Pamoja na Zimbwe kusaini mkataba, Mo Dewji usimuite kunywa naye chai

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Mojawapo ya madai ya yule meneja muhuni Herry Mzozo ni kwamba Zimbwe jr hajawahi kualikwa ofisini kwa Mo dewji kupiga naye picha
Najua simba mlikuwa kwenye utaratibu wa kumuongezea mkataba ila kwa kilichotokea inaonekana kwamba team ime bow kwa pressure ya meneja muhuni na shaffih dauda aliyeenda mbali na kuikashifu simba kwamba imekuwa ikifanya press conferences hovyohovyo ina CEO aliyepatikana kimagumashi,anayejiremba tu na lip sticks aisyesoma e mail wala barua kazi kujipiga picha kutafuta kiki.

MO DEWJI HAO WAHUNI WASHAPATA HELA YAO HATA KANJANJA SHAFIH DAUDA LITAKUWA LISHARUSHIWA HELA YAKE KWA MPESA SASA HIVI.... ILA CHONDECHONDE USIMUITE HUYO KIJANA KUPIGA NAYE PICHA OFISINI UKIFANYA HIVYO JUA ITAKUWA NDIYO UTARATIBU MPYA WA WACHEZAJI KWENDA KUOKOTA WAHUNI MTAANI HUKO WAWAPE PRESSURE MAREDIONI NA MAGAZETINI WAKISHIRIKIANA NA MAKANJANJA
 
Shaffi Dauda ni hatari kwa afya ya soka Tanzania. Ana ujuaji wa kiswahili swahili. Ni mtu anayeishi kwa kukariri na uwezo wake ni mdogo sana katika kuchambua mambo.

Ana agenda yake dhidi ya Simba.Anataka mwekezaji aweke hela halafu wenye sauti na maamuzi wawe waswahili tunaowajua.
Fikiria timu umpe mtu kama Kigwangala,halafu kuwe na mabilioni kwenye akaunti,unatarajia nini kama sio usajili wa kiboya tu na pesa kupigwa?

Kuna mijitu ina hamu kuona simba inakuwa kama chama cha ushirika na kwa hiyo kwa kutumia influence yao wanaeza kupata nafasi za uongozi na kufanya watakacho.Dauda ni mmoja wao.

Wana Simba mi nawaonya kuhusu mtu huyu hata miaka ijayo.Ni hatari sana kwa afya ya soka kutokana na uswahili swahili
 
Shaffi Dauda ni hatari kwa afya ya soka Tanzania.Ana ujuaji wa kiswahili swahili.Ni mtu anayeishi kwa kukariri na uwezo wake ni mdogo sana katika kuchambua mambo.

Ana agenda yake dhidi ya Simba.Anataka mwekezaji aweke hela halafu wenye sauti na maamuzi wawe waswahili tunaowajua.
Fikiria timu umpe mtu kama Kigwangala,halafu kuwe na mabilioni kwenye akaunti,unatarajia nini kama sio usajili wa kiboya tu na pesa kupigwa?
Kuna mijitu ina hamu kuona simba inakuwa kama chama cha ushirika na kwa hiyo kwa kutumia influence yao wanaeza kupata nafasi za uongozi na kufanya watakacho.Dauda ni mmoja wao.
Wana Simba mi nawaonya kuhusu mtu huyu hata miaka ijayo.Ni hatari sana kwa afya ya soka kutokana na uswahili swahili

Hao watu ukiwasikiliza wanavyolalamikia maendeleo ya soka nchini utadhani ni watu wenye uchungu kwelikweli ila team kama simba inapoanza kuonyesha dalili za mafanikio ndipo unaona rangi zao halisi haswa kipindi cha michezo clouds fm.
Miaka kama mitatu nyuma nakumbuka kuna siku nasikiza sports xtra tangazo linapiga wakdhani mic ziko off wakawa wanasikika shaffih dauda anasema"tena boss ruge kasema tukandamize kwelikweli"nakumbuka siku hiyo walikuwa wanaikandia Tff kina wallace karia nikaunganisha dots za wao kumtetea muhaya mwenzao malinzi....

Ila atleast sasa hivi kuna fresh air ya kina ali kamwe,ambangile ,tigana lukanja na jamaa mmoja wa east africa radio anachambua vizuri sana plus kina ally mayayi ,kashasha na wengineo kama wa UFM
Clouds fm ni sumu ni toxic thanks god washadharaulka siku hizi
 
hao watu ukiwasikiliza wanavyolalamikia maendeleo ya soka nchini utadhani ni watu wenye uchungu kwelikweli ila team kama simba inapoanza kuonyesha dalili za mafanikio ndipo unaona rangi zao halisi haswa kipindi cha michezo clouds fm
Miaka kama mitatu nyuma nakumbuka kuna siku nasikiza sports xtra tangazo linapiga wakdhani mic ziko off wakawa wanasikika shaffih dauda anasema"tena boss ruge kasema tukandamize kwelikweli"nakumbuka siku hiyo walikuwa wanaikandia Tff kina wallace karia nikaunganisha dots za wao kumtetea muhaya mwenzao malinzi....
Ila atleast sasa hivi kuna fresh air ya kina ali kamwe,ambangile ,tigana lukanja na jamaa mmoja wa east africa radio anachambua vizuri sana plus kina ally mayayi ,kashasha na wengineo kama wa UFM
Clouds fm ni sumu ni toxic thanks god washadharaulka siku hizi

