dereva

  1. C

    Tahadhari dereva, tochi Mbezi kwa Msuguri

    Kuna tochi hapo kwa Msuguri. Endesha kwa uangalifu
  2. S

    Mechi wanazoshiriki Simba na Yanga, zichezeshwa na waamuzi kutoka nje ya nchi

    Ili kutendea haki timu zingine, ni bora mechi wanazoshiriki Simba na Yanga zichezeshwe na waamuzi kutoka nje ya nchi. Najua itakuwa ni changamoto kutekeleza hili wazo, ila huu ndio ukweli. Siamini kama kuna mwaamuzi ambae si shabiki wa either Yanga au Simba katika hii ligi yetu ya NBC...
  3. Dereva wa Dangote auawa na Polisi Lindi

    Dereva wa gari la Dangote Ibrahim Said ameuawa na polisi baada ya kutaka kumnyang'anya askari bunduki. Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinkwi anasema dereva huyo alifika eneo la kizuizi cha polisi akiwa kwenye mwendo mkali na hakusimama na alilenga walipokuwa wamekaa askari na askari...
  4. Uganda: Bodaboda wamuua dereva aliyemgonga mwenzao

    Aziz Bashir(40) aliyewahi kuwa dereva wa Umoja wa Mataifa(UN) alipata ajali na muendesha bodaboda ambaye hakufahamika ambaye alikwangua gari lake, Mengo, #Kampala Walitokea bodaboda wengine na mwenye ajali akakimbia, Aziz alivyoenda mbele alimgonga bodaboda mwingine ambapo kundi la bodaboda...
  5. Wamiliki wa daladala Mwanza, dereva muaminifu niko hapa

    Niko Mwanza Dereva muaminifu, nina leseni pia naomba kama kuna mmiliki wa daladala (hiace) tufanye kazi ndugu zangu. Uwa nafanya day worker baadhi ya madereva uwa wananiachia gari mara moja moja. Hivyo naomba kama kuna mtu ana hiace (daladala) tufanye kazi ndugu zangu. Au kwa yoyote mwenye...
  6. F

    Dereva wa uber na bolt nahitaji gari

    Bila longo longo naitwa Vitalis nina uzoefu wa miaka mi 2 nahitaji gari ya mkataba au hesabu iwe imesajiliwa kwa biashara ili tusileteane vipengele vingi na maneno mengi, nina akaunti ziko active na leseni daraja C , napatikana tabata segerea mawasiliano yangu ni 0679822712 Gari iwe sienta...
  7. F

    Dereva wa mtandaoni mwenye uzoefu nahitaji gari

    Bila longo longo naitwa Vitalis nina uzoefu wa miaka mi 2 nahitaji gari ya mkataba au hesabu iwe imesajiliwa kwa biashara ili tusileteane vipengele vingi na maneno mengi, nina akaunti ziko active na leseni daraja C , napatikana tabata segerea mawasiliano yangu ni 0679822712 Gari iwe sienta...
  8. P

    Dereva wa Uber na Bolt natafuta gari

    Mimi ni dereva wa uber natafuta gari kwa shuguli za kazi ya Uber ni kila kitu vinavyoitajika kama dereva wa Uber namba yangu ni 0684186585, 0766090933
  9. U

    Dunia haina usawa kwanini muongoza meli/ndege aitwe captain halaf wa basi aitwe dereva

    Ili tuwe na tukae katika usawa basi tuheshimiane , kwanini muongoza chombo meli au ndege anatambulika kama captain na anavaa kofia na nguo za kiaskari wakati muongoza basi anaitwa dereva , hiyo sio haki na wao waitwe madereva, au wa basi aitwe kaptain apewe nguo na kofia ya kijeshi Kama wenzake...
  10. Dereva bajaji mbaroni kwa kubeba wanafunzi 17

    Mbeya. Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili akiwemo mwalimu wa shule ya msingi na dereva bajaji kwa tuhuma za kuvunja sheria za usalama barabarani na kusafirisha wanafunzi 17 kwa wakati mmoja kwa kutumia bajaji. Wanafunzi hao ni kutoka shule za awali tofauti tofauti ambao...
  11. Kilichomkuta dereva wa first choice (apollo)

