demokrasia

  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tangu tupate uhuru, Tundu Lissu ndio atakuwa Mwanasiasa wa kwanza Kunyongwa kwa ajili demokrasia ya taifa lake

    Hakuna mwingine ambae alishaandika historia kama ya Tundu Lissu. Kusingiziwa kesi isiyo na mashiko wala mbele. Kama watamtia hatiani atakuwa Mwanasiasa wa kwanza kumwaga damu yake kwa ajili ya demokrasia ya taifa lake.
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania TLS na LHRC tusaidieni haki na demokrasia ngazi ya familia zaidi kuliko ngazi ya Taifa

    Rais, mawaziri, viongozi na raia wote wanatoka kwenye familia. Familia ndio msingi wa Taifa kwakuwa tabia zote za viongozi na raia wa nchi zinazaliwa, kulelewa na kukoma kwenye ngazi ya familia kabla ya kuhamia mashuleni na vyuoni na hatimaye kwenye Taifa ambako TLS na LHRC mara nyingi kama sio...
  3. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Mbowe aliitangaza Demokrasia ili kujijenga yeye kwa manufaa yake binafsi kwa mgongo wa chama

    Wote tunajua namna FAM alivyokipigania CHADEMA Mpaka kikawa chama Tishio kwa kila Taasisi ya kiserikali,lakini katika kukijenga chama,chama kilizungumza,haki,usawa,utawala bora na demokrasia mambao ambayo wanainchi wengi wanapenda kusikiliza ajenda zake,chama kikakubalika. Lakini wakati wa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Guinea -Bissau: Upinzani watishia kususia kura ya maoni Katiba mpya, wadai muundo unaotumika si Demokrasia

    Agosti 30, 2026 Guinea-Bissau inaelekea kwenye kura ya maoni ya katiba Mpya hatua ambayo bado ina utata. Vyama vya upinzani kama PAIGC, muungano wa API-CG, na COLIDE-GB vyote vimekataa mchakato huo jinsi ulivyo na kutoa wito wa kususia. Mabadiliko yanayopendekezwa na Katiba Mpya Chini ya mfumo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sauti ya Unabii na Kulinda Demokrasia: Wito wa Maaskofu wa Zambia Kabla na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2026

    Muhtasari wa Kitendaji Makala hii inachambua wito wa kichungaji wa Baraza la Maaskofu Katoliki Zambia (ZCCB) katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 13 Agosti 2026, ikilinganishwa na misingi inayosimamiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Wakati mazingira ya kijamii ya Tanzania...
  6. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Afrika inapitia kwenye darasa bora kabisa la msamiati wa neno "demokrasia"

    Katika nchi ambayo barani afrika ndiyo iliyokuwa na demokrasia bora kabisa na tume huru kweli kweli iliyowahi kuwabadilisha viongozi wa taifa hilo mara kwa mara,leo hii inashindwa kuaminika na baaadhi ya viongozi walafi wenye uchu mkali wa kupata nyadhifa za ukuu wa nchi, Najaribu kutafakari...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza viongozi wa Chadema wa mstari wa mbele wa kutetea haki na Demokrasia nashauri imarisheni mfumo wa uongozi hadi vijini

    Nchi yetu ni nchi ya demokrasia ya vyama vingi. Demokrasia inaleta ushindani wa hoja sera mawazo Bora zaidi ya kujenga nchi yetu. Viongozi wa Chadema wanastahili pongezi ya kukubali kukaa mstari wa mbele kutetea haki na Demokrasia KATIKA nchi yetu. Sisi kama WAZALENDO tunatamani tuone vyama...
  8. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Viongozi watatu wa CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya siasa

    Viongozi watatu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, wakipinga hatua zilizochukuliwa dhidi yao walipopaza sauti kuhusiana na tuhuma za ubadhirifu wa pesa za michango ya wadau kwa chama hicho...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Afrika isiposimama imara, wakoloni watarudi tena kwa njia ya Demokrasia

    Kimsingi Afrika yote hakuna demokrasia wala haki kama zile zinazotangazwa na nchi za Magharibi tuwe nazo. watu wetu wameishi kwenye hali hiyo hadi sasa bila shida sana. Hivyo ukosefu wa demokrasia kwao sio tatizo kubwa la kufa au kupona kuwa nalo. Waafrika wanaishi bila shida kwenye mazingira...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ibrahimu Traore mwisho wake utakuwa kama Gaddafi asipoweza kujua majira ya kuondoka madarakani na kuruhusu demokrasia. Hakuna dikteta mzuri

    Ibrahimu Traore Uhuru wa watu kuamua mambo Yao na viongozi wao ndo maendeleo ya kwanza katika taifa lolote. Kuna MAGEREZA unapewa chakula Bure na Kila kitu isipokuwa uhuru TU, Lakini hakuna anapenda kukaa huko Gerezani. Anaona bora aje mtaani apambane na hali kupata chakula chake mwenyewe...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanataka amani na maendeleo sio demokrasia

