demokrasia

  1. JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Kiafrika hadi raha, baba Rais na mwanaye makamu, waendelea kuongoza

    Rais na mwanaye kama makamu waendelea kuongoza Equatorial Guinea, Rais huyo mwenye umri wa miaka 80 ndiye anaongoza duniani kwa kushikilia madaraka kwa muda mrefu kwenye hiyo nchi yenye umaskini uliokubuhu licha ya uwepo wa mafuta mengi. Afrika yetu patamu, Wazungu na mabeberu watuache na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania Inazingatia Misingi ya Haki, Demokrasia, Usawa na Mafanikio

    "Sisi hapa Tanzania tumeamua kuizingatia misingi hiyo (haki) na nataka niwahakikishie kwamba tutajitahidi kuijenga Tanzania yenye Haki, Demokrasia , Usawa na Mafanikio. Na ndio maana katika kipindi hiki tumekuja na idea ya zile 4R's". - Rais Samia Suluhu Rais Samia ameyasema hayo katika mkutano...
  3. JamiiForums Tanzania Demokrasia ni kitu cha ovyo sana. Inasababisha kuwa na viongozi wenye maneno mengi, matapeli na waongo kupindukia

    Kwenye demokrasia hakuna kitu cha maana huwa kinafanyika. Mnaishia tu kuwa na viongozi waongeaji sana na waongo waongo. Wanaotatua matatizo kwa maneno na si matendo. Watu wa zamani waliona kabisa ubaya wa huu mfumo. Leo nchi yetu imejaa wapiga maneno, matapeli na waongo-waongo. Mtu anaweza...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ndugai na Dkt. Bashiru wamethibitisha kuwa Tanzania hakuna Demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni

    Ukweli mchungu, Tanzania hakuna demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni haupo huu ndio ukweli. Ndugai na Bashiru uwe mfano hai na mjiulize kama viongozi wanatoa maoni kama hayo na sio kwamba ni kosa lakini wanaandamwa na kutweza itakuaje kwa mwananchi wa kawaida maoni yake yataheshimika kweli...
  5. S

    JamiiForums Tanzania CCM na wanaccm, nini kosa la Bashiru? Demokrasia kwenu ni nongwa?

    Sijafurahishwa na mfululizo wa kejeli, matusi na majibu dhidi ya Dr. Bashiru mara baada ya yeye kutumia Uhuru wa kikatiba wa kujieleza. Nafahamu akiwa "mtoto pendwa" awamu ya 5 Dr. Bashiru aliwahi kunena maneno ya makufuru dhidi wa watanzania kwamba "ccm itatumia hata vyombo vya dola ili...
  6. JamiiForums Tanzania Demokrasia inazidi kuyamaliza mataifa ya Ulaya

    Kwa kutumia demokrasia watu wenye sifa mbaya kiutawala na ambao wamewahi kuzitiia nchi zao kwenye mizozo wamekuwa wakirudi madarakani kwa kasi.Mmojawapo ni Benjamin Netanyahu wa Israel. Muda wote wa uongozi wake mbali na kuwaadhibu wapalestina alikuwa daima yuko mahakamani kwa shutuma...
  7. JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana kupata kiongozi mwenye kichaa kupitia demokrasia, si njia nzuri ya kupata viongozi

    Kuna matatizo fulani ya akili humfanya mtu atamani kuwa kiongozi au kujiona yeye ndiye anafaa sana kuongoza. Tukianza na watu wenye kichaa (Schizophrenia) yenyewe. Dalili moja inayoweza fanya watu hawa waweze kupenda kuwa viongozi ni 'delusion of grandeur'. Hii ni ile hali ya mtu kujihisi...
  8. JamiiForums Tanzania Afrika tunahitaji chakula kuliko Demokrasia

    Nikiangalia ndugu zangu wakiomba omba kwa matajiri wa Kihindi. Nachelea kusema majority hatuhitaji demokrasia Bali Chakula tushibe Kwanza. Haya ya kupiga Kura sijui tume huru ya uchaguzi yanataka watu washibe kwanza. Kurasini, yupo tajiri anatoa msosi kila jioni (wali-maharage) hiyo nyomi...
  9. JamiiForums Tanzania Prof. Mukandala: Matokeo ya Rais yahojiwe Mahakamani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Oktoba, 2022 Mapendekezo 18 ya Ripoti yanasomwa na Prof. Rwekaza Mukandala Kikosi kazi...
  10. JamiiForums Tanzania Chad: Watu 50 wauawa katika maandamano ya kudai Demokrasia

    Idadi hiyo imetolewa na mamlaka za usalama za Serikali na kuwa watu wengine 300 wamejeruhiwa katika maandamano hayo. Waziri Mkuu Saleh Kebzabo amedai baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha na kati ya waliouawa ni askari wa vikosi vya usalama, ambapo Serikali imetangaza amri ya kutotoka nje...
  11. JamiiForums Tanzania Nani mwenye shaka juu ya demokrasia ya nchi za Magaharibi hasa baada ya Waziri Mkuu Uingereza kujiuzulu?

