diamond platnumz

  1. JamiiForums Tanzania TCRA na Jeshi la Polisi Waogopa Kumchukulia Hatua Diamond Platnumz kwa Kutukana Hadharani

    Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA na Jeshi la Polisi kwapamoja wameogopa kabisa kumchukulia hatua ndugu Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz baada ya video yake ya matusi ya nguoni kusambaa. Katika video hiyo, Staa huyo wa muziki amewatukana akina mama wote wa Tanzania ambao vijana wao...
  2. JamiiForums Tanzania Tazama Diamond Platnumz akiandika wimbo wa Pawa alioimba Mbosso

    https://www.instagram.com/reel/DNKynyksZuT/?igsh=MXZ2Ym0zcGh1MDNjdQ== Kuna wakati nilieleza kuhusu Diamond Platnumz kuandika hitsong ya Pawa ambayo imeimbwa na Mbosso nilioga matusi hapa. Sasa kuna receipt hapa imepostiwa kwenye ukurasa wa Instagram wa media namba moja Tanzania. Wasanii wasio...
  3. JamiiForums Tanzania Picha: Diamond Platnumz akiwa ametupia mwilini zaidi ya Tsh. Milioni 659!

    Msanii Diamond Platnumz ametupia mavazi na vito vya thamani kubwa vilivyogharimu jumla ya dola 265,259.95, sawa na Tsh. Milioni 659,171,100 akiwa ameunganishia mitindo ya kifahari kutoka Prada, Moncler, Louis Vuitton, Chrome Hearts, Balenciaga, na John Varvatos pamoja na mkufu wake wa Wasafi...
  4. JamiiForums Tanzania Zuchu atoa onyo Simu za usiku kwa mumewe

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu, ametoa onyo kali kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ni simu za usiku wa manane zinazopigwa kwa mumewe Diamond Platnumz. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Zuchu ameandika, "I just don’t understand why someone would call a married man usiku wa manane...
  5. JamiiForums Tanzania Responded Diamond Platnumz amjibu memba wa JamiiForums, amwambia "Mkataba wangu na Warner ni Sh Bilioni 13"

    Wakuu, Kuna uzi nilianzisha humu kuhusu wasanii wa Tanzania kutosainiwa na lebo za kimataifa Hoja ya Mdau iko hapa ~ Ayra Starr amesainiwa Roc Nation. Tanzania tunafeli wapi wasanii wetu kusainiwa na lebo za kimataifa? Naona msanii wenu kajibu kwa haraka sana akisema kuwa hiyo hoja yeye...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa Mwamposa akawa na pesa zaidi kuliko Diamond Platnumz

    Huyu jamaa harakati zake za kusaka tonge si mchezo, ninashawishika zaidi kuamini kwamba ana pesa zaidi kuliko Diamond Platnumz. Kama Samia atashinda uchaguzi huu, huyu jamaa utajiri wake utazidi kupaa na si ajabu akawa miongoni mwa watu (top 10) wenye pesa zaidi hapa nchini. Gwajima ameteleza...
  7. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz afunguka alivyomwaga chozi akishoot video ya komasava: Nililia akaunti ilipofungwa niki-shoot Komasava kutokana na masuala ya kodi

    Baada ya Diamond Platnumz kuulizwa na Billboard-: Unaendesha biashara nyingi, kitu gani kuwa boss wako mwenyewe kimekufundisha kuhusu kuwa msanii bora? "Kuwa boss wako mwenyewe ni suala gumu sana, kudhibiti haya mambo yote ni kazi kubwa, na muda mwingine kama upo katikati ya mahojiano unaweza...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 DJ wa Diamond, RDJ ajitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala

    DJ wa Msanii Diamond, RDJ amejitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala Kupitia CCM. RDJ amechukua fomu hiyo leo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, zilizopo mtaa wa Taifa Pub, jijini Dar es Salaam. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  9. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kashindwa kung'amua au balenciaga wamefeli kwenye designing

    Baada ya diamond Platnumz kuposti kwenye insta story yake kavaa viatu vya Balenciaga vyenye thamani ya euro 1650 sawa na shilingi milioni 4,815,794 za Kitanzania. Viatu hivyo ni brand ya Balenciaga aina ya Botte venom kuna viatu vya kike na vyakiume lakini Diamond Platnumz kanunua vyakike kike...
  10. JamiiForums Tanzania Picha ya Diamond Platnumz aliyopigwa Summer Jam 2025 yauzwa pesa ndefu, TSh Milioni 1.3 na Getty Images

    Picha ya Diamond Platnumz aliyopigwa Summer Jam 2025 yauzwa pesa ndefu, TSh Milioni 1.3 na Getty Images Kampuni kubwa inayojulikana kimataifa kwa upigaji picha za wasanii wakubwa na matukio makubwa, Getty Images, imetangaza rasmi kuuza picha moja ya Diamond Platnumz kwa $499 (Tsh Milioni 1.3/=)...
  11. JamiiForums Tanzania Anasalitiwa Diamond Platnumz Sembuse Wewe Ambae Huna Sumni

