degree

An academic degree is a qualification awarded to students upon successful completion of a course of study in higher education, usually at a college or university. These institutions commonly offer degrees at various levels, usually including bachelor's, master's and doctorates, often alongside other academic certificates and professional degrees. The most common undergraduate degree is the bachelor's degree, although in some countries there are lower level higher education qualifications that are also titled degrees (e.g. associate degrees and foundation degrees).

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Naomba kufahamishwa kuhusu bachelor degree ya Education in Earlychildhood

    Habari za muda huu wanajamvi. Naomba kufahamu zaidi kuhusu elimu tajwa hapo juu. Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu 2022,nimesoma tahasusi ya HKL. Hivyo naomba mwenye ufahamu anipe dondoo kuhusu elimu hii. Ahsanteni.
  2. Jamaa yangu ana Pass degree ila kapata kazi kwenye multinational company bila connection

    Sio kwamba nimesimuliwa hapana. Huyu jamaa yangu alihitimu bcom in accounting kutoka pale udbs miaka kadhaa iliyopita. Basi majuzi kati tuko nae ghetto tunapiga mvinyo tukaona tangazo kutoka kwenye kampuni kubwa mafuta lenye makao makuu yake huko Uingereza wakihitaji mhasibu kigezo ni uwe na...
  3. M

    Giza latanda, kwa waliosoma degree kupata ajira serikalini ni sawa na punda kupita tundu la sindano

    Sio siri kwa jinsi mwelekeo ulivyo kwa Sasa kwa watu waliosoma degree kupata kaz serikalin no asilimia ndogo Sana. Na kwa masikitiko makubwa wengi waliosoma degree ni wenye uchumi mdogo walifanya hivyo kutokana na kulipiwa ada na serikali. Najua kuna baadhi ya wanamember watasema kusoma ni...
  4. Una Degree na unafanya kazi ambayo ungeweza kuifanya hata kama ungeishia darasa la saba

    Wakuu kwema! Huyu Rafiki wa zamani tulipotezana miaka mingi kidogo, enzi za chuo chuo miaka ile mwamba akisomea moja ya fani ya Engineering pale DIT. Miaka hiyo tukiongelea future jamaa alikuwa akijiweka katika nafasi kama tisa hivi za juu za nchi vile akiamini uinjinia utakapo mweka. Juzi...
  5. A

    Mshahara wa mfamasia na medical laboratory science kwa gazi ya degree

    Wanajamii forum naomba kuulizia Ni kiwango gani cha Mshahara wa mfamasia na medical laboratory science kwa gazi ya degree kwa Zanzibar (s.m.z)
  6. A

    Kozi za degree zinanzo husiana na geography

    Naomba kupata outline za course za masomo yanayohusu Field ya geographia Mimi nikijana niliemaliza kidatu Cha sita 2022 combination ya CBG Nina penda Sana geography nanina ndoto za kusoma degree yenye kuhusu field yake chuo kikuu
  7. Mwenye ufahamu na vyuo vinavyotoa degree ya Computer Science

    Habari za siku ya leo, Swali lang ni kwa yeyote anayejua baadhi ya vyuo mbalimbali vinavyotoa degree za computer science. Nitashukuru Sana maana nipo kwenye mikakati ya kutafuta ila sioni mafanikio yoyote. Pia kama kuna anayejua baadhi ya website zinazotoa course kama hizi pia naomba...
  8. C

    Experience kwa waliosoma Open university degree ya kwanza

    Kama mada inavyojieleza hapo wakuu, naomba kufahamu uzoefu walopata wale waliopitia mfumo huo wa elimu kupata shahada zenu. Hiyo ikihusisha namna ya kusoma ugumu na wepesi na pia baada ya kumaliza kusoma.
  9. Nimeangalia idadi ya watu tulio na shahada ya kwanza hatuzidi Milioni 2. Kumbe wasomi bado tupo wachache sana

    Vijana someni msisikilize propaganda bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana. Just imagine nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+ Kiukweli kitu kinaitwa degree msikichukulie poa kina hadhi yake. Ni hayo tu wasomi bado tupo wachache so hoja za kuwaponda...
  10. Hivi inakuaje Hapa Tanzania watu Kingereza kinawapa shida pamoja nakusema kuwa mna degree zenu za sociology?

