diamond platnumz

  1. PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

    Huu ni ujumbe wa KISIASA alioutoa Diamond Platnumz Kwa Watanzania akiwaasa waache Lawama na wafanye kazi. Kwani Kila Awamu wanailalamikia serikali. ----------------------------
  2. M

    Dudu Baya: Majizzo kalewa mabilioni ya CCM, Diamond na wenzake wamelewa sifa za kijinga

    Godfrey Tumaini, a.k.a. Dudu Baya amefunguka kwa kina akielezea jinsi Majizzo anavyonufaika na Kampeni za CCM huku akiongelea dharau za Diamond na wenzake kwa watanzania tokana na kujaa sifa za kijinga. Msikilize vema
  3. PostGE2025 Majizzo: Ni kweli tunataka kumpoteza Diamond, mtu muhimu; aliyewainua Harmonize na Rayvanny?

    Msamaha ninaoomba ni kwa sababu nafahamu kuna mahali wadogo zangu hawa walipitiliza na sio kwa sababu walifanya kampeni (ile ni haki yao na uamuzi wao). Najua kuna maneno yalikukera, sio katika level ya siasa, bali katika level ya utu. NAOMBA MSAMAHA. Soma: Diamond Platnumz: Fanyeni kazi...
  4. Kampuni ya Pepsi yadaiwa kumtemesha ubalozi Diamond Platnumz kutokana presha ya maandamano

    Inadaiwa Kampuni ya Pepsi imeamua kujitenga na Diamond Platnumz ili kujiweka salama baada ya kadhia iliyozikumba baadhi ya kampuni Oktoba 29, 2025. Hii imetokana pia na presha ya watu mtandaoni waliodai uwajibikaji, na kuitaka kampuni ya Pepsi kujitenga naye. Kwa sasa, kampuni hiyo imefuta...
  5. Hatimaye pepsi wamvua ubalozi Diamond Platnumz

    Lilikuwa ni suala la muda tu. Hatimaye imetiki. Pepsi imemvua ubalozi diamond , hivyo diamond ameondoa utambulisho rasmi wa yeye kama balozi wa pepsi Tanzania. Sasa hapa inabidi nguvu nyingine itumike kuwashawishi serengeti nao wamtose ubalozi Pia jambo lingine Diamond amefuta picha ya...
  6. Twendeni tukaripoti account ya Insta ya Diamond Platnumz ifungiwe maisha

    Haijaisha mpaka iishe. Tunaanza walipoishia wao. Kama kweli una uchungu wa watu waliopoteza maisha kwa ajili ya mama yule kuingia madarakani kibabe akisaidiwa na wasanii uchwara kumpa promo. Promo zao zimewaponza, tunaanza walipoishia wao, wasifikiri vita imeisha ,ngoma bado mbichi sana...
  7. PostGE2025 Diamond: Mungu azilaze pema roho za waliotangulia

    Kutoka kwenye Ukurasa wa Mwanamuziki Diamond Platnumz ameandika haya "MWENYEZI MUNGU NDIO MPANGA WA YOTE...NA HAPAJATOKEA JAMBO PASIPO YEYE KUTAKA, NA KILA JAMBO HUTOKEA KWA SABABU...INSHAALLAH NA KWENYE HILI MWENYEZI MUNGU ATUJAALIE SABABU YENYE BARAKA KUBWA KWA TAIFA LETU... ATUJAALIE AMANI...
  8. Ila Mondi kwenye huu wimbo mpya wa NANI ubunifu ni wa viwango vya kimataifa, tuujadili kidogo

    Wakuu leo tuchambue kidogo ubunifu uliofanywa kwenye huu wimbo wa NANI uliochapishwa na Diamond dakika 30 zilizopita kwenye channel yake ya You Tube. Tukianzia story telling aliyoitumia hadi setting zake zimekaa kiubunifu sana hasa mazingira ya shule ilivyoanza anatambulishwa kama mwalimu...
  9. GE2025 RC Sirro: Diamond alisema sahihi, msilalamike fanyeni kazi

    Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, amewataka vijana kutumia muda wao kufanya kazi kwa bidii badala ya kutumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii kulalamika. Sirro amesema vijana wanapaswa kujiuliza kila siku, kuanzia asubuhi hadi jioni, ni kazi gani wamefanya kwa ajili ya familia...
  10. TCRA na Jeshi la Polisi Waogopa Kumchukulia Hatua Diamond Platnumz kwa Kutukana Hadharani

    Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA na Jeshi la Polisi kwapamoja wameogopa kabisa kumchukulia hatua ndugu Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz baada ya video yake ya matusi ya nguoni kusambaa. Katika video hiyo, Staa huyo wa muziki amewatukana akina mama wote wa Tanzania ambao vijana wao...
  11. Tazama Diamond Platnumz akiandika wimbo wa Pawa alioimba Mbosso

    https://www.instagram.com/reel/DNKynyksZuT/?igsh=MXZ2Ym0zcGh1MDNjdQ== Kuna wakati nilieleza kuhusu Diamond Platnumz kuandika hitsong ya Pawa ambayo imeimbwa na Mbosso nilioga matusi hapa. Sasa kuna receipt hapa imepostiwa kwenye ukurasa wa Instagram wa media namba moja Tanzania. Wasanii wasio...
  12. Picha: Diamond Platnumz akiwa ametupia mwilini zaidi ya Tsh. Milioni 659!

