dewji

  1. C

    JamiiForums Tanzania Try again asirudie makosa haya ya Mo Dewji ili uishi kwa amani

    Ndugu yangu Try again hakikisha haya unayafanya kwa mafanikio ili "waandishi/wachambuzi"na lopolopo la utopolo wasikusumbue, ukifanikisha haya nakuhakikishia utakuwa rafiki wa kila mtu na media zitakupenda sana: - hakikisha simba inapoteza ubingwa mwaka huu - itolewe next round champions...
  2. JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

    Mohammed Dewji a.k.a Mo, amesema kikao walichokaa Septemba 21, 2021 kiliamua kwamba asiendelee kuwa Mwenyekiti wa Club ya Simba Sc kutokana na safari zake za kibiashara kuwa nyingi. Hata hivyo amesema anaendelea kuwa mwekezaji katika klabu ya Simba huku akiahidi kushirikiana vizuri na viongozi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Upuuzi wenu akina Mo Dewji, CEO Barbara, Kocha Msaidizi Matola na Meneja Rweymamu ndiyo unatufanya wana Simba SC tuteseke, Kesho mtanitambua hapa JF

    Nitakuwa Mpumbavu na siyo Mwanamichezo kama nisipowapongeza Watani zangu Yanga SC kwa Ushindi wao wa Kipigo dhidi yetu Simba SC wa Goli 1 la Nguruwe linalouma sana. Vile vile nadhani Mightier nitakuwa ni Mwendawazimu kabisa kama nisipowapongeza Wachezaji wa Yanga SC kuanzia Yanick Litombo...
  4. JamiiForums Tanzania Mo Dewji na GSM anzisheni timu zenu

    Hizo Yanga na Simba waachieni kina Mpili na Manara (Waswahili). Bakhresa aliona mbali akaanzisha timu na uwanja wake. Yupo huru kutumia hela yake pasipo majungu yoyote. Yanga na Simba mtapoteza hela zenu na mwisho mlipwe matusi na dharau kutoka kwa maskini wasio na mbele wala nyuma. Mtu...
  5. JamiiForums Tanzania MO Dewji mzalendo

    Mo Kazaliwa Singida Kasoma shule za serikali Kawatumikia watu wa kijijini kwake Kawekeza kwenye nchi yake Simba SC ni mtoto tu kwake,tokea amaeanza kuwa mshabiki Hadi mwananachama na kisha mwekezaji ndani ya club hii pendwa ni Jambo la kheri na ikibidi asifiwe sana!!.. Kila kwenye neema...
  6. JamiiForums Tanzania Mo Dewji nakuheshimu, ila unakoelekea sasa utaharibu na utaanza hata Kutukera na Sisi tunaokubali 'Kutukanwa' kwa ajili ya Kukutetea Mitandaoni

    Mo Dewji leo utanisamehe sana Mimi GENTAMYCINE ambaye nina tabia ya kutopenda Unafiki, Kumnyenyekea Mtu, Kujipendekeza kwa Mtu au hata Kumuogopa Mtu hata kama ni Msomi sana su Tajiri mno na hata Wazazi wangu, Ndugu na Marafiki zangu wanalijua hili kwani ndivyo nilivyoumbwa na sitobadilka hadi...
  7. JamiiForums Tanzania Umoja wa mabilionea tumefedheheshwa na kilichofanywa na mwenzetu Mo Dewji

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.... Ninaandika kwa huzuni kwa niaba ya mabilionea wenzangu kina Azam, GSM, Vunjabei, Platnumz, Shishibaby, Bill Nas, na wengine ambao hawapendi kutajwa kama Soggy Doggy Anter. Ni kuhusu vitendo vya kipuuzi vinavyofanywa na bilionea mwenzetu kwa jina la...
  8. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere amchana Mo Dewji

    Yaani ugomvi wako na Manara unataka wanasimba wote waununue?? Noooo nooo hii haikubaliki duniani hadi mbinguni, Acha maisha binafsi ya Wachezaji yawe huru, ilimradi hawavunji mikataba yao. Mkataba wa Chama hausemi asimsifie Manara badala yake akusifie wewe, Izingatiwe kuwa Wachezaji ni waajiliwa...
  9. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Usalama vichunguze tuhuma za Uhalifu wa Mo Dewji na Genge lake kudukua mawasiliano ya watu/wafanyakazi wake

    "Mohammed akamuita askari, ambaye sijui ni mlinzi wake Mungu anajua sitaki nimuingize katika mtihani.Akamuambia tuonyeshe Hajji namna gani anahujumu.Yule bwana akatoa simu yake akawa anaonyesha limeandikwa jina langu pale Saa tatu usiku ulisomeka mnara wa posta, saa tano ulisomeka mnara wa...
  10. JamiiForums Tanzania Simba SC, Mo Dewji na CEO Barbara nawaomba msimjibu lolote (chochote) aliyekuwa Msemaji 'Mnafiki' Haji Manara, ila mtuachie Mashabiki

    Press yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi. Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa. Kayakanyaga hivyo...
  11. JamiiForums Tanzania Suala la Serikali kununua Ndege na suala la Dewji kununua hisa za Simba yana ufanano wa maamuzi yanayofanyika bila tathmini ya kifedha

