukishaingia kwenye ulokole hata kulogwa ni rahisi. Kuna jamaa alitaka kumloga rafiki yake akashindwa kwani alikuwa ameaga kwao vizuri. Akamdanganya kuokoka na akakubali, sasa amemchukuwa kama msukule wake.
 
  • Thanks
Reactions: jo5
Haya mapokeo ya dini ukiyapokea vibaya madhara yake ndo hayo.
 
  • Thanks
Reactions: jo5
Ukishaingia kwenye ulokole hata kulogwa ni rahisi. Kuna jamaa alitaka kumloga rafiki yake akashindwa kwani alikuwa ameaga kwao vizuri. Akamdanganya kuokoka na akakubali, sasa amemchukuwa kama msukule wake.
😳😳😳Duh
 
Hajafanya maamuzi mabaya Ila mshauri atumie neno la MUNGU vyema kwa kulitafakari,, af kingne unakuta mnazini hapo af anajiita mlokolešŸ˜€ ndomana akili hazipo anaendaenda tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee eti hata akiona mjusi ni fireeeee fireeeeee na mchungaji akiwa anamkaza ni hvo hvo anasema fireee fireeee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee eti hata akiona mjusi ni fireeeee fireeeeee na mchungaji akiwa anamkaza ni hvo hvo anasema fireee fireeee
We acha tu
 
Back
Top Bottom