Naona Tajiri Kijana Afrika anang'aa tu Kimataifa kama Klabu yake huko Shirikisho huku Tajiri Uchwara mwingine Yeye akibung'aa bung'aa zake tu Posta, Kigamboni, Turiani na sasa yuko zake Mkolani Buhongwa Mkoani Mwanza akiitafuta Geita.
Yaani Wewe Pesa zako za Magumashi ( Janja Janja ) mpaka Uuze...
Mo kusema Simba inajiendesha kwa hasara makanjanja ya media na wapuuzi wako naye bize kwelikweli, ila injinia wenu aliposema hivyo last year mkakausha kimya.
Mo Dewji hii dhambi aliyoifanya kuipa mafanikio Simba kwa miaka minne na kuweza kuingiza teams 4 kwenye michezo ya Afrika kuna watu...
Japo nikiri kuwa huwa nawasema mno Yanga SC hapa JamiiForums nikiwa katika Vita yangu Kuu ya Kipropaganda na Wao ili niwadhoofishe na naanza Kufanikiwa ila kwa leo nakugeukia Mwekezaji, Rais wa Heshima Simba SC na Tajiri Mohammed Ghullum Dewji.
Mo Dewji ni kwanini huwa unapenda sana Kukurupuka...
1. Ni kwanini mlianza Kudhamini kabla ya Kuingia Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021?
2. Kama mliingia rasmi Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021 ni kwanini mpaka hii Leo mnasitisha nao Mkataba hamjawalipa Pesa ya Awali na hata Vilabu vyote husika (ukiiondoa Simba SC yenye Akili na Watu...
Siku chache zimepita tangu Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo' alipoamua kuwa-unfollow wachezaji wote wa timu hiyo ambao alikuwa amewa-follow kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Jana, pia Mo ambaye ni Rais wa Heshima wa Simba aka-unfollow page ya klabu hiyo akibakisha ya Simba Queens...
Simba sports club ni moja kati ya timu za ligi kuu Tanzania bara ambayo imekuwa ikiendelea na mchakato wa kufanya mabadiliko ya uendeshaji wa timu.
Mwekezaji Mo Dewji ambaye ni shabiki na mwanachama wa timu hiyo aliyeamua kununua 49% ya hisa za klabu ili mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji...
Mfanyabiashara bilionea na mwekezaji wa Simba Sc usiku kupitia akaunti yake ya twitter alipost tweet hizi kisha akazifuta ndani ya muda mfupi. Je kwa tweets hizi, kuna amani kweli huko Simba?
Jarida la Forbes limetoa orodha ya matajiri barani Afrika ambapo Mohammed Dewji ameendelea kushikilia usukani kutokea Tanzania na kushika nafasi 15 barani Afrika.
Mimi nina maswali kuhusu orodha hii, hivi hapa nchini hamna watu wana unreported wealth? Kuna watu wanaonekana kwa macho wana...
Huko kwenye ukurasa wake wa Twitter ameweka picha ya mwaka 2017 yenye logo ya timu ya Juventus halafu leo a anadai eti yupo Italy jambo ambalo si kweli!
Je, Mo ni laghai?
Nimepokea maoni mengi ya WanaSimba wenzangu wakishauri tujenge uwanja wetu na wako tayari kuchangia ili tufanikishe ujenzi huo. Naomba kuweka wazi kwamba nimepokea maoni hayo kwa mikono miwili.
Naomba Bodi ya Simba kukaa na kuja na utaratibu wa haraka ili jambo hili lianze utekelezaji. Kwa...
Mnaweza Kuwalaumu Wachezaji, lakini kwa ubora ule wa wakina Sakho, Kanoute na Banda ni vigumu sana kwa mtu mwenye akili kichwani kutarajia makuu kutoka kwao.
Mnaweza kumlaumu kocha lakini kwa wachezaji alioletewa na Mo Dewji...anakosewa heshima. Licha ya kuwa Didier GOMES sio mwalimu mwenye...
Nimefuatilia kwa ukaribu mahojiano ya mwenyekiti mpya wa bodi ya club ya simba bw. Salum Abdallah katika kipindi cha sports HQ kinachorushwa na kituo cha redio cha E-fm, nimegundua kuna ukanjanja mkubwa kuhusu bilioni 20 alizotoa mwekezaji Mo Dewji katika club yake hiyo ya simba.
Kama...
Ndugu yangu Try again hakikisha haya unayafanya kwa mafanikio ili "waandishi/wachambuzi"na lopolopo la utopolo wasikusumbue, ukifanikisha haya nakuhakikishia utakuwa rafiki wa kila mtu na media zitakupenda sana:
- hakikisha simba inapoteza ubingwa mwaka huu
- itolewe next round champions...
Mohammed Dewji a.k.a Mo, amesema kikao walichokaa Septemba 21, 2021 kiliamua kwamba asiendelee kuwa Mwenyekiti wa Club ya Simba Sc kutokana na safari zake za kibiashara kuwa nyingi.
Hata hivyo amesema anaendelea kuwa mwekezaji katika klabu ya Simba huku akiahidi kushirikiana vizuri na viongozi...
Nitakuwa Mpumbavu na siyo Mwanamichezo kama nisipowapongeza Watani zangu Yanga SC kwa Ushindi wao wa Kipigo dhidi yetu Simba SC wa Goli 1 la Nguruwe linalouma sana.
Vile vile nadhani Mightier nitakuwa ni Mwendawazimu kabisa kama nisipowapongeza Wachezaji wa Yanga SC kuanzia Yanick Litombo...
Hizo Yanga na Simba waachieni kina Mpili na Manara (Waswahili).
Bakhresa aliona mbali akaanzisha timu na uwanja wake. Yupo huru kutumia hela yake pasipo majungu yoyote.
Yanga na Simba mtapoteza hela zenu na mwisho mlipwe matusi na dharau kutoka kwa maskini wasio na mbele wala nyuma.
Mtu...
Mo
Kazaliwa Singida
Kasoma shule za serikali
Kawatumikia watu wa kijijini kwake
Kawekeza kwenye nchi yake
Simba SC ni mtoto tu kwake,tokea amaeanza kuwa mshabiki Hadi mwananachama na kisha mwekezaji ndani ya club hii pendwa ni Jambo la kheri na ikibidi asifiwe sana!!..
Kila kwenye neema...
Mo Dewji leo utanisamehe sana Mimi GENTAMYCINE ambaye nina tabia ya kutopenda Unafiki, Kumnyenyekea Mtu, Kujipendekeza kwa Mtu au hata Kumuogopa Mtu hata kama ni Msomi sana su Tajiri mno na hata Wazazi wangu, Ndugu na Marafiki zangu wanalijua hili kwani ndivyo nilivyoumbwa na sitobadilka hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.