dhaifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kiumbe dhaifu

    Habari za wakati huu wakuu, naomba nitoe kidogo duku duku langu na kujifunza juu ya mapenzi na udhaifu wa mwanamke uko wapi, Duku duku langu linaanzia pale tu unapotaka kutongoza au kumuoa mwanamke, walio wengi tunawakosea sana hawa wenzetu wa kike kwa sababu zifuatazo, Mwanamke ni mtoto...
  2. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa Rais mwovu, Samia Suluhu ni Rais dhaifu. Binafsi heri Rais dhaifu kuliko mwovu

    Kila mwenye akili timamu anajua kuwa Magufuli alikuwa Rais wa hovyo na mwovu. RAIS ambaye alikuwa anakiri hadharani kuwa pesa za serikali ni pesa zake. Alikuwa akisema "pesa zangu". Alikuwa na uhuru wa kuchota mihera ya serikali na kuigawa kwa siri na hadharani ili ajiimarishe kisiasa. RAIS...
  3. JamiiForums Tanzania Timu dhaifu tupu ndio zimebaki shirikisho. Hakuna inayoizidi Simba kwenye rank za CAF 2023

    Ukipanga timu ishirini Bora Afrika kwenye rank za CAF ni timu 2 tu ndizo zinacheza shirikisho, Piramid 10 na Asec ya 20 wengine wote hawamo ata moja ivi mnapata wapi nguvu ya kuelezea ubora wa Yanga wenu hapo? Tp mazembe kashinda mechi 1 tu makundi ndio wa kuzungumzia. Clab bingwa yamebaki...
  4. JamiiForums Tanzania Endeleeni Kujidanganya kuwa mtakacheza nao nafasi ya Pili ni timu dhaifu

    Yaani Wanafunzi Wote mmefaulu kwa kupata Division I halafu kwa Upumbavu wako usio hata na Aibu unajiona Wewe ni Bora kuliko Wengine. Kuna Watu mnaugua Akili sana tu!!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Yanga watafika fainali CAFCC

    Kwa hali ilivyo sasa Yanga wanaweza kuivuka Historia ya SIMBA. I am a SImba Fan lakini SIMBA mwaka Jana kulikuwa na timu kama BERKANE ORLANDO. This Time CAFCC kuna timu nyingi lakini za kawaida sana mfano future pyramid FAR RABAT na Rivers zote za kawaida sana.
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke hasomeshwi, wanaume mnafeli wapi? Ona wanaume acheni kuwa dhaifu

    Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 7 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo aliyejulikana kwa jina la Christine Maonga kutoka katika familia duni kijijini...
  7. JamiiForums Tanzania Vita yetu dhidi ya ushoga ni dhaifu sana

    Wazungu wanao msemo wao maarufu usemao "nionyeshe rafiki zako ili nikwambie tabia yako", wakimaanisha kuwa kama ukiwa na marafiki shoga na wewe upo uwezekano mkubwa ni shoga vilevile au huuchukii ushoga hata kama wewe sio shoga. Baba yangu alikuwa sheikh mkubwa lakini alikuwa na marafiki zake...
  8. JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, kuna timu dhaifu inaweza kuingia kwenye ligi ya makundi CAF?

    Kuna mbumbumbu Tanzania hili halipingi, leo Nina swali moja tu, naomba nielimishwe mchakato unaopitia timu mpaka kufika kwenye makundi ni UPI? Tukishaujuwa mchakato huo tueleza ukweli je kuna timu dhaifu unaweza kutobowa kufika makundi? Kama jibu ni ndio turudi kwetu tujiulize Simba na Yanga...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Muungano wetu una changamoto tu, hauna matatizo. Tusitumie hoja dhaifu kuubeza, kuubagaza na kuukejeli

    Wasalamu Kama ilivyo ada, ninapenda kuchukua nafasi na muda huu kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema na Uhai. Pia ,ninawapongeza viongozi wa serikali wakiongozwa na Rais Samia kwa juhudi na jitihada mbalimbali wanazoonesha katika kuongoza nchi yetu kwa kuzingatia maslahi mapana ya...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Nyumba Dhaifu zaidi Duniani

    "Mfano wa walio wafanya walinzi badala ya Mwenyezi Mungu, ni mfano wa buibui alivyo jitandia nyumba. Na hakika nyumba dhaifu mno kuliko zote ni jumba la buibui, laiti kuwa wanajua." (Qurani 29:41)
  11. W

    JamiiForums Tanzania Huyu mke mbona anaipenda sana kauli, 'mwanamke ni kiumbe dhaifu'?!!!