    Nasubiri kuona kiongozi wetu mkuu kuiga mfano halisi wa demokrasia sahihi na hakika kutoka kwa kiongozi wa jumuiya ya madola. Yaaani ndani ya kipindi cha mwezi mmoja na nusu tumeshuhudia kwa macho yetu wenyewe kabisa mawaziri wakuu wawili tena wa dola kubwa sana duniani wakijiuzulu kutokana tu...
  12. JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania ni ya vichekesho sana!

    Eti Rais wa nchi ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Siasa anaweza kuzuia Chama xyz kisipewe usajili - hii ni Demokrasia au ujinga? Nchi ya Kidemokrasia mtu yoyote anaweza kuanzisha Chama chochote popote na muda wowote, angalia hata Kenya watu wanaanzisha Vyama kila uchwao sijawahi kusikia chama...
  13. JamiiForums Tanzania Demokrasia vs Uchumi

    Kunatofauti kubwa Kati ya Demokrasia na Uchumi, na nivitu ambavyo haviendi Pamoja, lakini vilevile Ikiwa kimoja kitainuka lazima kingine kianguke. Demokrasia katika ulingo wa kisiasa kwa upana wake haishii kwenye kuchagua na kuchaguliwa, Bali inaenda Mpaka kwenye uwajibikaji wake, Yakwamba...
  14. JamiiForums Tanzania Macron akiri demokrasia yaelekea kushindwa duniani.

    Raisi wa ufaransa Emmanuel Macron amesema utawala wa kidemokraisia unaelekea kufa duniani kote ikiwemo Marekani kwenye. Katika kile alichokiita mzozo wa kidemokrasia Macron amesema hali hiyo inatokana na ukandamizaji na hali ya mchafuko unaoletwa na demokrasia.
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunayo ya kujifunza kwa Raila, baba wa demokrasia Kenya

    Kenya ni taifa katika mazingira halisi tuliyomo sisi. Hata hivyo taifa hili limepiga hatua kubwa sana kidemokrasia zenye kustahili kupigiwa mfano. Hizi tantarira za eti kuwa IEBC ni sawa tu na NEC yetu, kwamba ya Kenya tuwaachie wakenya wenyewe, nk nk, zote ni kelele za vyura tu. Nia na...
  16. JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Demokrasia ya Tanzania hadi bwana mkubwa aamue iwe

    Hiyo ina maana kwamba bila utashi wa Rais hakutakuwapo na demokrasia hapa Tanzania.
  17. JamiiForums Tanzania Siku ya demokrasia duniani

    Na Rais Samia Suluhu Hassan Mwaka 2007, Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ulifanya uamuzi wa kuzitaka nchi duniani kuadhimisha siku ya Demokrasia kila ifikapo tarehe 15 Septemba, ya kila mwaka. Siku hii inaadhimishwa kwa madhumuni ya kukuza na kuendeleza demokrasia katika kila nchi kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Septemba 15 ni Siku ya Demokrasia Duniani

    The International Day of Democracy provides an opportunity to review the state of democracy in the world. Democracy is as much a process as a goal, and only with the full participation of and support by the international community, national governing bodies, civil society and individuals, can...
  19. JamiiForums Tanzania Septemba 15: Siku ya Demokrasia Duniani

    Miongoni mwa misingi muhimu ya Demokrasia ni Uhuru wa Kujieleza, Uchaguzi Huru na wa Haki, na kuheshimu Haki za Binadamu Demokrasia ni pamoja na Vyombo vya Habari kuwa Huru na Wananchi kushiriki kikamilifu katika Masuala yanayogusa Maisha yao. Hii hujenga Jamii yenye kuiwajibisha Serikali...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kenya ni mfano wa kuigwa kwenye Demokrasia

    Kenya imekuwa mfano mzuri wa kuigwa kwasababu kila uchaguzi wanafanya vizuri zaidi. Ukweli ni kwamba pamoja na matatizo yao wanapiga hatua mbele kwenye demokrasia wakati nchi jirani karibu zote ziko palepale. Juzi walisema mimi ni Mwigulu kwasababu ya kumtetea Mama Samia kwenye tozo. Leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…