demokrasia

  1. Lycaon pictus

    The iron law of oligarchy na ubawa wa demokrasia

    Siku zote nimekuwa nasema kuwa demokrasia ni mfumo wa hovyo sana wa utawala. Sasa kuna mwanazuoni mmoja aliobserve kitu kimoja. Kwanza kwa kifupi oligarchy ni mfumo wa utawala wa matajiri wachache. Matajiri wachache ndiyo wanaendesha nchi. Sasa kutika observation zake mwanazuoni huyo aligundua...
  2. K

    U-CCM ni zaidi ya anaoujua Tundu Lissu na wapinzani. Nasimama na CCM kwenye demokrasia

    Ninakifahamu vizuri Chama Cha Mapinduzi na kila ninaposikia kinaelezwa tofauti na ninavyokifahamu hususani na wapinzani nawaza mengi sana lakini mwishowe nahitimisha mawazo yangu kwa kusema ni suala la muda kabla hawajaufahamu ukweli. Ninatambua U CCM sio falsafa ya kila mtu na waliobahatika...
  3. Mhafidhina07

    Zama zimebadilika, demokrasia nayo ichukue maana halisi kulingana na historia yake

    Tunakumbushwa madarasani pia hata mitandaoni kuwa demokrasia ilianza katika mji ATHENS - Ugiriki ambapo watu wachache wenye busara zao walifanya maamuzi juu ya mustakabali ya mji wao ndiyo maana wengi tunaelezea demokrasia kama ni watu (wachache) wanaongoza walio wengi ila tumewaondoa wanawake...
  4. B

    Gaza: Uso kwa uso na machampioni wa Demokrasia na Haki za Binadamu

    Tembea uone na kuishi kwingi ni kuona mengi: Clip hii inajieleza. Demokrasia ipi au haki zipi za bindamu Marekani au Ulaya magharibi watamwambia nani wapi? Undumila kuwili wao unawapa sana visingizio mabaradhuli wengi wa dunia hii kujifanyia yao na bila ya simile. Kumbe nani wa kumwambia...
  5. Mto Songwe

    Demokrasia ni mfumo mfu hamuwezi kufanikiwa duniani kwa sababu ya "Unafiki"

    Kwa wale wanao ona dunia itakuja kuwa chini ya utawala wa kidemokrasia kama ilivyo vitabuni basi hawapo sahihi wanaishi katika njozi. Ili demokrasia iweze kufanikiwa duniani basi panapaswa kutokuwepo unafiki baina ya watu. Unafiki ni kikwazo mojawapo cha asili cha sisi watu kinacho weka uzio...
  6. Logikos

    Heri Udikteta Kuliko Maigizo ya Demokrasia

    Tukumbushane tu..., Sisemi kwamba hili linatokea Sasa lakini Kutumika kwa Rasilimali Fedha na Muda kwenye Maigizo ya Demokrasia au Kutumia Pesa kwa Propaganda, ni bora Muda na Pesa hizo zikatumika kuleta maendeleo kwa Wananchi wanaojua Demokrasia haipo (Maigizo yana Gharama isiyo na Tija...
  7. HelcopterChopa

    Malumbano ya kisiasa hayana afya kwa ustawi wa demokrasia nchini

    Yanayoendelea miongoni mwa vyama vya siasa na vyama vya kiraia hususani chadema na sauti ya watanzania ni kudhoofisha afya na ustawi wa demokrasia nchini. Ni kudhoofisha jitiahada zilizoanza vyema sana za kutetea haki, uhuru, usawa na demokrasia. Malumbano yanarudisha nyuma na kupoteza uelekeao...
  8. Tlaatlaah

    Uelewa wa wananchi kuhusu haki, uhuru na demokrasia umeongezeka pakubwa nchini

    Je kuongezeka, kuimarika na kushamiri kwa hali hii ya uelewa mpana wa mambo kwa wananchi, kumechochewa zaidi na nini, ili kusudi pia kichocheo hicho kitumike kuchochea Elimu na uelewa wa katiba iliyopo na inayokusudiwa?
  9. JanguKamaJangu

    Rais Biden asema Trump ni tishio kwa Demokrasia

    Rais wa Marekani, Joe Biden, amezidisha mashambulizi yake dhidi ya rais wa zamani Donald Trump, Alhamisi, katika hotuba kali ambayo amewahi kutoa hadi sasa, kwamba rais huyo wa zamani na mgombea anaeongoza katika chama cha Republikan, ni kitishio kwa desturi na taasisi za kidemokrasia za nchi...
  10. Tlaatlaah

    Tanzania inafuata misingi yote ya Demokrasia ya vyama vingi

    Mapungufu madogo madogo na kasoro chache zilizopo, vipo pia kila mahali inapotekelezwa demokrasia ya aina ya Tanzania, mathalani Marekani na kwingineko. Na kwasababu hiyo uchaguzi huru na wa haki Tz upo, Tume huru ya uchaguzi Tz ipo, Utawala wa Sheria na utawala bora Tz upo, heshima kwa haki za...
  11. The Sheriff

    Vijana wengi wa Kiafrika wanaona miundo ya Kidemokrasia Afrika inahitaji maboresho

