ded

  1. Dkt. John Magufuli, nami namwombea radhi Mkurugenzi wa Geita - mengi mazuri ameyafanya

    Mhe Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, mtoto wako kaunyea mkono "msamehe". Mkurugenzi kafanya mengi Kajenga Zahanati, Kadhibiti mianya ya rushwa, Kajenga shule za msingi Kaongeza mapato ya halmashauri, Kadhibiti nidhamu kwa watumishi wake, Kadhibiti makazi holela, Na mengine mengi mazuri jamani...
  2. J

    Je, Mbunge mstaafu Upendo Peneza wa CHADEMA alibariki manunuzi ya gari ya DED kwa TZS 460 milioni?

    Kwa kawaida tumezoea kuwaona Wabunge na madiwani wa CHADEMA wakitoka mbele haraka haraka kutoa taarifa pindi wanapohisi kuna ufisadi kwenye maeneo yao. Kwa mfano Devotha Minja wa Morogoro aliweka wazi ufisadi uliokuwa unafanywa kwenye ujenzi wa stendi ya msamvu wakati Rais Magufuli...
  3. D

    DED Manispaa ya Morogoro mbona Devotha Minja ulimuweza, unashindwa nini kupambana na mchwa wala rushwa za leseni za biashara?

    Maafisa biashara wanaofunga maduka ya wafanyabiashara wasio na leseni za biashara au ambaio leseni zimeisha wanachukua rushwa ya TZS 20,000. Ukishindwa wanafunga duka mpaka utakapo wapelekea wanakuja kufugua. DED fanya kazi kama Mhe. Magufuli pita Kata zote walizopita maafisa biashara wako...
  4. J

    DC Godwin Gondwe awaomba radhi waandishi wa habari kufuatia DED wa Temeke kumkemea Richard wa ITV

    Mkuu wa wilaya ya Temeke mh Godwin Gondwe amesimamisha ujenzi wa Shule ya Lumo hadi pale kesi iliyopo mahakamani itakapotolewa maamuzi. Kiwanja cha Shule hiyo kina mgogoro kati ya Wananchi wa eneo hilo na Manispaa ya Temeke. Kadhalika Godwin Gondwe amewaomba radhi waandishi wa habari kote...
  5. J

    Kwenye Bunge la chama kimoja, NEC ya CCM ina nguvu kuliko Bunge, na DED ni boss wa Mbunge

    Mzee Mgaya ananikumbusha namna bunge la Spika Adam Sapi Mkwawa lilivyokuwa linaendeshwa kwamba lilikuwa chini ya Halmashauri Kuu ya CCM. Maamuzi muhimu hufanyika katika ngazi za NEC na CCM na kwamba bunge hutimiza process ya kikatiba tu ndio maana Waziri fulani aliwahi kuwaambia wabunge " Gi to...
  6. GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    MATOKEO - LIVE: Wakuu, Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa. Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura) 1...
  7. GE2020 Wito: Majimbo yaliyozuia Mawakala kuingia vituoni kwa kwa kukosa Barua ya Utambulisho yarudie zoezi na DED awajibishwe

    Sehemu mbalimbali nchi imeripotiwa kuwa mawakala wa CHADEMA wamezuiwa kuingia vituoni kwa sababu DED hajawapa barua mfano huko Tanga na Tarime. Jimbo la Kavuu tunaambiwa Mawakala 30 wamekamatwa na polisi wakati wakiekea vituoni na wapo chini ya ulinzi. Wito wetu ni kuwa Uchaguzi ufutwe...
  8. GE2020 NEC yashindwa kuzitolea majibu Rufaa 16 za Wagombea udiwani wa CHADEMA Mbeya Mjini, Wananchi watinga kwa DED kuulizia

    Niliwahi kuuliza humu JF kuhusu Wasifu wa Dkt. Mahera ambaye ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi , lengo la swali lile lilikuwa kufahamu uwezo na weledi wake na nadhani sasa mmeanza kujua maana ya maswali kama haya tunayouliza humu mitandaoni. Sasa ni dhahiri kwamba Wilson Mahera hana...
  9. Ombi kwa Waziri Mkuu na Waziri wa TAMISEMI

    Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu naamini ni wenye afya njema na mnaendelea kuwatumikia wananchi wa Tanzania vema kabisa, Naomba kuwasilisha kwenu mambo mawili na hasa katika wakati huu wa kuelekea kwenye uchaguzi wa Mbunge na Madiwani. Sisi wakazi wa Tungi Manispaa ya Morogoro tumesahaulika kwa kila...
  10. Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

    Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua. Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
  11. M

    GE2020 Msimamizi Msaidizi Kata ya Ambureni agoma kutoa Fomu ya Rufaa kwa aliowakata, asema wazifuate kwa Mwenyekiti wa NEC Dodoma, amgomea hata DED

    Huyu msimamizi ana nyodo sana, jana kakataa kuwateua wagombea Udiwani wa Vyama vya Upinzani ikiwemo CHADEMA na ACT. Anadai kuwa hawakulipa shilingi elfu 5 za ada ya kugombea wakati risiti wanazo na waliambatanisha. Ikiwa imesalia chini ya saa 1 KWA AJILI YA RUFAA, bado hataki kutoa fomu ya...
  12. Habari ya ITV iliyowang'oa DED na DC Mvomero: Vyombo vya habari kutakiwa kuomba ruhusa kabla ya kurekodi na kutangaza habari

    Mvomero Morogoro: Wanafunzi wapatao 733 Wanakalia Viroba juani kutokan ana madarasa kuchakaa
  13. Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

    Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli ------ UPDATE---- Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020. HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI) Nami niungane...
  14. S

    Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

    Jecha Salim Jecha amejitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais visiwani humo kwa tiketi ya CCM. Jecha amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na vilevile aliwahi kugombea Ubunge wa Jimbo la Chumbuni. Maoni yangu: Vuta tafakuri hawa wasimamizi wa...
  15. Rais Magufuli: DC na DED wa Dodoma Muoe

    Dodoma ndio kila kitu, kwahiyo wewe Mkurugenzi (Kunambi), ni Mkurugenzi wa Jiji la Makao Makuu hata kama ni mdogo, ila utafute Mwanamke uoe, kwani hawapo Wanawake wanaotaka kuolewa na Mkugenzi jamani!?, nimekutangazia uanze kutafuta ndoa, DED unajipikia wakati Wagogo wapo wengi”-JPM “Mkuu wa...
  16. GE2020 Asante DED kutufumbua macho: Alichofanya DED wa Ubungo Beatrice Rest Dominic ndicho kitakachofanyika wakati wa uchaguzi Mkuu

    Ni kwamba kutakuwa na barua zinazodaiwa za chadema zinazoonyesha uteuzi wa wagombea, na wagombea halisi kukataliwa kuchukua fomu. Mfano: Chadema inampitisha John Mnyika kugombea kibamba, anaenda kwa DED kuchukua fomu, anaambiwa kuna mwanachama alikuja na barua ya uteuzi ya chama anaitwa Asha...
  17. Mahakama yamrejeshea ushindi wa udiwani kata ya Ndalambo Mgombea wa CHADEMA aliyeporwa na DED

    Ccm itakabidhi dola kama tutapata TUME HURU kwasababu hii mpaka mtu aliyeshinda ameenda mahakamani ndio ametangazwa.... Sent using Jamii Forums mobile app
  18. B

    CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

    Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic amekiandikia barua chama cha Chadema na kukipa saa mbili kuondoa bendera zake zilizowekwa barabara ya Sam Nujoma karibu na ukumbi wa Mlimani City unakofanyika uchaguzi wa viongozi wa chama hicho. Bendera hizo ziliwekwa katika barabara hiyo...
  19. Ushahidi namna wakurugenzi na CCM wanavyoshirikiana kuiba kura kwenye chaguzi

    Habari wanabodi, Haya yanayotokea hayatokei kwa bahati mbaya. Ni mipango ya makusudi ikiongozwa na kuratibiwa na vyombo vya ulinzi. Mwaka Jana nilikuwa kwenye jimbo moja la uchaguzi. Pale kulikuwa na madiwani wawili toka upinzani.Kati yao mmoja anatoka CUF na mwingine CDM.Ulikuwa msimu wa...
  20. DED Magu angalia sana Idara ya Elimu Msingi

    Mheshimiwa DED MAGU salaam, Napenda kukueleza machache kuhusu Idara yetu ya Elimu msingi kwenye Halmashauri yetu ya Wilaya ya Magu kama ifuatavyo: Idara ya Elimu wilayani Magu imeyumba tangu alipohama Yesse Kanyuma, aliyekuwa Afisa Elimu Msingi (W) Magu. Baada ya Kanyuma kuhamishwa aliletwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…