diamond platnumz

  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii huyu Vixen aliyefanya video ya 'Nitafanyaje" ya Diamond ajitafakari sana. Hizi standards anamletea nani?

    Wakuu, Wakati napiga round mbili tatu huko mtandaoni nimekutana na clip ya video vixen aliyefanya video ya Nitafanyaje ya Diamond. Akiwa kwenye interview, huyu Vixen anasema kuwa sasa hivi hataki kufanya video na wasanii wa chini amejikita kufanya kazi na kina davido na wapopo. Ukienda...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Diamond athibitisha Mbosso kuondoka rasmi WCB Wasafi na hajamdai hata TSh. 10

    Bosi wa lebo ya muziki wa WCB Wasafi Diamond Platnumz amethibitisha Mbosso kuondoka rasmi chini ya lebo hiyo na kuwa msanii huru ambaye anajitegemea mwenyewe kisanaa. Soma: Diamond afafanua ishu ya Mbosso kuondoka WCB Akimwelezea kutokana na ukarimu na heshima ya Mbosso kipindi chote wakiwa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwijaku uso kwa uso na Diamond Platnumz leo Dodoma kwenye mkutano wa CCM

    Mwijaku amekutana na Diamond Platnumz kwenye Ukumbi wa Mkutano wa CCM mjini Dodoma.
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na Ukandamizaji, kuiburuza mahakamani Wasafi FM

    Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu, ameandika barua ya wazi kwa Diamond Platnumz akilalamikia unyanyasaji wa mara kwa mara kutoka kwa taasisi yake Wasafi FM, kupitia maudhui ya kipindi cha Mashamsham. Zuchu amesema maudhui hayo yameathiri sanaa na afya yake ya akili, licha ya uwekezaji mkubwa wa...
  5. errymars

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz Teases Exciting Remix of "Holiday" Featuring Rick Ross

    Tanzanian Bongo Flava superstar Diamond Platnumz has fans buzzing with anticipation following the announcement of a remix for his hit song "Holiday," featuring American rapper Rick Ross. The collaboration is expected to fuse Diamond's signature Afrobeat sound with Rick Ross's distinctive hip-hop...
  6. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la kufurahisha Diamond Platnumz kuingizwa kwenye mtaala wa elimu ya Tanzania. Bado kupewa PhD ya heshima sasa

    Hatimaye wizara ya elimu imeona umuhimu wa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz. Diamond na wasanii wengine wachache wa mfano kwa sasa wanasomwa na wanafunzi wetu darasani. Kwenye somo jipya la civic and moral diamond ametumika sana kama mfano mzuri wa watoto...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz anunua gari mpya la kifahari Bentley GT W12 ya Milioni 500

    Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amejivunia kumiliki gari la kifahari aina ya Bentley Continental GT W12 ya mwaka 2019. Gari hilo lilionekana kwenye msafara wa Diamond alipokuwa akienda Ivory Coast kwa ajili ya show yake, likifuatana na Cadillac na Rolls Royce. Bentley hiyo ina...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz na Nandy Wazoa Bilioni 3 huko Mombasa kwenye harusi ya Zakir, Mwana wa Bilionea Imran Kholsa. Rais wa Kenya Miongoni mwa Wageni

    Super bilionea toka Mombasa, Imran Kholsa, ameendelea kuthibitisha kuwa pesa kwake si tatizo, akigeuza harusi ya mtoto wake kuwa tukio la mwaka Ni baada ya kutenga kiasi cha dola 1,350,000 (sawa na shilingi za Kitanzania bilioni 3) kwajili ya Diamond Platnumz na Nandy kutoa burudani kwenye...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz aki-perfom usiku wa Tuzo za CAF

    Tazama sehemu ya performance ya Msanii Diamond Platnumz kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za CAF 2024 Marrakesh, Morocco Pia, Soma: Diamond Platnumz kutumbuiza katika Hafla ya Ugawaji Tuzo za CAF, Desemba 16 Morocco
  10. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Tuzo za CAF 2024: Kwanini Diamond Platnumz hakushangiliwa hata na mtu mmoja alipotumbuiza?