    Licha ya hamu kubwa ya kidemokrasia, vijana wa Kiafrika hawana nia ya kuiga demokrasia za Magharibi. Badala yake, wanafikiri kuwa miundo na mifumo ya kidemokrasia inapaswa kubadilishwa ili kuendana na mazingira ya ndani ili kufanikiwa. Kwa mujibu wa utafiti wa African Youth Survey wa mwaka...
  12. The Sheriff

    Vijana wengi wa Kiafrika wanakubaliana na Demokrasia kama njia bora ya Uongozi

    Vijana wa Afrika wanazidi kupaza sauti zao, na ujumbe wao ni wazi: demokrasia ni mfumo bora wa serikali ambao nchi zao zinapaswa kuufuata. Utafiti wa African Youth Survey wa mwaka 2022 unaonesha idadi kubwa ya vijana wa Kiafrika, kutoka katika nchi mbalimbali za bara hilo, wanaunga mkono...
  13. Alwaz

    Guinea yasema mbele ya UN kuwa waafrika hawana shida na demokrasia ya Kimgagharibi

    Kiongozi wa kijeshi wa Guinea,Mamady Doumbouya hapo jana alipokuwa akihutubia baraza kuu la umoja wa mataifa UNGA kuwa mfumoj wa demokrasia haufanyi kazi kwa nchi za kiafrika. Katika hotuba yake hiyo alisema nchi hizo ziache kuzilazimisha nchi za kiafrika kufuata mifumo yao ya kiutawala...
  14. Miss Zomboko

    Uhuru wa kutumia Mtandao huwapa Raia Uhuru wa kujieleza ambao ni msingi wa Demokrasia na msingi wa Haki nyingine kwa ujumla

    Kwa mujibu wa Ripoti ya 'Tanzania Elections Watch' ya 2021 Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 unatajwa kuwa moja ya Chaguzi zenye ushindani mkubwa zaidi katika historia ya Siasa za Vyama vingi Nchini Tanzania. Ulifuatiliwa na Watu wengi Kimataifa, kutokana na Mazingira ya kurudi nyuma kwa Demokrasia...
  15. Wadiz

    Bila haki, uhuru, demokrasia ya kweli nje na ndani ya bunge, kukosekana uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa raia kukosoa, Tanzania itabaki maskini

    Msingi wa maendeleo ya binadamu ni haki, uhuru na demokrasia, kuna mahali serikali ya Tanzania hii ya CCM haijitambui na Dunia haina macho dhidi ya Tanzania, pengine ndiomana Magufuli ilibidi afe (mnisamehe ntaeleza), dhamira ya Magufuli kuua upinzani ilikuwa ya kitoto na ya kipumbavu, Magufuli...
  16. K

    Falsafa za 4R za Rais Samia ni msingi wa siasa safi na demokrasia. Je, zijumuishwe kwenye mtaala wa elimu na kuanza kufundishwa mashuleni?

    Najaribu kutafakari namna ya kutoka na picha kubwa kwenye falsafa za 4R za Rais Samia. Kwa kuwa falsafa hizo zimejikita zaidi katika misingi ya siasa bora na demokrasia, Je sio vema zikajumuishwa kwenye mtaala wa elimu ili zianze kufundishwa mashuleni? Najaribu kutafakari Zaidi kuhusu matokeo...
  17. kavulata

    Demokrasia na mila ni pacha

    Angalia nyumbani kwenu, nyumbani kwako na kwenye familia yenu kama kuna demokrasia ya kiasi gani? Je, wazazi wamewapa watoto demokrasia ya kusema, kutenda na kuamua kiasi gani? Je, baba anaruhisiwa kumuoa mtoto wake? Je, baba anaweza kuvumilia matusi ya mtoto wake? Je, Binti anaweza kumleta...
  18. Kichwamoto

    Matumizi ya neno "UCHOCHEZI" ni namna dhaifu sana ya kuikataa demokrasia na uhuru wa kukosoa

    Katika nchi dhaifu za Kiafrika na hasa ambazo watawala wake ni mamluki wa mabeberu ni utamaduni kwao neno UCHOCHEZI kutumika kufifisha ukosoaji na kukimbia uwajibikaji wa kushindwa kutatua kero au kukithiri kwa Uonevu katika jamii za nchi za Kiafrika. Ipo haja ya nchi za Kiafrika zijitathmini...
  19. Roving Journalist

    Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani, Septemba 15, 2023

    JamiiForums na Haki Mawasiliano wameshirikiana kuandaa mjadala katika kuadhimisha Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani. Kauli Mbiu katika mjadala huu ni “Kuwezesha Kizazi Kijacho”, ambapo Mada husika ni “Demokrasia ya Kidijitali kama Kichocheo cha Utawala Bora” Mjadala unafanyika kwenye...
  20. BigTall

    Tuliosoma Somo la Uraia, nani anakumbuka ‘definition’ ya Demokrasia?

    Leo ni Siku ya Demokrasia Duniani, wakati nasomasoma mitandaoni pia nimeona uzi flani huku JF ukiwa na maelezo meengi kuhusu Demokrasia. Bila kujali kama Nchi yetu tuna maana halisi ya matumizi ya neno hilo, tujikumbushe masomo ya Uraia na Civics, nani anakumbuka definition ya neno Democracy...
Back
Top Bottom