Picha ya Diamond Platnumz aliyopigwa Summer Jam 2025 yauzwa pesa ndefu, TSh Milioni 1.3 na Getty Images

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,687
Reaction score
15,616
Picha ya Diamond Platnumz aliyopigwa Summer Jam 2025 yauzwa pesa ndefu, TSh Milioni 1.3 na Getty Images

Kampuni kubwa inayojulikana kimataifa kwa upigaji picha za wasanii wakubwa na matukio makubwa, Getty Images, imetangaza rasmi kuuza picha moja ya Diamond Platnumz kwa $499 (Tsh Milioni 1.3/=) ikiwa na ubora (quality) wa juu kabisa – (4188 x 6000px | 25.1MP).

Picha hiyo adimu inamuonesha Diamond Platnumz akiwa jukwaani akitumbuiza kwenye tamasha kubwa la kimataifa Hot97 SummerJam, na sasa inapatikana kwa yeyote anayetaka kuimiliki – lakini kwa viwango tofauti vya ubora kama ifuatavyo:

🔹 Quality ya chini kabisa – $150 (Tsh 391,000/=)
🔹 Quality ya kati “Medium” – $350 (Tsh 912,000/=)
🔹 Quality ya juu “High” – $499 (Tsh 1,334,000/=)

1750698267883.png
 
Tsh 1.3 milioni kwa picha ya celebrity katika soko la kimataifa la picha si pesa ndefu.

Kwa watu wanaojua bei za picha za celebrities wa kimataifa, mfano Uingereza na Marekani, bei hiyo ni ya kuonea aibu.

Tatizo inaonekana wewe ni masikini tu unayetumia pesa ambayo haina thamani hivyo shilingi milioni 1.3 yako haifiki hata dola 1000 za Kimarekani. Unaiona pesa ndefu kwa sababu imetajwa milioni katika shilingi.

Kuna picha za ma celebrity kimataifa zinauzwa $30,000 nyingine mpaka $100,000.

Sasa ukilinganisha bei ya picha hizo na hiyo ya Diamond, utaona hiyo ya Diamond ni pesa nyingi hapo Bongo tu lakini ukiruka Vingunguti njia panda ya Ulaya kuja Hollywood hiyo hela ya kunywa kahawa tu.
 
Ametokea kama homeless mvuta bangi.
 
Dola 400+ ni mshahara wa mtu wa siku wa mbeba boksi USA
 
Tsh 1.3 milioni kwa picha ya celebrity katika soko la kimataifa la picha si pesa ndefu.

Kwa watu wanaojua bei za picha za celebrities wa kimataifa, mfano Uingereza na Marekani, bei hiyo ni ya kuonea aibu.

Tatizo inaonekana wewe ni masikini tu unayetumia pesa ambayo haina thamani hivyo shilingi milioni 1.3 yako haifiki hata dola 1000 za Kimarekani. Unaiona pesa ndefu kwa sababu imetajwa milioni katika shilingi.

Kuna picha za ma celebrity kimataifa zinauzwa $30,000 nyingine mpaka $100,000.

Sasa ukilinganisha bei ya picha hizo na hiyo ya Diamond, utaona hiyo ya Diamond ni pesa nyingi hapo Bongo tu lakini ukiruka Vingunguti njia panda ya Ulaya kuja Hollywood hiyo hela ya kunywa kahawa tu.
Mkuu habari imeletwa kishabiki sana
 
Back
Top Bottom