    Elimu ya Bongo Ni maaajabu sana hivi Mtu unashindwaje kuzungumza lugha ya Kingereza kwa Ufasaha na kuandika. Yule Rais wa Kanda ya ziwa na yeye alikuwa miongoni Mwao anasema tupo na PhD lakini hata kuongea sentensi moja ya Kingereza alikuwa hawezi. Mtu ukijiita Msomi hakikisha unajua kuongea...
  11. E

    Navyomkumbuka Edward Moringe Sokoine-alijiuuzulu Uwaziri Mkuu ili kwenda kusomea degree ya masters Yugoslavia

    Alijua wazi kabisa huwezi kufanya mambo mawili magumu kwa wakati mmoja, akaona aache cheo kikubwa kabisa cha uwaziri mkuu ili kwenda kutimiza adhima yake ya kujiendeleza kielimu huko nchini Yugolavia ya wakati ule. Wanzetu hawa utaona leo ni waziri na kesho amedoctorate sasa huwa utafiti...
  12. U

    Natafuta kazi nina bachelor degree in information technology"

    Habari wanajukwaa naamini humu kuna watu wa aina Tofauti Tofauti na wengine wamepata kazi zao kupitia hili jukwaa. Hivyo nakuja mbele yenu kuomba Nafasi au Connection itakayonisaidia Kuweza kupata Ajira ... Elimu yangu NI BACHELOR DEGREE IN INFORMATION TECHNOLOGY. nimespecialize kwenye...
  13. Degree ni Kigezo cha mtu kufanikiwa maisha?

    Kumepekuwepo na mijadali mingi sana kuhusu hili swala, hasa katika nchi zetu za africa mfano Tanzania. Tanzania mwanachuo anapomaliza chuo na kupata Degree yake basi huwa anahisi maisha ameyamaliza. huwezi kumwambia chochote utasikia mimi nina Degree yangu wewe wa darasa la saba utaniambia...
  14. Kwanini wasomi wengi ni masikini tena waliopo sekta za umma

    Wadau habari za mida naomba mchango wenu wa mawazo kwanini wafanyakazi wengi wa umma ni masikini unakuta mtuu ana bachelors degree ila unakuta anaishia kumiliki nyumba na gari moja tuu ambapo ukiangalia ni vitu vya kawaida sana yani hata hakuna maajabu wanauofanya kama wenzetu ukichukulia...
  15. Seven reasons why some of Degree holder are Poor

    WHY DEGREE HOLDERS ARE POOR? BASICALLY, there are seven reasons why degree holders are poor. 1. THEY DON’T THINK BEYOND THEIR CERTIFICATES Albert Einstein said, “Education is not the learning of facts, but the training of the mind to think.” Have you ever heard creativity term “Think outside...
  16. R

    Natafuta kazi, nina degree ya Bsc Environmental science and Management (SUA)

    Habari ndugu zangu, Husika na kichwaa cha habari hapo juu natafuta kazi ata ya internship ili nipate japo pesa ya kujikimu na maisha. Namba ya simu 0712730570 Email: louisfussi1999@gmail.com
  17. J

    Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

    Prof Mpoki Mafwega amechukua fomu ya kugombea Uspika wa bunge na kuahidi atashinda na kuweka historia mpya nchini kwani bunge siyo kwa ajili ya wanasiasa pekee. Prof Mpoki amesema tokea mwaka 1954 wakati wa mkoloni hapajawahi kuwa na Spika wa bunge aliyetoka kwenye sekta ya Utumishi wa umma...
  18. K

    Jamaa yangu ana pass Degree lakini tayari kapata kitengo

    Kuna jamaa yangu tumepiga nae shule, yeye alikua sio mtu wa ile misuli mirefu,kapata pass degree grade.ila cha kufurahisha ni kwamba jamaa tayari kalamba mkataba kwenye kampuni kubwa tu linalojihusisha na utengenezaji na usambazaji wa cement hapo mjini Daslamu. Binafsi zamani nilikuwa najua mtu...
  19. M

    Kuna mtanzania yoyote amewahi kuwa admitted kusoma undergraduate bachelor degree kwenye hivi vyuo?

    Mzuka wanajamvi! Kuna mtanzania yoyote kweli amewahi kuwa admitted kusoma undergraduate degree courses kwenye hivi vyuo kweli? Oxford, Cambridge, Havard, MIT, YALE, Stanford na John Hopkins? Nasisitiza UNDERGRADUATE DEGREE siyo masters ama PhD. Na kama yupo/wapo anastahili tuzo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…