An academic degree is a qualification awarded to students upon successful completion of a course of study in higher education, usually at a college or university. These institutions commonly offer degrees at various levels, usually including bachelor's, master's and doctorates, often alongside other academic certificates and professional degrees. The most common undergraduate degree is the bachelor's degree, although in some countries there are lower level higher education qualifications that are also titled degrees (e.g. associate degrees and foundation degrees).
Watanzagiza wanaangamizwa na kuangamia kwa kukosa uelewa wa historia, wengi hawaelewi historia ya hii nchi tuishio, muslim wanailewa vizuri na ndiyo maana wako ahead of the game, nashauri raisi ajaye (kama hata kuna kitu kama raisi ajaye tena ambaye siyo muslim) kama siyo mwana historia basi...
Wanafunzi tuliomaliza Chuo cha Mipango Dodoma mwaka jana (2025) mpaka leo hatujalipwa refunds zetu kwa waliozidisha ada na taratibu zote za kuhakiki account na majina tayari tangu tarehe 9 Januari 2026 lakini cha ajabu mpaka leo hakuna malipo.
Tukiuliza kuhusu hizo refunds, hatupewi taarifa ya...
Anonymous
Thread
bachelor
bachelor degree
chuo
chuo cha mipango
degree
dodoma
kero
kuhusu
mipango
moja
mwaka
mwaka 2025
wanafunzi
Mimi ni mtumishi, Nilipata ruhusa ya kwenda masomoni lakini sikwenda kwasababu ya ukiritimba uliopo halmashauri kwamba ukienda masomoni basi uwezi kupanda daraja, na Mimi napanda daraja Mwakani, nimetimiza miaka mitatu ya ajira Sasa, naona nikasome kitu kingine, passion yangu ni Mambo ya...
Habari wakuu nimekuja kwenu kuomba uelewa nimeajiriwa na diploma lakn nina cheti changu cha degree bado sijakichukua chuoni naomba kujua je itachukua muda gan kazini hadi niweze kukitumia cheti cha degree na kisheria ya utumishi pia inasemaje ni kosa au,
Kwa anaejua naomba maelezo niweze...
Majina ya form 4 mfano (John M. Doe), lakini yakabadilishwa na deedpoll yakawa John Doe Michael (Notice M imekuja mwisho na kuwa kwa kirefu). Na ndio Jina lililopo kwenye Cheti Diploma na Kwenye Ajira serikalini. Nimeenda kujiendeleza Degree, muda wa registration wajina yakavutwa ya form 4...
Kuna wanafunzi wawili wote wamesoma chekechea hadi form 6 Tz.
Moja kabaki Tanzania mwengine kaenda Uingereza, wote wanasomea degree ya usimamizi wa biashara
Kwao wana hali za kawaida, aliebaki anasoma kwa mkopo wa serikali, wa nje kapata mdhamini.
kutakuwa na utofauti wakishamaliza vyuo...
Katika jambo ninaliliamini 100% Mapolisi wengi aina ya Muliro, Mafwele na genge lao , Huwa Elimu zao ni za kuunga unga sana, Wakiwaga chuoni Wanaishia Kuhonga na kununua Mitihani .
Unaweza jiuliza, Muliro kasema wamemkamata Niffer, lakini bado Mpaka muda huu Ndugu wa Niffer Wanazunguka Kila...
Dunia ina mengi Leo nimeshangaa Shahidi ambaye ni Afisa wa Police kusema alipata Elimu ya Degree mambo ya Mafriji huko Nairobi
Hivi chuo kikuu kitaamua kudahili na kutoa elimu ya mafundi fridge
Police mbona mnaajiri mabunda.
Sasa Kwa jitu ujinga kama hili mtashinda kesi Gani?
Hawa ni wanafunzi naowajua vizuri walimaliza form 4 mwaka 2012
Moja alifaulu kwa division 1 ya point 16 (ya enzi hizo), akaenda A Level shule nzuri ya private akafaulu division 2 nzuri, chuo akamaliza 2019, hakuwa mvivu wa kusubiria kazi ijilete, ni mpambanaji, kajitolea sana na kuhudhuria...
Bachelor of Accounting - 81
Bachelor of Banking and Finance - 103
Bachelor of Science in Insurance and Risk Management - 553
Ni kweli taifa linahitaji vijana wenye taaluma za Insurance na tunaipongeza IFM kuwa na hii kozi lakini ukweli mchungu ni kwamba uhitaji wake ni mdogo mno sokoni.
Kwa...
Wakuu wajuzi wa mambo msaada naombeni mnipe mawazo kidogo hivi kati ya degree ya nursing anaesthetic,general nursing, clinical nutrition na physiotherapy ipi iko marketable wakuu?
Katika jamii ya leo, elimu imekuwa kama kipimo cha thamani ya mwanadamu. Certificate, Diploma na Degree vimechukua nafasi ya heshima, ajira na hadaa kubwa ya kijamii.
Hata hivyo, ukweli ni kwamba hiyo ni chicanery tu, unaambiwa na unajiona umeelimika kwa sababu umepokea uthibitisho wa...
Masters of education in assessment and evaluation.
Naomba Tushauriane wanazuoni hii kozi nahitaji kuongeza ujuzi. kabla sijajitosa rasmi, kama yupo wa kuniboreshea kwa kujenga kozi nyingine nzuri zaidi nakukaribisha sharti iwe Education tu. Bachelor yangu ni Education. Kwa wale walamba nyau...
Just image miaka yote ya chuo wanafunzi au mwanafunzi anatumia chagAI kujibu assignment hajawahi ata siku moja kushughulisha akili yake kusoma vitabu library hio degree itakayokuja kuzalishwa hapo asee 😁😁 sijui tu.
Hakuna kuingia library watu ni copy na paste reference ni google basi
Waajir...
Vyuo hivi havitapokeo maombi ya kozi zifuatazo kwa mujibu wa Tume ya vyuo vikuu (TCU)
SAUT Mwanza
Bachelor of Laws
Bachelor of Arts in Sociology
Bachelor of Philosophy with Education
Bachelor in Tourism and Hospitality Management
UDOM
Bachelor of Education in Science with ICT
Bachelor of...
Degree ambazo ukisoma hukosi Ajira.
1. Computer Science
2. Healthcare
3. Degree of Mass Communication
4. Some engineering courses.
5. Business Management.
Ongezea Degree moja hapa tuone?
I salute you kinsmen.
Mara baada ya UDOM kuwa na mkuu mpya chuo kuna mabadiliko makubwa kwa wadogo zetu wanafunzi wa ualimu ndaki ya elimu (college of education)
Inaonekana ni mapendekezo ya serikali katika kupunguza idadi ya walimu kwa madai wamekuwa wengi nchini na hawana ajira, hivyo kulimit...
Alimapomaliza form 4 alipata division 2 lakini alipatwa na msiba, hakuweza kuendelea na shule kwasabau za kiuchumi.
Alienda mafunzo ya mgambo lakini alipomaliza kuna pesa za usimamizi wa mirathi zilitoka akaenda kusoma Diploma ya Mechanical Engineering
Je, akienda JKT anaweza kupewa kipaumbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.