    Katika mambo yote yanayohusu matumizi ya fedha huwa kuna pande mbili. Upande wa mnunuzi wa pesa 'Buy side' upande wa muuzaji wa pesa 'Sell side'. Kwahiyo tayari hii ni transaction kamili kama vile ilivo mtu unavoenda dukani kununua mkate, mnunuzi unahitaji mkate ili ukanywe chai na muuzaji...
  12. JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji: Mchakato wa mabadiliko Simba umekamilika, aweka bilioni 20

    Mchakato wa mabadiliko Simba umekamilika- Mo - "Time ya Ushindani (FCC) imeshatupa ruhusa, hivyo mchakato wa mabadiliko ya Simba umekamilika, tumepewa vipengele vichache vya kufanyia kazi kama kutoa fedha," - Mohammed Dewji. ==== MWENYEKITI wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji "Mo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji anzisha king'amuzi chako, Azam wanatawala sana

    Bilionea Mohamed Dewji, wewe ni mdau mkubwa wa soka na unaufahamu vizuri sana. Najaribu kukushawishi uanzishe king'amuzi au decorder itakayoitwa mo sattelite tv. Pamoja na vipindi vingine uanzishe channel za soka za kuonyesha live mechi za ligu kuu ya bara. Ukiritimba wa azam na TFF ni hatari...
  14. JamiiForums Tanzania Azim Dewji amvaa Gwajima sakata la chanjo, amwambia ana akili ya kuhubiri siyo Sayansi

    Azim Dewji: Tunasema kwamba, kazi kubwa ya mkuu wa Dini ni kuongoza waumini wake sio kuwapotosha, unazungumza maneno ya kuwapotosha waumini na kuleta taharuki kwenye Jamii, hiyo haifai kabisa na isiendelee kufanyika hivyo, sisi hatutakubali. Kwa njia moja au nyingine unawatukana waliobobea...
  15. JamiiForums Tanzania ELIMU YA HISA: Simba wakipata bil40 za Azam basi 49% ni za Mo Dewji

    Mfanyabiashara Mo Dewji anamiliki asilimia 49 ya hisa za Simba, Kama Simba watapata dili la kama la Yanga la bilioni 41 basi moja kwa moja asilimia 49 ya pesa hiyo itakwenda kwa Mo Dewji ambayo ni sawa na bilioni 20 na milioni tisa. Hisa ni nini? Hisa ni namna ya kuchanga mtaji wa biashara...
  16. JamiiForums Tanzania Mo Dewji akutana na kuteta na kocha Gomes

    SIMBA leo wana jambo lao kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam wakati watakapotangaza ubingwa wao wa 22 katika Ligi Kuu Bara, lakini inaelezwa kipigo cha bao 1-0 ilichopewa na Yanga bado kimewavuruga mabosi wa klabu hiyo. Simba leo itavaana na Coastal Union ikihitaji pointi moja...
  17. JamiiForums Tanzania Bado Mo Dewji ndiye tajiri namba moja nchini?

    Kwa Mambo makubwa makubwa anayoyafanya Mzee Bakhressa kwenye soka letu naamini ni kichekesho cha Mwaka kuamini Mo Dewji ndie tajiri namba moja nchini. Kimsingi orodha ya Matajiri nchini inapaswa kuwa hivi... 1. Said Salim Bakhressa 2. Said Salim Bakhressa 3. Said Salim Bakhressa 4. Said...
  18. JamiiForums Tanzania Kama hili ni kweli na siyo Uzushi tu nitaanza kumdharau Mo Dewji na Watendaji wake wa Simba SC wanaomzunguka

    Ni nani aliyowaambia kuwa Kiufundi (hasa katika Mpira) Timu yako ikiwa imefungwa katika ' Margin ' kubwa ili nayo Kulipiza Kisasi (Kupundua Meza) Wachezaji wanatakiwa waahidiwe Magari ya Kifahari na kila Goli watakalofunga litanunuliwa kwa Tsh 260 Milioni? Hizi Ahadi ndizo zitafanya Mabeki wa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo dharau ambazo hatupendi Wanasimba: Mo Dewji kaaa mbali na picha za Zimbwe

    Nilijua tu mwisho wa yote watajinasibu kwamba wao ndiyo wamefanikisha sasa ikitokea Mo kapiga naye huyo kijana wao niseme boss wao anayewapa hela yaani Mohamed Hussein Zimbwe Junior captain msaidizi aliyeamua yeye na wapambe wake kutumia vurugu na lugha za maudhi ili kuongezewa mkataba. Please...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Zimbwe kusaini mkataba, Mo Dewji usimuite kunywa naye chai

    Mojawapo ya madai ya yule meneja muhuni Herry Mzozo ni kwamba Zimbwe jr hajawahi kualikwa ofisini kwa Mo dewji kupiga naye picha Najua simba mlikuwa kwenye utaratibu wa kumuongezea mkataba ila kwa kilichotokea inaonekana kwamba team ime bow kwa pressure ya meneja muhuni na shaffih dauda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…