Kuna hizi ahadi CHADEMA mliahidi:
1. Mliahidi mtateua watendaji wenu serikali za mitaa ili watoe huduma kwa wananchi kwa kuwa hamuwatambui waliochaguliwa uchaguzi mdogo. Mmefikia wapi? Wanatoa huduma gani? Tupeni majina ya viongozi wenu tuwape kero zetu.
2. Mlidai kupitia zoezi la chadema ni...