Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,222
I salute you kinsmen.
Mara baada ya UDOM kuwa na mkuu mpya chuo kuna mabadiliko makubwa kwa wadogo zetu wanafunzi wa ualimu ndaki ya elimu (college of education)
Inaonekana ni mapendekezo ya serikali katika kupunguza idadi ya walimu kwa madai wamekuwa wengi nchini na hawana ajira, hivyo kulimit idadi ya wanafunzi vyuo visizidi kuzalisha wasomi wasioweza kuwaajiri..
Kwanzia mwakani College of education UDOM wana mpango wa kufuta takribani degree programme sio chini ya 7 ili ziweze kubali nne tu, lengo likiwa ni kupunguza wingi wa walimu .
Ifahamike kuwa jumla ya degree programme za elimu zinazopatikana COED ni hizi
1:Bachelor of education in policy planning and management (BED,ppm)
2: Bachelor of education in adult education (BED, adec)
3: Bachelor of education in psychology (BED,Psy)
4: Bachelor of education with art (BED art)
5:Bachelor of education with science Ict (BED science Ict)
6:Bachelor of education in early childhood education( BED, ece)
7:Bachelor of education in administration and management (BED, adman)
8: Bachelor of education in special needs (BED,spen)
9:Bachelor of education in guidance and counseling (BED, Guco)
Na mwakani zitabaki programme nne tu.
BED, Spen (50 tu)
BED, Ece ( wanatakiwa wanafunzi wasizidi 50)
BED,science ICT (150 tu)
BED, art (150 tu)
Huku hizo zilizobaki zitafutwa na haya ni maagizo kutoka wizard ya elimu na tusubiri utekelezaji mwakani kwa watoto ambao ni zaidi ya maelfu kupunguzwa
My take; acha inyeshe tuone panapovuja.
Cc Tate Mkuu