Hamjui siri za hawa watu. Hawa ni madalali wa watu washenzi kwenye soka. Wanapewa hela kuanzisha vurugu. Dauda amelipwa na Mzozo kusukuma ajenda. Mwaka jana alilipwa mara kadhaa na Eng. Hersi kupiga propaganda kuhusu Simba ila mafanikio ya Simba ndio yana mfua nguo
 
hamjui siri za hawa watu. hawa ni madalali wa watu washenzi kwenye soka. Wanapewa hela kuanzisha vurugu. Dauda amelipwa na Mzozo kusukuma ajenda. Mwaka jana alilipwa mara kadhaa na Eng.Hersi kupiga propaganda kuhusu Simba ila mafanikio ya Simba ndio yana mfua nguo
Hilo liko wazi andharaulika sana kwa sasa kuna kipindi alikuwa anaonekana ndiye gwiji wa uchambuzi, hovyo kabisa lile jamaa
 
Tukiri wazi kwamba timu zetu bado zina mambo ya hovyo hovyo sana
Simba na kujinasibu kufanya transformación lakn bado ina mambo ya hovyo ktk management yake

Haiingii akilini eti mchezaji first eleven mwenye ubora kama Boko, Nyoni, Kapombe na Tshabalala wanabakiza mpaka miezi miwili hawajasainishwa mikataba yao, timu haijakaa chini kuongea na wachezaji alafu tunajisifu eti tuna CEO bora klabuni,, this is bullshit

Wanachokisema kina Shafih ni sahihi kabisa
 
Suala lilikuwa wazi sana watu walisema simba inamdharau kuna dau kubwa yanga na jingine South Africa sasa Shafii dauda matusi kwa simba yalikuwa ya nini? si wangemtoa tu wampeleke huko kwenye maslahi ili iwe funzo zuri zaidi?

Kwani lazima simba mbona boko kaongeza mkataba bila meneja wake kumtukana boss wa simba au kuitikana kalbu kwamba inapenda sifa na press conferences nyingi?
 
mojawapo ya madai ya yule meneja muhuni Herry mzozo ni kwamba zimbwe jr hajawahi kualikwa ofisini kwa Mo dewji kupiga naye picha
Najua simba mlikuwa kwenye utaratibu wa kumuongezea mkataba ila kwa kilichotokea inaonekana kwamba team ime bow kwa pressure ya meneja muhuni na shaffih dauda aliyeenda mbali na kuikashifu simba kwamba imekuwa ikifanya press conferences hovyohovyo ina CEO aliyepatikana kimagumashi,anayejiremba tu na lip sticks aisyesoma e mail wala barua kazi kujipiga picha kutafuta kiki

MO DEWJI HAO WAHUNI WASHAPATA HELA YAO HATA KANJANJA SHAFIH DAUDA LITAKUWA LISHARUSHIWA HELA YAKE KWA MPESA SASA HIVI.... ILA CHONDECHONDE USIMUITE HUYO KIJANA KUPIGA NAYE PICHA OFISINI UKIFANYA HIVYO JUA ITAKUWA NDIYO UTARATIBU MPYA WA WACHEZAJI KWENDA KUOKOTA WAHUNI MTAANI HUKO WAWAPE PRESSURE MAREDIONI NA MAGAZETINI WAKISHIRIKIANA NA MAKANJANJA
Niliwahi sema hapa kuwa CEO wa Simba wa sasa kawekwa tu kama njia ya Mwekezaji kufanya "mambo yake" lakini ukweli ulio wazi yule mtoto ile kazi ni kubwa saana na ndio maana sasa hivi kazi zoote za CEO anazifanfanya Field Marshal Magori behind the scene...
 
Niliwahi sema hapa kuwa CEO wa Simba wa sasa kawekwa tu kama njia ya Mwekezaji kufanya "mambo yake" lakini ukweli ulio wazi yule mtoto ile kazi ni kubwa saana na ndio maana sasa hivi kazi zoote za CEO anazifanfanya Field Marshal Magori behinf the scene...
TUMERIDHIKA hivyohivyo ni wakati sahihi wa nyie kupeleka focus kwa senzo kumsifia na huyo zimbwe kuongezewa mkataba ni kosa kubwa sana tena sana sijui kwanini waliacha maslahi ya watu wenye weledi huko yanga wanalazimishia simba
 
Hata mimi nawashangaa angefanya agent wa ulaya wangesema bonge la genius ila kisa kafanya mbogo matusi kibao
GENIUS NI MENEJA WA MANULA labda kama hujui kinacheoendelea kwa sasa hadi kocha wa makipa na kocha mkuu wanaogopa kama manula akiondoka huo ndo u genius, u genius siyo kutafuta attack dogs kwenda kumshambulia CEO kwamba hasomi e mail kazi yake ni kupaka lipstick
kwa kifupi zimbwe hii hela kaichukua ki gangster sana ,boko kaichukua smoothly kigenius hata manaula kapombe na gadiel itakuwa hivyohivyo sababu meneja wao ni mmoja
 
Meneja wa Zimbwe anajitambua amekataa kufuga panya kwenye debe la unga. Alisha sema Kama hawakupata maslai mazuri Bora mchezaji aende Gwambina au ihefu kuliko kupata umaarufu Simba alafu unastaafu mpira ukiwa maskini.
 
Meneja wa Zimbwe anajitambua amekataa kufuga panya kwenye debe la unga. Alisha sema Kama hawakupata maslai mazuri Bora mchezaji aende Gwambina au ihefu kuliko kupata umaarufu Sokba alafu unastaafu mpira ukiwa maskini.
Tayari walishasign yanga pre contract kwa nini wakaacha yale maslahi? Si kulikuwa na deals South Africa si wangeenda huko? Ujinga mtupu hao washakula hela za GSM advance ya pre contract TUSUBIRI KUFUNGISHWA TAREHE 8
 
Back
Top Bottom