Guys leo ni weekend, tutaenda kushuhudia baadaye derby ya Kariakoo na kuona magoli ya moto 🔥
Kabla ya hiyo derby sasa, hebu tuzungumzie magoli ya kwa bed 😅
Kuna goli likifungwa unasahau kabisa kuwa mboga mboga bado wapo sana mpa ripoti ile unasahau kabisa yoooooo ni fire 🔥 😅
Ni derby gani...