degree

An academic degree is a qualification awarded to students upon successful completion of a course of study in higher education, usually at a college or university. These institutions commonly offer degrees at various levels, usually including bachelor's, master's and doctorates, often alongside other academic certificates and professional degrees. The most common undergraduate degree is the bachelor's degree, although in some countries there are lower level higher education qualifications that are also titled degrees (e.g. associate degrees and foundation degrees).

View More On Wikipedia.org
  1. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

    Wakuu mko poa,? Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee, Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo 1.TCC-2.53m 2.Twiga cement-2.76m 3.pwc-2.0m 4.Barrick-3.2m 5.Mbeya cement-2.5m 6.Delloite-2.0 7.Geita...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Wanachuo wataka sifa ya anayegombea ubunge iwe angalau degree moja

    Baadhi ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu Mkoa wa Dar es salaam, wamependekeza sifa ya mtu kugombea ubunge iwe pamoja na elimu ya shahada ya kwanza, tofauti na sasa ambapo sharti la elimu ni kujua kusoma na kuandika. Akizungumza kwa niaba ya wanafunzi hao jana Juni 22 jijini Dar es Salaam...
  3. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Haihitaji Degree kutambua anachofanyiwa Lissu ni kutokana na 'No reforms, No election' Watanzania wangekuwa na akili wangekuwa barabarani muda huu

    Tunaposema Tanzania ni taifa mfu, au Taifa lenye wajinga wengi mno ambao CCM inatumia kama mtaji nadhani sote tunajionea na kushuhudia. Watu kadha wa kadha wametekwa, wamepotea, hakuna aliyewajibika. Si Polisi ambao walionekana mchana kweupe wakimbeba marehemu kwenye basi lenye abiria wala si...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Dogo kawa offered kazi private mshahara tsh 650,000. Ana degree kamaliza chuo mwaka jana. Vp achukue hio fursa au mshahara unafinya?

    Kwa sasa amejishikiza sehemu kam intern wanamlipa 300,000 Degree yake ni ya finance/banking
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam serious, Muda huu Tulia Ackson angenyang'anywa Degree yake ya Sheria

    Kwa Wanasheria na Mawakili, Moja ya kosa kubwa kabisa linaloweza kukufanya uzuiwe kuendelea kufanya kazi za Uwakili ni pale unapothibitika kufanya kosa la kitaaluma yaaani professional misconduct. Katika sekta ya Sheria Proffesional Misconduct ya juu kabisa ni kudharau Mahakama. Ikiwemo...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro ndio Mkoa pekee ambao Wabunge wake Elimu ya chini Wana shahada/degree. Bila Degree Sahau kuhusu Ubunge huko Kilimanjaro

    Habari za Asubuhi! Kule Kwetu Kilimanjaro, Moja ya Mambo muhimu wananchi wanayazingatia kumpa Mtu Ubunge ni Elimu yake. Unajua Kilimanjaro mtu anaheshimiwa kwa mambo makuu yafuatayo; 1. Pesa 2. Elimu 3. Familia. Wananchi wa Kilimanjaro hata wale wajinga kabisa ambao hawakusoma hata darasa...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded UDSM wamepigapigaje hapa kwa Tarimba Abbas, aliwezaje kusoma degree na masters ndani ya miaka miwili tu?

    Wakuu Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam. Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Msaada Amemaliza Diploma ya IT aendelee Degree au VETA!??

    Msaada wa ushauri wenu wakuu, mtu aliemaliza diploma ya miaka mitatu IT ni bora aende degree kuendelea kusoma au aende VETA kujifunza ujuzi mwingine?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Diploma ya IT ni vema kwenda Degree au VETA?

    Wakuu, wenye uzoefu wa elimu na maisha ya chuo msaada wenu kwa ushauri mtu alipiga diploma ya IT miaka mi3,,,heri aendlee degree au aende veta kusoma mambo mengine!?
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Safari Yangu Kutoka Tabora Kuja Kupata Master’s Degree yenye Global Relevance – A Transformational Academic Journey

    Mimi ni mmoja wa wale ambao waliamini kwamba elimu ni mlango wa mabadiliko. Leo hii nimesimama kama mtu mwenye Master’s Degree kutoka University of California, Berkeley, moja ya vyuo vikongwe na vinavyoheshimika zaidi duniani. Lakini safari yangu haikuwa laini. Ilijaa milima na mabonde – lakini...
  11. dogman360

    JamiiForums Tanzania Bora kusomea Degree nyumbani Tanzania halafu Masters Nje kama una uwezo?

