Asalam,
Hoja: Kuhuhusu mitazamo, mantiki, ufikiri na misingi ya maamuzi.
Nimeona mivutano na uongo mwingi kuhusu dini, imani, madhehebu,, makabila, ukanda, jinsia nakadhalika kutumika katika kukanya, kuzuia, kuhimiza na kuogofya kutumika kama misingi ya kifikra katika kufanya maamuzi au kutoa...
MWANAMKE LAZIMA ABADILI DINI NA IMANI ILI IFANANE NA YAKO NDIPO UMUOE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya ishara za awali Kwa Mwanamke anayekupenda na anayeweza kuwa Mkeo ni kukuamini, na kuamini Kwa kile ukifanyacho na kile unachokiamini. Kwa Mwanamke Hisia na Imani vinaenda sambamba...
Namsikia Lema akiwakoromea viongozi wa dini kwa maneno ya dhihaka na dharau kwa kuwa tu hawajahudhuria mkutano wa siasa, kana kwamba na wao ni wanasiasa au wanalazimika kufanya hivyo.
Wana hiyari ya kuja au kutokuja, wasipokuja hawana kosa na wakija pia hawana kosa, iweje wasipokuja uwaone...
Mfanyabiashara maarufu na mmilikiwi wa A. M investment na mahotel mbalimbali nchini Alex massawe abadili dini na kuwa muislamu
Alex massawe alikimbia nchi ya Tanzania na kukimbilia south Afrika kutokana na tuhuma mbali mbali.Hongera bwana Alex massawe kuja kwenye dini ya haki na dini yenye...
Niseme tu ukweli huyu jamaa huwaga namshangaaga sana, licha ya kukaa sana madrasa na kufanikiwa kumaliza juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu aliyonayo.
Hatukatai anajitafutia rizki ila kwa kweli ni too much haswa kwa mtu kama yeye. Kwa alipofikia sidhani kama atakuwa...
Baadhi ya viongozi wa Dini huwenda hawana Roho wa kweli,
Hawana msimamo, hawaelewi maelekezo ya Mungu kuhusu mambo ya watu wao, nchi yao na hata mambo yao wenyewe
Haiwezekani kama kiongozi wa dini, ukiwa kwenye nyumba ya Ibada, unaongoza watu maombi ya kuzuia mkataba wa DPWORD
Ajabu ukiitwa...
Kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi any way tuachane na hayo.
Unamchukuliaje mwanaume anayebadili dini kisa mwanamke, mimi namuona wa ajabu kweli kama ameshindwa kusimamia imani ya dini yake bas hata maamuzi kama baba wa familia hatokua nayo mke akimkingia kibesi tayar...
WITO WA KUHUDHURIA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA: BANDARI ZETU! URITHI WETU!
Kwa viongozi wa dini zote na Madhehebu yote nchini Tanzania!
Sisi Watanzania tulioko ndani na nje tumeamua kulinda rasilimali za nchi tulizopewa na Mungu sisi na vizazi vyetu kama ilivyoanishwa kwenye Ibara ya 27 (1) na...
Biashara maana yake muuzaji anafurahi kuuza bidhaa yake huku akiweka kibindoni faida yake, while mteja akifurahia bidhaa ya thamani halisi.
Kama mbele ya safari mteja akigundua kuwa ameuziwa bidhaa bandia au isiyo thamani halisi ya pesa yake hali hiyo tutaiita utapeli. Na huo utapeli ndio...
Wakati mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) ukifikia asilimia 90 ya ujenzi wake, viongozi wa dini wamesema watakwenda kuwaelezea waumini wao umuhimu wa kutunza mazingira ili mradi huo uwe endelevu.
Viongozi hao kutoka Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu...
Video ya wadada wakiwa wanapita mbele yaa nabii mkuu na mawazi yasio ya heshima na yasiyostahili kwenye madhabahu ya Mungu.
Kuna haja ya kufungia baadhi ya huduma na kuweka vigezo vikali kwa wanaoongoza huduma hizo.
Shetani yupo duniani.
MKASA WA BINTI MKRISTO ALIEBADILI DINI:
Nimeshawahi kushuhudia mvurugano wa hali juu kwa suala hili kutoka kwa familia za wanandoa, Bint wa kimakonde Mkristo alikubaliwa na wazazi wake abadili Dini ili aolewe na kijana Muislam, Shida ikaja pale bint alipofariki, ndugu za mume wanataka kumzika...
Kuna siri nyuma ya pazia? Kuna watu wana jambo lao? Kama sio kwa nini Bible knowledge haipo? Kwa nini limekuja awamu ya 6?
=====
Hii ni orodha ya masomo kwenye TAHASUSI za Tanzania Bara pamoja na Zanzibar, kwa Zanzibar wana masomo ya dini yanayoingia kwenye TAHASUSI tofauti na Tanzania Bara...
Kwa hoja zifuatazo
1 Kuoa mwanamume aoe infinitely kulingana na uwezo wake.
2. Kuoa mke mmja ni dalili ya uroho na kukosa ukarimu Kwa wengine.
3. Mwanamke anaweza kuoa wanaume zaidi ya mmja kulingana na uwezo wake
4. Kwamba Mungu ni upendo.
5.kwamba hakuna aliye Bora kuliko wengine,hakuna...
Je, wafahamu ni kipindi gani hali ya kupoteza nguvu na kuanguka kwa dini Ulaya kilianza miaka ipi na karne gani?
Simple fact:
Tujifunze, wenda hali hii ya sasa ya mataifa mengi ya ulaya kuteteleka katika mambo ya imani na dini yakushanganza na kujenga maswali mengi katika ufahamu wako kuhusu...
Post hii sio ya ligi ya ukristo vs uislam, Tupeane elimu na ushauri namna ya kujenga awareness kwamba kinachofanyika ni ukatili na tushauriane mbinu nzuri mbadala.
Hii ni video ikionyesha mfano wa hali iliyozoeleka katika baadhi ya madrasa na wala si jambo geni, adhabu wanayopata watoto ni...
Mnamo mwaka 2013 baba yangu alikutana na mchungaji mmoja huko Moshi na baba yangu akamueleza kiu yake ya kuwa karibu na Mungu kwani ujana wake hakuwa mtu wa kwenda kanisani. Mchungaji(jina limenitoka lakini ningemtaja) akamueleza habari za uwata na kwamba angemkutanisha na kiongozi wa dhehebu...
Niseme wazi kabisa wabaotetea huu mkataba wa kipuuzi kati ya Tanzania bara na DP World kuwa wamilikishwe bandari zote za Tanzania bara kwa mkataba usiokuwa na ukomo wanasumbuliwa na udini. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuthubutu kuungana na huu upuuzi zaidi tu ya udini wao. Wana...
Mali zote za nchi hii ni zetu sote watanzania bila kujali dini zetu
Hakuna mwenye haki zaidi ya mwingine kwenye Mibaraka ya Mungu juu ya nchi yetu Tanganyika
Tunaweza kutofautiana kwenye Imani, lakini hiyo haiondoi Utanzania wetu
Hatuna nchi nyingine zaidi ya hii tuliyopo sasa, sote ni...
Kuna watu wanataka kugeuza issue ya Bandari zetu kuwa ya dini... Kusema kwamba watu hawataki DP world kisa ni waislamu ni upotoshaji mchana kweupe..and cheap politics ujinga na kukosa hoja.
Sisi hatutaki mwekezaji tumkabidhi rasilimali zenu Kwa upendeleo wowote ule. Eti kisa Raisi ni muislamu...