    Siku ya Jumamosi tarehe 11/09/2021 nikiwa mmoja wa abiria ambaye nilipandia gari Moro kuelekea Dodoma muda wa jioni gari ikiwa inatokea Dar tulipofika Dumila ghafla dereva alianguka akiwa kwenye mwendo na kupelekea gari kwenda lenyewe hadi lilipozimika na Mungu jaalia halikuwa ktk mwendo na kwa...
  12. Dereva natafuta kazi

    Habari ndugu zangu! wapambanaji na watafutaji wenzangu..kweli kazi ni changamoto sana kupata..na hasa kama auna connection utasota sana..itokee tu mkono wa mungu ukuguse! jina langu naitwa James Patrick.nina miaka 26 na naishi jijini dar es salaam..nimekuja tena mbele yenu wana jamii...
  13. Dodoma: Polisi wadaiwa kumdhalilisha dereva bodaboda, wamtoboa utumbo

    Walimkamata dereva bodaboda na kumuingizia ufagio kwenye njia ya haja kubwa Chanzo Mwananchi ==== RIPOTI MAALUMU: Polisi wadaiwa kumtoboa utumbo dereva bodaboda THURSDAY SEPTEMBER 16 2021 Ally Bakari akiwa nyumbani kwao Chang'ombe mkoani Dodoma aliporuhusiwa kutoka hospitali kwa mara ya...
  14. H

    Dereva wa treni ya abiria hupataje taarifa kama kuna dharura au hatari ili aweze kusimama

    Kwenye usafiri wowote kunaweza kutokea hatari au dharura yeyote..Nakumbuka nikiwa Kwenye safari fulani ya gari moshi ilitokea sintofahamu ndani ya mabehewa abiria wakawa wanataka kwenda kutoka nje huku treni iko kwenye mwendokasi lakini bahati nzuri treni ikasimama katikati ya pori na hiyo...
  15. Basi la Tahiliso kunikataa na makondakta na dereva bila hata ya ubidamu kuniamuru

    Nimeniuma Sana.... Nikiwa katika pitapita jijin DSM nikawa bunju saa nne usiku nikawa katikakati ya vibaka bunju jjn DSM maeneo ya bunju B dereva pamoja na kondakta bas linaloonekana kuwa Tahiliso kuniamuru nishuke chini Nikiwa nahitaji kufika ubungo ama hata mbezi stend ya magufuli Hawa jamaa...
  16. O

    Dereva wa Uber/Bolt (natafuta gari)

    Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni kijana mchapakazi, natafuta kazi udereva yani Uber na Bolt. Nina account yangu ipo active pia nina leseni yenye madaraja yanayoruhusu kufanya biashara ya uber/bolt, ninahitaji gari ili tufanye biashara na mmiliki wa gari kwa uaminifu na ushirikiano gari ilo liwe...
  17. Wape neno dereva na utingo wake

    Hawa jamaa siujui ni ujinga, ujasiri au kutegemea bahati kwa kuweka maisha yao rehani. Wape neno!
  18. M

    Apona ghafla tu baada ya Gari ya Wagonjwa iliyokuwa ikimkimbiza Hospitali kupata Ajali na Kuua Muuguzi na Dereva

    MGONJWA aliyekuwa akiwahishwa katika Hospitali ya Wilaya Same, Ester Paresetwi (35) na gari likapinduka na kuua muuguzi na dereva amepona mara tu baada ya ajali. Katika ajali hiyo ya gari la wagonjwa, muuguzi wa zahanati ya Kisiwani wilayani humo, Joshua Jacob (29) na dereva, Jumanne Makumbe...
  19. M

    Umuhimu wa kufunga mkanda dereva nusura akanyagwe na tairi la gari

  20. Natafuta dereva wa kunifundisha gari manual Dar es Salaam

    Habari wakuu. Nimejifunza udereva mikoani, kwa sasa nahitaji mtaalam wa kuendesha town center anipe mafunzo, gari itakuwa yake, kwa sasa bado sijaagiza gari yangu. Malipo maelewano Piga 0713 039 875
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…