dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukatili dhidi ya Wanawake nchini Tanzania bado ni tatizo kubwa

    Ripoti mpya ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) ya mwaka 2021 kuhusu Haki za Binadamu inaonesha kuwa bado ni mwiba Kwani licha ya kuwapo kwa unafuu wa matukio ya ukatili ikilinganishwa na miaka ya nyuma lakini bado juhudi zaidi zinahitajika katika kukomesha hali hiyo nchini. Kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nimefurahi mno Beki Henock Inonga Baka Kukosa Penati leo dhidi ya Orlando Pirates FC nikiamini kuwa kuanzia sasa atabadilika?

    1. Ana dharau sana Wachezaji wenzake 2. Anajiona ni bora kuliko Wote Kikosini 3. Anapenda Sifa na attention za Kijinga Uwanjani 4. Ana Utoto mwingi 5. Ana deka hadi anaboa na kuharibu 6. Anajiamini sana mpaka kujisahau 7. Ana Ushamba ambao haujifichi Nina uhakika kwa Ball Control yake...
  3. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine umesababisha hasara ya dola bilioni 60

    Uharibifu wa majengo na miundombinu ya Ukraine kutokana na uvamizi wa Russia umefikia hasara ya takriban dola bilioni 60 na utaongezeka zaidi kadri vita vinavyoendelea, Rais wa Benki ya dunia David Malpass amesema Alhamisi. Malpass ameuambia mkutano wa Benki ya dunia kuhusu mahitaji ya msaada...
  4. JamiiForums Tanzania Nionavyo Tena kwenye operation ya Urusi dhidi ya ukraine

    Baadhi ya watu wanadhani Urusi imekurupuka. Ukweli Urusi kila hatua kwa op hii ilipangwa. Urusi inaijua Marekani nje ndani kama ambavyo Marekani inaweza kuwa inaijua Urusi,kwa sababu ya historia ya nchi mbili hizi. Wengi hawajasoma juu ya "cold war". Kabla ya kuivamia Ukraine Urusi ilikua...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Sasa ni rasmi kuwa huko Kenya katika '2022 General Election' ni Vita kati ya Kikuyu na Luo dhidi ya Kalenjin na Luya

    Kama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu. Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.
  6. JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi ya kesho dhidi ya Simba Orlando pirates wamepata advantage kubwa ya match fitness kutoka kwa Mamelodi Sundowns.

    Save water drink beer. 🥃🥃 Pasaka njema mimi nimeshaanza kuzitwanga.
  7. JamiiForums Tanzania Ukraine: upendeleo kwa watu weupe dhidi ya weusi, Mkuu wa WHO asema

    Umakini kwa Ukraine unaonesha upendeleo kwa watu weupe dhidi ya weusi, Mkuu wa WHO asema CHANZO CHA PICHA,EPA Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) anasema ulimwengu hautoi tahadhari sawa kwa dharura zinazoathiri watu weusi na weupe. Tedros Adhanom Ghebreyesus alisema ni sehemu ndogo tu ya...
  8. JamiiForums Tanzania Uchumi kupanda katikati ya matatizo ya wadau ni ukatili dhidi ya wanaokutegemea

    Familia inatumia fedha zaidi kutatua changamoto itakayompata mwana familia kama vile kwenye ugonjwa, msiba, ada, kesi, kubomoka kwa nyumba, nk. Kwenye matukio kama haya kipato cha familia kitapungua kidogo ili kuhudumia mwanafamilia apate nafuu. Kama baba anaendela kuvua samaki baharini kukuza...
  9. JamiiForums Tanzania Kukataliwa Goli la Simba dhidi ya Coastal, Azam TV Hamtutendei Haki Wateja Wenu

    Kwema Wakuu, Najua hili litawafikia sababu JF ni Platform kubwa. Nyinyi Azam TV ndio mmepewa haki ya kuonyesha Mpira wa Ligi yetu pendwa ya NBC Premier League. Sisi Subscribers wenu tuna haki ya kupata Matangazo hayo katika ubora wa hali ya juu bila ukakasi. Yaani Sisi kwa kununua ving'amuzi...
  10. JamiiForums Tanzania Vuguvugu la wanajeshi Warusi walioasi na kujiunga Ukraine dhidi ya Putin - Freedom of Russia legion

    Wengi wanaendelea kuasi na kujiunga kwenye hili vuguvugu, wakiwemo makamanda kabisa, wameona hamna haja ya kuendelea kuteseka kwenye njaa huku wakitumia zana ambazo zenyewe nyingi zimeharibika au kukosa mafuta ilhali wanaliwa shaba na kufukuziwa kwenye nchi ya watu, yote hiyo kisa kumfurahisha...
  11. JamiiForums Tanzania Vita ya Ukraine; Waafrika tuamke, ni ubeberu wa Magharibi dhidi ya walimwengu