    Msanii Diamond Platnumz ametupia mavazi na vito vya thamani kubwa vilivyogharimu jumla ya dola 265,259.95, sawa na Tsh. Milioni 659,171,100 akiwa ameunganishia mitindo ya kifahari kutoka Prada, Moncler, Louis Vuitton, Chrome Hearts, Balenciaga, na John Varvatos pamoja na mkufu wake wa Wasafi...
  13. Zuchu atoa onyo Simu za usiku kwa mumewe

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu, ametoa onyo kali kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ni simu za usiku wa manane zinazopigwa kwa mumewe Diamond Platnumz. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Zuchu ameandika, "I just don’t understand why someone would call a married man usiku wa manane...
  14. Responded Diamond Platnumz amjibu memba wa JamiiForums, amwambia "Mkataba wangu na Warner ni Sh Bilioni 13"

    Wakuu, Kuna uzi nilianzisha humu kuhusu wasanii wa Tanzania kutosainiwa na lebo za kimataifa Hoja ya Mdau iko hapa ~ Ayra Starr amesainiwa Roc Nation. Tanzania tunafeli wapi wasanii wetu kusainiwa na lebo za kimataifa? Naona msanii wenu kajibu kwa haraka sana akisema kuwa hiyo hoja yeye...
  15. Kuna uwezekano mkubwa Mwamposa akawa na pesa zaidi kuliko Diamond Platnumz

    Huyu jamaa harakati zake za kusaka tonge si mchezo, ninashawishika zaidi kuamini kwamba ana pesa zaidi kuliko Diamond Platnumz. Kama Samia atashinda uchaguzi huu, huyu jamaa utajiri wake utazidi kupaa na si ajabu akawa miongoni mwa watu (top 10) wenye pesa zaidi hapa nchini. Gwajima ameteleza...
  16. Diamond Platnumz afunguka alivyomwaga chozi akishoot video ya komasava: Nililia akaunti ilipofungwa niki-shoot Komasava kutokana na masuala ya kodi

    Baada ya Diamond Platnumz kuulizwa na Billboard-: Unaendesha biashara nyingi, kitu gani kuwa boss wako mwenyewe kimekufundisha kuhusu kuwa msanii bora? "Kuwa boss wako mwenyewe ni suala gumu sana, kudhibiti haya mambo yote ni kazi kubwa, na muda mwingine kama upo katikati ya mahojiano unaweza...
  17. GE2025 DJ wa Diamond, RDJ ajitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala

    DJ wa Msanii Diamond, RDJ amejitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala Kupitia CCM. RDJ amechukua fomu hiyo leo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, zilizopo mtaa wa Taifa Pub, jijini Dar es Salaam. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  18. Diamond Platnumz kashindwa kung'amua au balenciaga wamefeli kwenye designing

    Baada ya diamond Platnumz kuposti kwenye insta story yake kavaa viatu vya Balenciaga vyenye thamani ya euro 1650 sawa na shilingi milioni 4,815,794 za Kitanzania. Viatu hivyo ni brand ya Balenciaga aina ya Botte venom kuna viatu vya kike na vyakiume lakini Diamond Platnumz kanunua vyakike kike...
  19. Picha ya Diamond Platnumz aliyopigwa Summer Jam 2025 yauzwa pesa ndefu, TSh Milioni 1.3 na Getty Images

    Picha ya Diamond Platnumz aliyopigwa Summer Jam 2025 yauzwa pesa ndefu, TSh Milioni 1.3 na Getty Images Kampuni kubwa inayojulikana kimataifa kwa upigaji picha za wasanii wakubwa na matukio makubwa, Getty Images, imetangaza rasmi kuuza picha moja ya Diamond Platnumz kwa $499 (Tsh Milioni 1.3/=)...
  20. Anasalitiwa Diamond Platnumz Sembuse Wewe Ambae Huna Sumni

    Hapo chini kwenye video Diamond Platnumz anazungumza namna alivyosalitiwa na mpenzi wake aliyekuwa nae akitoka kimapenzi pia na Waziri wa Nishati wa kipindi icho, mpenzi anayehisiwa kumsaliti Diamond Platnumz hapo inasemekana ni Wema Sepetu. Hata hivyo pia kuna tetesi ziliwai kusema kuwa Mama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…