“Refa wa leo apewe derby nimependa namna ambavyo ametafsiri sheria ya mpira, Simba penalty zote 3 ni clear kabisa hakuna doubt hata kidogo.
Huu mpira tunaucheza na tunaujua lazima tuwe wakweli
Kudos kwa mwamuzi...hajaangalia idadi ya penalty anazotoa ameangalia zaidi matukio”
Hayo ni maneno...
Bodi ya ligi imepanga maboresho ya ratiba ya ligi kuu NBC, huku ikiipa Derby ya Kariakoo tarehe 8 March
Simba pia atarudiana na Azam tarehe 24 March katika Mzizima derby, huku Yanga wakirudiana na Azam tarehe 10 April
Usiku wa deni hauchelewi
Kumbuka Simba alipigwa ataingia kwenye record ya...
Tarehe kama ya Leo mabingwa wa nchi, Young africans sc, Yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam, Ilifanikwa kutoa somo na onyo kali kwa kumkung'uta kichapo kikali mpinzani wake katika derby ya Kariakoo,
Je ulitazama mchezo ukiwa wapi siku hii? Hisia kabla ya mchezo zilikuwaje na ulipokea...
Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.
Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani.
Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
"Tatizo kubwa la Simba ni kuajiri watu wasio na weledi. Kama Simba SC wanataka kufanikiwa wanapaswa kuachana na watu wasio na weledi"
"Simba kwa sasa inahitaji 'PROFESSIONAL PEOPLE' watu wenye Ueledi, wasipewe nafasi kwa sababu wanajuana na watu au Sababu wanaijua Sana Simba bali wanahitaji...
Wakulu wa nchito,
Naomba anaejua wapi kwa hapa Nairobi naweza angalia Derby ya Simba na Yanga anifahamishe hasa pande hizi za Westland maana wiki ya Derby imenikuta huku bila kutarajia.
Natanguliza shukrani
Ni logic ndogo tu na ya kawaida, Simba wamechezeshwa mechi SAA 4 usiku kwa SAA Morocco siyo kwamba wamefanyiwa figisu ila ni kuheshimu tu mfungo wa Ramadhani.
Je TFF hawajaliona hili? wachezaji na mashabiki waliofunga wanafuturu SAA ngapi?
Mimi siyo mwislamu lakini najuwa adhana ikipigwa...
Wakuu,
Kipute cha Kariakoo deby kimekaribia, mimi kama shabiki wa Lunyasi nina maoni yafuatayo kuelekea siku hiyo.
1) Ubora wa Yanga ni Nabi, Nabi amefanikiwa kusumbua makocha wengi kimbinu sababu akili zao huzama kwenye wachezaji hatari kama Mayele kuliko akili ya Nabi. Kwa muda mrefu Nabi...
Habari zenu wakuu,
Leo katika pita pita zangu katika mtandao wa YouTube nikakutana na vipande vinavyoonesha mechi mbalimbali za Simba na Yanga. Nikiwa kama mdau ma mfuatiliaji wa soka la nyumbani mara nyingi huwa naona mechi zinazoikutanisha Miamba hii ya soka nchini huwa zinakosa mvuto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.