deal

In cryptography, DEAL (Data Encryption Algorithm with Larger blocks) is a symmetric block cipher derived from the Data Encryption Standard (DES). Its design was presented Lars Knudsen at the SAC conference in 1997, and submitted as a proposal to the AES contest in 1998 by Richard Outerbridge.
DEAL is a Feistel network which uses DES as the round function. It has a 128-bit block size and a variable key size of either 128, 192, or 256 bits; with 128-bit and 192-bit keys it applies 6 rounds, or 8 rounds with 256-bit keys. It has performance comparable to Triple DES, and was therefore relatively slow among AES candidates.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawapendani, Una deal vipi na vita ya kimya kimya ya mke, dada zako na mama yako?

    Ni vita ambayo wao hudhani hatujui ipo lakini huwa tunajifanya washamba mambo yaende, kwa wanaume wengine huwa hawajui haya mambo wanaishia kuharibu. Wanaume wengi wanavuta jiko pale mambo yanapoanza kukaa sawa panapokuwa na chanzo cha kipato, nguvu ya pesa inakuwepo unaanza kusaidia nyumbani...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Deal done! Baada ya likizo kwisha.. Kaya zikafutwa

    Walianza kuhamishwa wanyama wa mwituni kwenda jangwani.. Kisha ikafuatia likizo ya mchongo ya kimyakimya na coumaflage ya kifo.. Ili kutoa nafasi kutengeneza mambo vizuri mezani Kila kitu kilipokaa sawa na mishekeli kuingia kibindoni ndipo likizo ikafika ukomo Kilichofuatia baada ya liziko ni...
  3. Mributz

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba imepeleka ofa rasmi katika klabu ya KMC wakimuhitaji kiungo Awesu Awesu

    ... 🚨 𝗖𝗢𝗡𝗙𝗜𝗥𝗠𝗘𝗗 Klabu ya Simba imepeleka ofa rasmi katika klabu ya KMC wakimuhitaji kiungo Awesu Awesu. Mazungumzo yameenda vizuri. Simba SC wanataka waliwahi dirisha la usajili ambalo litafungwa leo usiku. Tayari klabu hizo mbili zimefikia hatua nzuri katika makubaliano yao kuhusu usajili...
  4. Brojust

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Natafuta Godown kubwa lenye ukubwa wa kuanzia Square Metres 800 mpaka 1000

    Salaam; Wanajukwaa poleni na mihangaiko ya kila siku, natafuta Godown kubwa kiasi kwa ukubwa wa kuanzia Square metre 800 mpaka 1000, Nikipata maeneo ya kuanzia Nala na singida Road itapendeza sana. Mwenye Offer nzuri basi aje PM tuongee Biashara. Namba zangu 0710 782874 na 0693 784003 NB...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ndege JOHN nakupa mchongo uufanyie kazi, deal na breakfast ya vyakula vya asili

    Anzisha mgahawa weka wafanyakazi wawili tafuta eneo zuri deal na breakfast ya vyakula vya asili tu. Nunua sahani 20 za udongo na Uma 20 na vijiko 20 na sufuria 5. Mazingira yawe masafi yenye maji ya kutosha na yanayovutia bila kusahau jiko kubwa la gas na friji liwepo. Asubuhi nenda sokoni...
  6. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania CCM tumeiharibu wenyewe, tunabeba wezi, mafisadi, wapiga deal badala ya kuwashtaki na kuwafunga

    Huo ndio ukweli mchungu sana ambao mwanaccm anatakiwa kuukubali. Ufisadi,wizi,rushwa na upigaji dili Kwa asilimia kubwa wahusika ni wanaccm,Cha kushangaza hakuna hata mmoja yupo korokoroni,wanapeta Tena wanateuliwa nafasi nyingine Ili kuwasafisha. Chama kinapoteza mvuto,tunatukanwa na upinzani...
  7. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Oh MY, I can't deal with my shopaholic behavior

    Anyone else feel like saving money is as tough as pinching a wall? The moment I pocket some cash, it's like I've got a hundred things clamoring for my attention. Literally calling me saying get me, eat me, drink me I love treating myself to solo dates and those store shelves? They practically...
  8. chris emex

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Poogle Pixel for sale

    150,000tsh call 0628 880 380 Pixel 4a 5G kila kitu kipo poa mstari tu umejichoraa
Back
Top Bottom