    Waafrika tuamke wenzetu asia amerika latino wanaelewa nini kinaendelea. Ukiangalia vita vya ukraine ni kwamba hapo pamekua tu uwanja wa mapambano. Ni kati ya nchi za kibeberu za marekani na ulaya ya magharibi wakiongozwa na marekani wakipigania hati miliki kudhibiti uchumi wa dunia. Utaona...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ukraine sasa iko katika vita kamili vya kujikomboa

    Hali ya vita vya Ukraine sasa iko wazi kwa kila mshirika. NATO na Ukraine kwa upande mmoja na Russia kwa upande mwingine. Uwanja wa vita rasmi unaeleweka kwa wote kuwa ni Ukraine. Russia kama Nduli Amini, sasa anatakiwa kufurushwa kutoka katika ardhi zote za Ukraine zikiwamo Donbas, Lohansk...
  13. JamiiForums Tanzania Kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi makubwa kwenye uchaguzi mkuu hapa nchini. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa waliikataa CCM dhidi ya upinzani

    Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010? Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema. Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa. Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga...
  14. JamiiForums Tanzania Oscar Academy: Baada ya Smith kumpiga Rock, aliombwa aondoke akagoma, tutachukua hatua za kinidhamu dhidi yake

    Waandaaji wa tuzo za Oscar wanasema baada ya smith kufanya fujo na kumpiga Rock, aliombwa aondoke lakini akagoma. Oscar Academy wanasema watamchukulia smith hatua za kinidhamu kwa kufanya fujona pia kudhalilisha hadhi ya tuzo hizo za kimataifa. Watu wengi wanasema alichokifanya Smith kimezidi...
  15. JamiiForums Tanzania Ukraine: Gavana wa Chernihiv asema Russia haijalegeza mashambulizi licha ya ahadi ya kupunguza mashambulizi

    Gavana, Viacheslav Chaus, alitumia programu ya kutuma ujumbe ya Telegram kukashifu ahadi ya Urusi. "Urusi yaanzisha mashambulizi mapya baada ya ahadi ya amani, Tunaamini ndani yake? Bila shaka sivyo," alisema, akiongeza Urusi ilikuwa imeshambulia Chernihiv "usiku kucha". Siku ya Jumanne, Urusi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania FIFA inatakiwa kuwaondoa Senegal World Cup kwa mchezo mchafu dhidi ya Egypt

    Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti Hili limewaathiri sana wachezaji wa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yafanikiwa vita dhidi ya malaria kabla ya 2023, huku China ikitoa mchango katika uvumbuzi wa Artemisinin

    Pili Mwinyi Malaria ni ugonjwa hatari sana unaotokana na mbu jike ambaye anaambikiza binadamu na baadaye akuwa na homa kali, baridi, na mafua. Ugonjwa huu unaweza kusababisha kifo au hata matatizo ya akili pale malaria inapopanda kichwani. Mafanikio makubwa yamepatikana duniani katika kudhibiti...
  18. JamiiForums Tanzania Mapambano ya shetani dhidi ya elimu ya Mungu yanaendelea

    Baada ya kuwaza na kuwazua yule Mwasi mkuu yaani Shetani akaja na wazo ili kudumisha wazo lake la kutokufa hakika (Mwanzo 3:4),alitunga Uongo mwingine ili kulinda uongo wake wa awali. Wazo lake likawa hivi: MTU AKIFA ROHO YAKE HAIFI,ITAENDELEA KUISHI MAHALI PENGINE. Katika uongo huu ameilevya...
  19. JamiiForums Tanzania Vikwazo kwa Urusi; Sarafu ya ruble ya Urusi yapanda thamani dhidi ya dola ya Marekani

    VIKWAZO KWA URUSI;SARAFU YA RUBLE YA URUSI YAPANDA THAMANI DHIDI YA DOLA YA MAREKANI. Leo 15:30pm 27/03/2022 Respect for Russia,who dare to stand up against the West,Baada ya vikwazo vingi vya Ulaya na Marekani kwa Urusi,Urusi imetangaza kuuza mafuta na Gesi kwa sarafu yake ya ruble,Masaa 24...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Lissu atoa msimamo rasmi dhidi ya Rais Samia, Zitto Kabwe, Katiba Mpya na ACT Wazalendo

    Wanabodi, sehemu ya mazungumzo ya fuatayo ni msimamo wa Lissu dhidi ya watu husika na mambo tajwa hapo juu. Mengi amewahi kuonya ama kuyaweka bayana na yakajiri, alikuwa wa kwanza kusema wazi wazi Magufuli ni dikteta na Rais wa ajabu, akasema kuhusu watu wasiojulikana na mauaji ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…