dawasa

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC wa Pwani, Kunenge aitaka DAWASA kuongeza kasi ya maboresho ya huduma ya maji ili kukidhi mahitaji

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Aboubakar Kunenge ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuongeza kasi ya maboresho ya huduma ya maji ili kukidhi mahitaji yanayoendelea kuongezeka kutokana na kasi ya uwekezaji na ukuaji wa viwanda mkoani humo. ‎Kauli hiyo imetolewa...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaja na operesheni siku 90 kudhibiti upotevu wa maji

    Bwire atangaza vita mpya dhidi ya upotevu wa maji Dar na Pwani DAWASA yalenga kushusha upotevu wa maji hadi asilimia 20 DAWASA yaomba ‘tafu’ kwa Wananchi kubaini upotevu wa maji Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetenga siku 90 za kutekeleza mpango maalum wa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yazidi kutekeleza agizo la kuboresha huduma kupitia visima Kisukuru

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imekamilisha zoezi la upimaji wa wingi wa maji katika kisima kipya cha Kisukuru eneo la Viwanja vya Benki ambapo kimethibitika kuwa na uwezo wa kuzalisha takribani Lita 144,000 kwa siku. Akizungumza wakati wa zoezi hilo, Msimamizi wa mradi...
  4. complex31

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA, Maji yana viambatanisho gani?

    Habari, Kwa takribani miezi miwili kwa vipindi tofauti tofauti maji ya DAWASA upande wa Mbezi Beach yamekuwa yakitoka na rangu nyeusi au yawe machafu ambapo ukikinga kwenye ndoo au tank baada ya muda kuna mchanga/ udongo “una-Settle” kwa chini kwa chombo ulichokikingia. Mbali na hayo mimi...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu maji aitaka Dawasa kufunga mkanda mapambano upotevu wa maji

    Baraza kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) limekutana kujadili na kuweka mwelekeo wa vipaumbele vya Mamlaka kuelekea mwaka wa fedha 2026/2027, likilenga kuimarisha utoaji wa huduma ya majisafi na salama kwa wananchi. Akizungumza katik kikao...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Maji aitaka DAWASA kufunga mkanda mapambano upotevu wa maji

    Baraza kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) limekutana kujadili na kuweka mwelekeo wa vipaumbele vya Mamlaka kuelekea mwaka wa fedha 2026/2027, likilenga kuimarisha utoaji wa huduma ya majisafi na salama kwa wananchi. Akizungumza katik kikao...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Korea Kusini yaonesha nia ya kutaka kuwekeza kwenye Sekta ya maji Dar na Pwani

    Ujumbe kutoka Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini imetembelea miradi ya maji ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kujionea jinsi gani Serikali ya Korea inavyoweza kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kutoa huduma ya...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bilioni 1.82 watembelewa na Mwenge Ubungo, DAWASA yapewa kongole

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetakiwa kuhakikisha inakamilisha miradi ya maji kwa wakati ili wananchi waweze kunufaika na huduma hiyo muhimu bila ucheleweshaji. Rai hiyo imetolewa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, ndugu Wazo Mwang’onda, wakati...
  9. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaimarisha huduma Makangarawe wilayani Temeke kupitia nishati ya jua

    Wakazi wa Mtaa wa Makangarawe, Kata ya Makangarawe, Wilaya ya Temeke, wanatarajia kunufaika na huduma ya majisafi na salama kwa saa 24 kufuatia utekelezaji wa mradi wa kisima cha maji unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA). Mradi huo wenye thamani ya...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa uhuru wapongeza DAWASA uboreshaji huduma za maji Kigamboni

    Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, ndugu Michael Mwang'onda, ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa utekelezaji mzuri wa mradi wa usambazaji maji katika Wilaya ya Kigamboni ulionufaisha Wakazi takribani 25,000 katika kata nne za Kibada...
  11. M

    JamiiForums Tanzania KERO Nini kimetokea DAWASA? Maji yamepotelea wapi? Kuna matatizo gani?

    Wakuu, salama? Kuna hali inashangaza sana. Mimi ni mkazi wa meneo ya Goba, kabla ya mwezi November mwaka jana (2025) tulikuwa tunapata maji vizuri kabisa na kwa presha kubwa lakini nakumbuka kuelekea mwishoni mwa mwaka jana around hiyo November kuna hali ya upungufu wa maji ilitokea maeneo...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yavutiwa na uwekezaji miradi ya DAWASA

    Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji na Mitaji ya Umma imeipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)kwa jitihada kubwa za kutekeleza miradi mikubwa ya majisafi na ya kuboresha Usafi wa Mazingira yenye kuleta tija ya upatikanaji wa huduma kwa wananchi sambamba na...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali inamtua Mama wa Kijijini ndoo kichwani, DAWASA inamtwisha ndoo upya mama wa Mjini

    Mimi ni Mkazi wa Mbezi Mwisho, Mitaa mingi haipati maji kwa muda mrefu, hivi utawala wa DAWASA wanajua kuwa kuna Watu wengi tu wana bili za 0 unit kwa miezi zaidi ya mitatu? Serikali ipo kwenye jitihada ya kumtua ndoo mama wa Vijijini, lakini DAWASA WANAMTWISHA NDOO upya mama aliyetuliwa years...
  14. mirindimo

    JamiiForums Tanzania DAWASA wanafungua maji kwa saa moja ili watume bili

    Hii kitu sio sahihi, hamjatoa maji zaidi ya wiki 2 , halafu mnafungua maji lisaa 1 mnatuma bill ya maji halafu mnakata. Eeeeeh aiseeee
  15. machafuko jr

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi inakuaje maji hayatoki na bili ipo pale pale. DAWASA acheni michezo

    Wiki ya tatu hii maji hayatoki kabisa lakini cha kushangaza bili ipo pale pale. Aisee DAWASA acheni michezo hiyo
  16. Pfizer

    JamiiForums Tanzania RC Kunenge aipongeza DAWASA, awapa jukumu madiwani

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani (RC), Mheshiwa Abubakar Kunenge amesema ushirikishwaji wananchi kwenye miradi ya maendeleo unaofanywa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ni wa mfano na unapaswa kuigwa na taasisi zingine. Aidha, amewaomba Madiwani kutoa ushirikiano kwa...
  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA kwanini mnafunga maji usiku, pakikucha mnafungua?

    Kuanzia Wakurugenzi, Mameneja, Bodi hadi mafundi wote mjitafakari. Mnazingua.
  18. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yawashika mkono makundi maalum Sekondari ya Pugu

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imetoa msaada kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum katika Shule ya Sekondari Pugu, wilayani Ilala. Msaada huo ni sehemu ya mchango wake kwa jamii na kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuboresha ustawi wa jamii inayoihudumia...
  19. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yatoa wito matumizi sahihi miundombinu majitaka kipindi cha mvua

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa wito kwa wananchi kutumia ipasavyo miundombinu ya majitaka, hususan katika kipindi hiki cha mvua zinazoendelea, ili kuepuka kuziba kwa mifumo hiyo na kusababisha uchafuzi wa mazingira. Akizungumza kuhusu suala hilo, Meneja...
  20. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA, Bonde Wami Ruvu kazini kutekeleza agizo la waziri Aweso

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha zoezi la kuainisha na kutenga maeneo maalum ya uchimbaji visima virefu vya maji katika Mkoa wa Dar es salaam. Hatua hiyo ni mojawapo ya mipango mikakati ya Mamlaka ya kuongeza uzalishaji maji chini ya ardhi kwa lengo...
Back
Top Bottom