    Hapo chini kwenye video Diamond Platnumz anazungumza namna alivyosalitiwa na mpenzi wake aliyekuwa nae akitoka kimapenzi pia na Waziri wa Nishati wa kipindi icho, mpenzi anayehisiwa kumsaliti Diamond Platnumz hapo inasemekana ni Wema Sepetu. Hata hivyo pia kuna tetesi ziliwai kusema kuwa Mama...
  12. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz: Mimi ndiye msanii pekee Afrika ninayeweza kufanya aina zote za muziki wa Afrika

    Super Mega Star, Diamond Platnumz, akiwa kwenye mahojiano huko Ughaibuni (Uingereza) amesema kuwa yeye ndiye msanii pekee barani Afrika anayeweza kufanya aina zote za muziki kutoka katika kila kona ya Afrika. Diamond alisisitiza uwezo wake wa kipekee wa kubadilika na kuendana na mitindo...
  13. JamiiForums Tanzania History imeandikwa, Diamond Platnumz aisimamisha London kwa show kubwa... Watu kama mchanga!!

    https://www.instagram.com/reel/DK2yiqMNG2v/?igsh=aTdsZGNiMHc5bThn Ni kama ndoto ambayo imegeuka kuwa kweli. Msanii wa bongofleva kujaza ukumbi mkubwa kwenye jiji la London. Diamond ameweka historia ambayo itasimama vizazi na vizazi. Tunamdai nini tena Diamond? Heshima anayotupa pande zote...
  14. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz amuoa Zuchu. Ni mpango wa kuuzima moto wa Askofu Gwajima?

    Wakuu Huu mbona kama ni mkakati hivi wa kutaka kututoa kwenye Reli? Msanii wa Bongo Fleva, Nadeem Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz amemuoa mpenzi wake wa muda mrefu Zuhura Othman Soud maarufu Zuchu. Msanii wa lebo yake WCB Wasafi. Ndoa hiyo imeibuka katikati mjadala mkali baada ya...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya kutizama kwa kina nyimbo za Diamond Platnumz zilozofungiwa na BASATA, Hallelujah, Wakawaka na nyinginezo sikuona kosa la kimaadili

    Baada ya kutizama kwa kina nyimbo za Diamond Platnumz zilozofungiwa na BASATA, Hallelujah, Wakawaka na nyinginezo sikuona kosa la kimaadili Miaka ya nyuma BASATA ilichukua uamuzi wa kufungia nyimbo hizo kwa madai ya kuvunja maadili, baada ya kutazama kwa kina sikuona maudhui mabaya, akina dada...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania walalamikia kitendo cha Diamond Platnumz kumvalisha mtoto yatima T-shirt yenye rangi ya Upinde alipokwenda kutoa msaada kwa watoto yatima

    Watanzania walalamikia kitendo cha Diamond Platnumz kumvalisha mtoto yatima T-shirt yenye rangi ya upinde alipokwenda kutoa msaada kwa watoto yatima Diamond Platnumz alitoa msaada wa nguo kwa watoto yatima jambo lililowapa faraja watoto yatima pamoja na walezi wao lakini jambo la kushangaza ni...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diamond Platnumz: Usipotoboa kipindi cha Rais Samia, usiilaumu serikali

    Wakuu Msanii wa muziki na Mfanyabiashara Diamond Platnumz amesema mazingira mazuri ya biashara yamemfanya aendelee kupiga hatua uwekezaji na kuzindua brand mpya. Amedai kama kuna mtu ambaye atashindwa kufanya vizuri kwenye biashara kwa kipindi hiki cha Rais Samia basi atakuwa ameshindwa yeye.
  18. JamiiForums Tanzania Mwarabu Fighter: Nikiwa kwa Diamond nililala na kula hoteli za kifahari lakini niliishi maisha ya madeni

  19. JamiiForums Tanzania Harmonize amuomba msamaha Diamond Platnumz kwa tofauti zilizowahi kutokea kati yao, ikiwamo wakiwa visiwani Zanzibar

    NYOTA wa Bongo Fleva, Harmonize a.k.a Konde Boy amemuomba msamaha Diamond Platnumz kwa tofauti zilizowahi kutokea kati yao, ikiwamo cha siku ya karibuni wakiwa visiwani Zanzibar. Kupitia Insta Story yake, Harmonize ameandika kuwa anatumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuomba msamaha kwa yeyote...
  20. JamiiForums Tanzania Harmonize kumalizia ujenzi wa Msikiti ulioanzishwa na Diamond mtwara mwaka 2018 na kuuita 'Masjid Naseeb'

    Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza kuwa atamalizia ujenzi wa msikiti ambao Diamond Platnumz aliuanzisha kijijini kwao Mtwara mwaka 2018. Kupitia Insta Story yake, Harmonize amesema kuwa msikiti huo ulianzishwa baada ya wao wawili kujadili umuhimu wa kusaidia jamii na kuwekeza mbele za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…