    Watanzania wako tayari kuvumilia ukosefu wa haki na demokrasia lakini hawako tayari kuvumilia ukosefu wa amani, utulivu na usalama. Hii inatokana na ukweli kwamba wamezaliwa, kulelewa na kukulia kwenye familia, mitaa, jamii na taasisi ambazo hazitoi haki wala demokrasia. Mfano, kuna jamii...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: CCM haiwezi kufundishwa demokrasia na yeyote nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, ametoa jibu kali la kiitikadi dhidi ya vyama vya upinzani vinavyoishutumu serikali kwa kubana demokrasia, akisisitiza kuwa chama tawala cha CCM kina historia ndefu ya kupigania haki na kiko imara kisheria kufuatia ushindi...
  13. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Brussels na Washington zazungumza lugha moja juu ya Tanzania na Mauaji ya Oktoba 29, Uvunjifu wa Haki za Binadamu na Kuminywa kwa Demokrasia

    Na Amani K. Mrope | Ofisi ya Washington Tatizo Siyo Pesa. Tatizo ni Tanzania Kuingizwa Rasmi Kwenye Rekodi mbaya za Kimataifa. Kuna nyakati ambazo nchi hupoteza fedha. Na kuna nyakati ambazo nchi hupoteza imani ya dunia. Fedha zinaweza kurejea. Lakini imani ni vigumu zaidi kuijenga upya...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama tunavyowaambia CCM hii nchi sio yenu peke yenu. Vivyo hivyo na CHADEMA hamna hatimiliki ya Ukweli na Demokrasia peke yenu

    Hamjambo! 1. Bado tunawekana Sawa. Tunazungumza. Ili mambo yakae sawa. 2. Kuna vitabia vya ajabuajabu ndani ya nchi yetu. Tabia ya kujimilikisha mambo ambayo hayamilikiwi na yeyote. Mambo ya wote kundi na genge Fulani linahodhi na kujimilikisha. Hiya ni dhulma. 3. Ukweli, uzuri, uponyaji...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Demokrasia si kwa ajili yako na mimi. Ni mfumo wa kuwaserve elites.

    Mfumo wowote wa utawala huwa unawekwa na watu walioshika uchumi. Upo kuwaserve walioshika uchumi. Kabla ya ubepari kulikuwa na ukabaila. Kwenye ukabaila kunakuwa na mabwana(feudal lords/aristocrats) na watwana(serfs). Mabwana huwa wanamiliki eneo kubwa la ardhi. Wanawapangishia watwana maeneo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Demokrasia haipingiki Tanzania: Dunia ya technologia, mifumo ya ki bank na vijana wengi

    Dunia ya leo inatawaliwa na vitu vikuu vitatu tu 1. Technologia: Viwanda, mawasiliano, usalama hivi vyote vitatu ni mihimu sana . Vyote vitatu vina ongozwa na mataifa ya demokrasia. Kuanzia software za kazini kama microsoft, mitandao, App za kila aina, kutuma pesa kila kitu ni technologia...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mswaada wa Bunge la Marekani kuhusu Tanzania unalenga pia kuwataja wanaohusika na ukandamizaji wa demokrasia bila kusahau waliogiza na kuekelez mauji

    Hii ni sehemu ya 5 ya Mswaada husika. Jisomee:
  18. K

    JamiiForums Tanzania Athari za Kauli za Hadhara katika Ustawi wa Demokrasia

    Katika nadharia ya sayansi ya siasa, uwepo wa uwanja sawa wa ushindani (level playing field) ndio nguzo kuu inayotofautisha mifumo ya kidemokrasia na ile ya kimamlaka (authoritarianism). Kauli ya Mary Pius Chatanda (Mwenyekiti wa UWT ) inatoa picha ya kile wataalamu wanachoita "ustahimilivu...
  19. 100 others

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Ghafla ya Vyombo vya Habari na Uhuru wa Kisiasa Tanzania

    Kuna hivi vyombo vya habari vya machawa navyo siku hizi wanazungumza siasa, wasafi tv, clouds media na vyombo vingine vya habari zikiwemo youtube channel za machawa, nao siku hizi wanachambua siasa na matukio ya MO29. Ila naona serikali inaendelea kutumia hivi vyombo na lengo kuu lao si kwa...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Uchochezi sio demokrasia kemea uchochezi

    UCHOCHEZI DEMOKRASIA yai vurugaa CHADEMA, makundi yaendelea Kukemea Siasa za Vurugu wananchi wadai Tanzania haiwezi kuongozwa kwa maandamano ya taharuki za migogoro kuharibu amani na uchumi NA MWANDISHI WETU WIMBI la kukemea siasa za vurugu, uchechezi na kuchochea migogoro ya kisiasa...
Back
Top Bottom