    .
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Chadema hawa Virusi G55 Wakishaondoka wote Tangazeni Nafasi Zilizo wazi Vijana tuje tuzizibe haraka Sana hatuna kazi huku kitaa na Degree Zetu.

    GT Nawashauri uongozi wa chadema Taifa kupitia nafasi zote zilizoachwa wazi na G55 ili vijana wazalendo tuje tujaze haraka sana. Tanzania haijawa na Tatizo la nguvu kazi kwa hiyo msiwe na shaka vijana tupo tayari kwa kazi. Jambo hili msichelewe kulifanyia kazi haraka iwezekanavyo mara tu...
  13. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Walimu wa shule za msingi wanatakiwa waajiriwe wenye degree na sio waliofeli form 4 kama ilivyo sasa

    Zipo changamoto nyingi katika elimu yetu ya shule za msingi za serikali ambapo watoto wengi wa maskini na kipato cha chini ndo wanaposoma zinachangamoto ya uhaba wa ualimu, wanafunzi kukaa chini, kutokua na maabara n.k Ila changamoto nayotaka kuongelea kwenye huu uzi ni swala zima la kiwango...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwa kuwa wasomi wa shahada na stashahada wameongezeka sana mtaani, kwanini wasiajiriwe kuwa Polisi?

    Salaam, Najua zamani, failure wa kidato Cha nne walikubaliwa kuingia upolisi na majeshi sababu ya uchache wa wasomi. Sasa mambo yamebadilika. Yaani vigezo vya kuajiriwa upolisi kama, mbio, urefu, afya timamu viongezwe na kuweka kigezo Cha Elimu ya diploma au Degree Ili kupunguza tatizo la...
  15. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Ilikuaje Jesca Magufuli aliyepata four ya 30 mwaka 2011 st Mathew akaruhusiwa kusoma Degree mwaka 2014?

    Elimu ya Tanzania imechezewa Sana wakuu
  16. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Natamani kila mwana JF asome vitabu hivi viwili, ni zaidi ya degree ya saikolojia

    Aisee nyiee!! Huu mwaka nimejikuta nasoma vitabu viwili vya zamani ambavyo naamini kila mtu amewahi kuvisoma, lakini hivi vitabu ukisoma neno kwa neno, mstari kwa mstari, ukisoma kwa kutafakari na kuhusianisha na maisha halisi ya mtaani hskika utagundua mambo mengi yakushangaza sana Cha pili...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Nimemaliza degree ya accounting

    Helloo Tanzania naitwa Jenipha nimemaliza degree ya accounting chuo kikuu cha dar es salaam natafuta kazi Asanteni 0713776534
  18. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Bora nikaokote makopo Ulaya na degree yangu, kuliko kuokota makopo hapa bongo

    Vijana wenzangu nje KAZI zipo, tumieni maaagent nendeni Dubai Qatar na Canada fursa ni nyingi
  19. H

    JamiiForums Tanzania Chuo gani kwa hapa kwetu Tanzania naweza soma Master's degree in sign language interpretation

    Baada na kuhitimu na kuitumikia ipasavyo Bachelor of Education Special Needs. Nahitaji kua mbobezi Zaid katika maswala ya ukalimani na lugha ya alama, naomba kufahamishwa ni chuo gani hapa nchini kinatoa kozi tajwa kwa level ya Masters
  20. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali Iweke Msisitizo wa Kuajiri Vijana Wenye Degree Kuwa Watendaji wa Vijiji na Mitaa.

    Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana wenye elimu ya juu, hasa wale waliomaliza degree katika vyuo vikuu. Wakati huo huo, nafasi za watendaji wa vijiji na mitaa mara nyingi hupewa wahitimu wa vyeti badala ya wahitimu wa shahada. Hii ni hali inayoshusha thamani...
Back
Top Bottom