    Kila tukijadili mambo ya maadili, hususani kukua kwa ufuska kwa vijana wetu wa kike au labda taarifa fulani inayohusu visa vya mapenzi tunavyovisikia kwenye TV au mtaani hapa, basi kauli hii humtoka bila kukawia. Yaani mijadala mitano tuliyoifanya hivi karibuni, ameitoa hiyo kauli Mara nne...
  12. JamiiForums Tanzania Wengi tuna 'depression' lakini tunaogopa kuongelea kwa kuhofia kuonekana dhaifu, kutangazwa, kuchekwa na tunaowashirikisha kufurahia tunayopitia

    Hasa wanaume tunashindwa kusema ukweli kwamba tuna depression kwasababu tunaogopa kuonekana dhaifu kama wanawake, pia namna ambavyo jamii inamchukulia mwanaume inamuona kama kiumbe ambaye anatakiwa awe ngangali muda wote ila kiuhalisia depression haichagui mwanaume wala mwanamke. Wengi sana...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume ni dhaifu na hawajiamini mbele ya wanawake

    Kwa kawaida mtu anayeamini kwamba, ni dhaifu, hujaribu kwa kila njia kuficha udhaifu wake, na moja ya njia hizo ni kujikweza ili kujaribu kumshusha yule ambaye anadhani anamzidi. Mtu asiye na nguvu anaweza kujitahidi kupiga kelele, kupiga ‘mikwala’ na vitisho, na watu wanapomwogopa, hupata...
  14. JamiiForums Tanzania Bunge kuihoji Bodi ya Mikopo sakata la upendeleo utoaji wa Mikopo

    Spika Dkt. Tulia Ackson ameitaka Bodi ya Mikopo (HESLB) kufika Bungeni kujibu tuhuma za kugomea Uchunguzi wa Kamati iliyoundwa na Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda. Prof. Mkenda ameituhumu HESLB kukataa kutoa ushirikiano na taarifa kwa Kamati yake kuhusu uwepo wa upendeleo wa utoaji Mikopo...
  15. JamiiForums Tanzania DR Congo sio nchi dhaifu

    Baada ya Rais Felix kuingia madarakani Wakongo tumejua mengi saana kuhusu nchi yetu, mwanzo tulikuwa tunafikiri labda Congo ni nchi dhaifu saana tena saana ndo maana nchi kama Rwanda na Uganda walikuwa wanatusumbua. Kumbe walikuwa wapumbavu wadogo ndani ya jeshi letu ambao walikuwa wanatoa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nadharia ya kiongozi dhaifu huwa hajiamini na anapenda kusifiwa. tu. Je, ipo ama ni kauli fariji? The Paradox of Contemporary Dimensions

    Hello, dhamana ya uongozi ni baraka itokayo Kwa Mungu na watu wake, Kwa kuwa haitatokea tukawa wakamilifu kama Mungu, tukubali mawazo mbadala kinzani, yawe matamu, yawe machungu, tuyabebe, ukichukia kukosolewa maanake wewe ni wa jehanamu. Mungu hapendi kukomoa tujisahihishe, tumbili nao ni...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Kama mtatolewa na timu inayojitafuta, mkubali pia timu yenu ni dhaifu inabebwa na waamuzi

    Sijataja mtu lakini nataka niwaambie kuwa, ukiachilia mbali uchawi wa vile vizee vyenu, mmekuwa mkibebwa sana na waamuzi na mmetumia sana pesa kuathiri wapinzani wenu nje ya uwanja. Sasa nijuacho kwenye mechi za kimataifa maamuzi huwa thabiti na mtalalamika sana kwa jinsi mlivyozoea kubebwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Iron Dome ya Israel haiwezi mudu kuzuia makombora ya Urusi, Iron Dome imeundwa kuzuia makombora dhaifu yatengenezwayo gereji kwa tech duni

    Waziri wa Ulinzi wa Ukraine amesema kuwa mfumo wa Ulinzi wa anga wa Israel maarufu kwa jina la Iron Dome hauwezi kuhimili kuzuia makombora ya Urusi nchini Ukraine. Waziri huyo aliyeshuhudia na kutesti nguvu ya makombora ya Urusi anasema kuwa mfumo huo wa Iron Dome umeundwa kwa ajili ya kuzuia...
  19. JamiiForums Tanzania Sio kila dhaifu la mpenzi wako ni la kumuambia, mengine ishi nayo tu!

    Unapokuwa binadamu mwenye uwezo mzuri wa akili lazima ujue kuchuja vitu na lakuongea si kila jambo nilakutiririka tu!. Kuhusiana na mtu ni sehemu ya utimilifu wa hisia pamoja na akili. Baadhi ya madhaifu ya mpenzi wako unatakiwa kuwa cover, mengine mwambie ajirekebishe na mengine ishinayo...
  20. JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema Urusi inatumia silaha dhaifu katika vita

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky anasema Urusi inatumia silaha zisizo na nguvu dhidi ya Nchi yake ni ishara ya kushindwa kwao. Amesema hayo baada Makamu Naibu Waziri Mkuu wa Urusi, Yury Borisov kudaia kuwa wana teknolojia yenye uwezo wa kuangusha ndege zisizo na rubani kwa umbali wa Kilometa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…