demokrasia

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

    Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia? Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu? Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
  2. JamiiForums Tanzania Usitumie Demokrasia na uhuru ambao haukuutafuta kutaka uhuru na demokrasia Ya watu utakwama. Usijenge nyumba kwenye msingi ambao hukuujenga wewe

    Habari za Jumapili! Kuna mambo watu hawayaelewi yanayohusu uhuru, utawala, kujitawala na mambo yake. Mimi kazi yangu ni kufungua minyororo yako na yajamii! Uhuru wowote ambao hukujenga msingi wake unamipaka! Weka akilini hiyo. Yaani ukishaona jambo Fulani hukulianzisha, hukujenga msingi wake...
  3. JamiiForums Tanzania Wagombea CCM Wafungwa Midomo: "Tunazuiwa Kukosoa, Huu Sio Uhuru Wala Demokrasia"

    Wimbi la ukimya linatawala mchakato wa kuchukua fomu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku wagombea na watia nia wakizuiwa kuzungumza hadharani kuhusu matarajio yao, hoja zao za msingi, au mapungufu ya wabunge na madiwani waliomaliza muda wao. Tangu kufunguliwa kwa dirisha la uchukuaji wa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha demokrasi kuharibika nchini ni awamu ya tano

    Awamu ya tano haikutaka kabisa vyama vya upinzani viwepo ndo mana yule jamaa alizuia mikutano yote ya upinzani tukabaki tunalazimishwa kuipenda ccm na ukiwa kinyume tu ama unapigwa risasi au unapotezwa mazima. Udicator nchini umeanzia kwa jamaa. Jk alipromote sana demokrasia na siasa zilikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kenya ni demokrasia inayoharibiwa na mzigo wa madeni uliokithiri.

    Kwa miaka mingi Tangu nyakati za Uhuru Kenyatta na sasa Ruto serikali ya Kenya ilikuwa katika bonanza la kukopa pesa ndani na nje ya nchi kwa pupa huku ikiwaaminisha raia wake deni lao ni himilivu na kwa ajili ya maendeleo yao. Umefika wakati sasa madeni yameiva, theluthi mbili(60%) ya mapato...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matunda ya "demokrasia" kenya inashuhudia vifo zaidi ya 16 kutokana na maandamano

    Hii ni aibu kubwa kwa wote wanaopigania ule uhuru usio na mipaka au heshima. Hii ni demokrasia gani inayoleta maafa na chaos?
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Ayub Rioba: Naangalia yanayotokea kwa jirani zetu Kenya, najiuliza, ni nani alitudanganya kwamba hiyo ndiyo maana ya demokrasia?

    Anaandika Mkurugenzi wa mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kupitia ukurasa wake wa Facebook === Naangalia yanayotokea kwa jirani zetu Kenya; najiuliza: ni nani alitudanganya kwamba hiyo ndiyo maana ya demokrasia? Ni kweli na ni sahihi kwamba ni lazima wananchi wahoji mamlaka pale...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wanatuambia Linda kura! Na sisi tunasema Linda Kura’ Bila Reforms ni Utapeli wa Kisiasa na Usaliti kwa Demokrasia ya Taifa Letu

    Katika wakati ambapo wananchi walioamka wanapaza sauti kwa umoja na msimamo thabiti wakisema NO REFORMS NO ELECTION – yaani bila mabadiliko ya kweli ya mfumo wa uchaguzi hakuna sababu ya kushiriki uchaguzi wa maigizo – chama cha ACT-Wazalendo kinakuja na kauli isiyokubalika ya "Linda kura"...
  9. JamiiForums Tanzania Tunapotafuta Mfumo wa kiutawala (Demokrasia) tusiangalie USA n.k. (Oligarchy) bali tujitahidi kufikia kina True Democracy (Cantons za Uswizi)

    Demokrasia ni nguvu ya umma katika maamuzi na utawala wao, hio ni kwenye makaratasi ingawa kinachotokea ni tofauti sana hadi kuna siku niliwahi kusema yafuatayo https://www.jamiiforums.com/threads/heri-udikteta-kuliko-maigizo-ya-demokrasia.2145190/ Sababu kama dikteta ni mzuri huenda tukapiga...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu: Fedha za uchaguzi Mkuu zisitumike kuminya demokrasia

    ACT WAZALENDO YAPINGA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA UCHAGUZI MKUU Chama cha ACT Wazalendo kinapenda kuwajulisha wananchi wote wa Tanzania kuwa katika muktadha wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26, tumechambua kwa kina matumizi yaliyotengwa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo: Tunaenda kwenye uchaguzi tukiwa hatuna matumaini makubwa ya haki na msingi ya demokrasia kuzingatiwa