    Natazama hapa tuzo tajwa. Pamoja na tuzo mbalimbali kwa wachezaji na watu mashuhuri wengineo, mwanamuziki Diamond ametumbuiza. Akiwa na 'madansa' wake, Diamond alitumbuiza wimbo wa Komasava. Alipomaliza, Diamond hakushangiliwa hata na mhudhuriaji mmoja ukumbini. Kwanini? Yawezekana ni kwakuwa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kutumbuiza katika Hafla ya Ugawaji Tuzo za CAF, Desemba 16 Morocco

    Msanii nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anatarajiwa kutumbuiza katika hafla ya ugawaji tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) itakayofanyika Desemba 16 kama Headliner Pia, Soma: Simba na Yanga zang’ara kwenye Tuzo za CAF, Zawania Klabu Bora ya Mwaka 2024 Hafla hiyo ya kifahari...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz namba moja kwa kutazamwa YouTube Kenya

    Nyota wa muziki kutoka Bongo, Diamond Platnumz, amethibitisha ukubwa wake katika tasnia ya muziki baada ya kutajwa kama msanii aliyeongoza kutazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube nchini Kenya kwa mwaka 2024. Kwa jumla ya watazamaji milioni 125, Diamond amewashinda wasanii wengine maarufu...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Diamond kufunguliwa kesi ya fidia ya mabilioni na Wakenya kwa kushindwa ku-perform

    Wakenya wajanja sana. Wametafuta njia ya kuyachota mahela ya msanii Diamond, njia pekee waliyoona ni kumwalika kwenye show na kutengeneza mazingira ya yeye kuvunja mkataba. Paap akaingia kwenye mfumo kwa kuvunja mkataba na sasa anaelekea kudaiwa mabilioni kama fidia.
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz afichua kuwa alilipwa TSh. Miloni 374 kutumbuiza nchini Kenya katika show iliyovurugika, amchana Willy Paul "ananitengenezea ubaya"

    Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz afichua kuwa alilipwa dola 150k sawa na TSh. Miloni 374 (373,554,903) kutumbuiza nchini Kenya katika show iliyovurugika mwisho wa wiki. Taarifa hii imekuja wakati akijibu madai kwamba alihusika katika kumzuia msanii wa Kenya, Willy Paul, kupanda...
  15. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ampa ushauri Eric Omondi juu ya chuki wanayoieneza kwa wasanii wa Tanzania

    Baada ya chuki kubwa inayoenezwa na wasanii wa Kenya kwa wasanii kutoka Tanzania. Diamond ametia neno lake. Kikubwa cha kuchukua hapa mtu akikuzidi, solution sio kumchukia ni kufata njia za mafanikio ili na wewe utoboe. Diamond is so genius
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mzozo mkali wazuka Willy Paul akizuiwa kutumbuiza kabla ya Diamond Platnumz kwenye tamasha la Furaha City

    Mzozo mkali ulivyoibuka baada ya wasimamizi wa jukwaa na timu ya ulinzi kumzuia Willy Paul kutumbuiza kabla ya Diamond Platnumz kwenye tamasha la Furaha City Inaelezwa pia Diamond Platnumz hakupiga show Soma, Pia: + Diamond aondoka bila kuperform, kwenye show ya Furaha Festival Kenya + Hii...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Mario, Diamond Platnumz, na Harmonize waongoza orodha ya wasanii waliosikilizwa zaidi Tanzania 2024

    Ule msimu wa funga mwaka uliokuwa ukisubiriwa umewadia. Orodha ya Wasanii Bora Mwaka 2024: 1. Marioo 2. Diamond Platnumz 3. Harmonize 4. Alikiba 5. Zuchu Orodha ya nyimbo zilizosikilizwa zaidi nchini Tanzania mwaka 2024 1. Hakuna Matata- Marioo 2. Mapoz - Diamond Patnumz ft Mr Blue...
  18. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Kufanikiwa kwa Diamond Platnumz kuwa tajiri wa kwanza duniani lazima afanye uwekezaji mkubwa unaozidi matajiri wafuatao

    Hivi karibuni tumemsikia Diamond Platnumz akituelezea kuwa ndoto yake kubwa ni kuwa tajiri wa kwanza duniani Kwakweli ni ndoto nzuri sana ambayo kila binadamu angetamani kufikia Napenda kumfungua macho ndugu Platnumz kuwa ili awe tajiri wa kwanza duniani ni lazima afanye uwekezaji mkubwa...
  19. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Ni kweli umaarufu wa marehemu Kanumba ulikuwa ni zaidi ya Diamond Platnumz?

    Eti malegend, Ni kweli umaarufu na mvuto wa kukubalika wa Kanumba enzi za uhai wake huwezi linganisha na umaarufu wa Diamond, je ni kweli Kanumba alikuwa akikubalika sana na angekuwepo mpaka leo chibu tusonge msikia?
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Zuchu amuwekea Diamond Platnumz sharti zito kabla ya kupata mtoto pamoja

    Wakuu Zuchu kaweka kikwazo, tusubiri Diamond kama atakivuka 😆 Staa wa Bongo Fleva, Zuchu amempa sharti la ndoa Diamond Platnumz ndio waweze kupata mtoto pamoja baada ya Nyota huyo kumuuliza kama anamuamini na atamzalia wakiwa jukwaani wakitoa burudani ya muziki kwenye usiku wa kuamkia Oktoba...
Back
Top Bottom