    Akizungumza katika uchambuzi wa Bajeti Kuu ya Serikali 2025-2026 uliofanywa na ACT Wazalendo, Mwenyekiti wa chama hicho Dorothy Semu amesema, "Kwa mwaka mwengine tena tunaenda kwenye uchaguzi tukiwa hatuna matumaini makubwa ya haki na msingi ya demokrasia kuzingatiwa. Tumeamua kuingia kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi USA na UK walivyoshirikiana Kuondoa Demokrasia Iran

    Mnamo mwaka 1953, serikali za Amerika na Uingereza zilipanga mapinduzi nchini Iran, na kumpindua Waziri Mkuu aliyechaguliwa kidemokrasia Mohammad Mossadegh. Hatua hii, inayojulikana kama Operesheni Ajax, ilichochewa na mambo mawili:- Wasiwasi juu ya utaifishaji wa sekta ya mafuta, ambayo hapo...
  13. JamiiForums Tanzania Misimamo ya Ndani ya Vyama vya Siasa: Changamoto kwa Demokrasia, Uwajibikaji na Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Katika mfumo wa utawala wa kidemokrasia mathalani nchini Tanzania, vyama vya siasa vina nafasi ya kipekee katika kuongoza mchakato wa kisiasa na kutoa dira ya maendeleo kwa taifa. Hata hivyo, hali ya sasa ni ya hatari Kwa sababu misimamo ya ndani ya vyama hususani chama Cha mapinduzi, maarufu...
  14. JamiiForums Tanzania 1977: Julius Nyerere akizungumzia katiba, demokrasia, na petty tyrant….

    Alichokizungumza hapa kina resonate vizuri sana na hali kisiasa iliyopo. “If a petty tyrant gets somewhere, we’ve got to remove him [or her]. Pia, kumbe Nyerere naye alikuwa ni globalist 😀. https://youtu.be/92MreE1tep8?si=3UG3J8HYqakllrXr
  15. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, kanuni za maadili ya uchaguzi wa mwaka 2025 ni nini? Kati ya nidhamu au udhalimu wa kisheria

    Je, KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2025 NI NINI? KATI YA NIDHAMU AU UDHALIMU WA KISHERIA I. DHANA YA MSINGI KANUNI ZINAZOVAA NGOZI YA DEMOKRASIA Kanuni hizi zinasisitiza maadili kama chombo cha kulinda uchaguzi huru, wa haki na wa amani. Lakini kama Mtanzania ninatoa onyo: "Si kila...
  16. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri demokrasia inafikia mwisho wake na inaenda kutoweka duniani, hakuna tena sababu za msingi kuumia ukipigania demokrasia

    Ukiangalia hali zote za kisiasa na uchumi zinazoendelea duniani kote kwa muongo mmoja uliopita inaashiria dhahiri demokrasia imechokwa na inaenda kufikia mwisho hivi karibuni. Watu watakaoendelea kuzungumiza demokrasia wataonekana ni wehu na wendawazimu tu wasioona na kukubali uhalisia. Ukweli...
  17. JamiiForums Tanzania Licha ya demokrasia kusitawi sana Tanazania, Je, kinachoonekana kwenye siasa za upinzani ni CHADEMA kujitenga yenyewe au imetengwa na upinzani?

    Na je, Chadema inafanya siasa kweli? Sote ni mashahidi, uhuru, haki na usawa kwa vyama vya siasa nchini vimeimarika sana. Vyama vya siasa hususani upinzani nchini vimepata pumzi na nguvu mpya ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara katika mazingira bora zaidi kulingana na uwezo na mipango yao...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaosema Demokrasia ya kenya ipo miaka 50 mbele? ndo hii ama kuna ingine?

    https://www.tiktok.com/@254show/video/7515130392211410194?is_from_webapp=1&sender_device=pc
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu: Tukisusia uchaguzi tutakuwa tunaimarisha hujuma dhidi ya demokrasia. ACT Wazalendo tutaikabili CCM itakavyokuja

    Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Bi Dorothy Semu akizungumza katika mkutano wa hadhara Temeke ameendelea kusisitiza kuwa chama chao kitashiriki uchaguzi ili kuing'oa CCM Madarakati. Amesema ''Tumeona na tumejifunza tunaposusia uchaguzi, tunaendelea kuimarisha hujuma dhidi ya demokrasia, CCIM...
  20. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Demokrasia sio ruhusa ya kutukana wengine, kama Uhuru ni kutukanana tungeutafuta wa nini?

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema uwepo wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni sio ruhusa ya kuvunja sheria, kutukana watu na kwamba anayefanya hivyo anastahili kuchukuliwa hatua ikiwemo kukamatwa na kuhojiwa polisi. Amesema lengo la uhuru ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…