dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa dawa ya ganzi

    Nawasalimu wakuu. Mwenye kujuwa dawa ya hii shida naomba anisaidie tafadhali. Ninashida ya kufa ganzi viganja vya mikono hasa kwenye vidole yaani huwa vinapokezana,vinaweza kufa ganzi vidole viwili vya mwisho au vya Kati tu au wakati mwingine kiganja kizima, na mikono pia hupokezana,na hii...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wapi napata dawa ya COVIDOL ?

    wakubwa nauliza si kwa ubaya naweza pata wapi ile dawa ya Madagascar iliyozinduliwa na muheshimiwa Kaboud mwaka jana
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ya kimazingaombwe ya wa namna hii

    nikitumia dawa hiyo nikimwambia mtu jambo anikubalie na asikatae,je dawa ya namna hii huwa ipo
  4. JamiiForums Tanzania Acha Al-Khasus, mimi ninazo mpaka dawa za china

    Naam Naam yeye ni zawadi ya kimwambao, binti wa pwani. Sijui nimuite malaika wa kibantu, kihabeishia au kiajemi sielewi nimuweke kundi lipi hata Unaweza kuuona uzuri wa wake pia kwa kuitazama tu ngozi yake, laini yenye mvuto usiomithilika usio wa dukani ambao umetunzwa vyema mara nyingi...
  5. JamiiForums Tanzania Fahamu dawa ya PrEP na inatumika vipi kuepuka maambukizi ya VVU

    PrEP ni nini? Pre-exposure prophylaxis au PrEP ni matumizi ya dawa za kupunguza makali ya VVU na watu wasio na VVU ili kuzuia upatikanaji wa maambukizi ya VVU. Tangu Septemba 2015, WHO imependekeza kwamba watu walio katika hatari kubwa ya kuambukizwa VVU, wanaojulikana kama watu walio katika...
  6. JamiiForums Tanzania Jela miaka 40 kusafirisha dawa za kulevya

    MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara imewahukumu watu wawili kati ya watatu kifungo cha miaka 40 jela na kulipa faini ya Sh. 1,517,853,318 baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya. Hukumu iliyotolewa na Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam aliyeteuliwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mbao zenye dawa ni bora kuliko chuma

    Inatamanisha kutumia chuma katika kuezeka au kukamilisha ujenzi wa majengo na utengezaji wa samani kama vitanda, meza, makochi n.k. Lakini malighafi ya chuma ni gharama sana na inaweza kukupatia hasara. Chuma kinapata kutu, kinaoza, kinasumbua kwenye uandaaji na matumizi yake. Ni bora kutumia...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kupambana na ukungu na chumvi kwenye ukuta inaitwaje?

    Wadau, Nyumba nyingi zinathriwa na kuta kubanduka sbb ya chumvi na fungus. Nasigia kunadawa ya kupaka kabla ya kupiga rangi. Je, ni dawa ipi hiyo? Je, mikoani kama inapatikana? Tupeane ushauri.
  9. JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku Dawa za kuuliwa Nzi na Wadudu kupulizwa Buchani

    Bodi wa nyama nchini imepiga marufuku matumizi ya dawa za kuulia nzi na wadudu wengine kupulizwa kwenye mabucha wakati nyama ikiwemo ndani ,jambo ambalo linalohatarisha maisha na afya za wanunuzi wa kitoweo hicho. Dawa hizo ni sumu hatari zinafanya kazi taratibu ndani ya mwilini mwa binadamu...
  10. JamiiForums Tanzania Madaktari mnapotuandikia dawa semeni kama inaendana au haendani na vitu vingine mfano pombe

    Kuna pisi moja ya ukweli sana imepotea. Naskia ilichanganya pombe na dawa. Kwa nini hamsemi? Mnafurahi mtu akifa? Haya ninyi madaktari mliomo humu hebu tusaidieni orodha ya dawa ambazo haziendani na pombe. Msisubiri watu wafe ndo mjifanye kusikitika. Ahsante.
  11. JamiiForums Tanzania Mfahamu Daktari Aliyegundua Dawa Iliyotibu Ugonjwa Hatari wa Polio na Hati Miliki Ya Dawa Hiyo likapewa Jua

    MFAHAMU DAKTARI ALIYEGUNDUA DAWA ILIYOTIBU UGONJWA HATARI WA POLIO NA HATI MILIKI YA DAWA HIYO LIKAPEWA JUA. Jonas Salk alikuwa mtafiti na mgunduzi wa dawa ya ugonjwa wa polio alizaliwa October 28, mwaka 1914 New York , marekani . polio ni Ugonjwa wa kuambukiza kutoka kwa mtu mmoja kwenda...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kinaifanya dawa kuongezeka nguvu pale inapotegwa kwenye mlango wa choo?

    kwa wale wataalam wa ndumba ni kipi huifanya dawa kuwa imara sana pale inapotegeshwa kwenye mlango wa kuingilia chooni
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha biashara ya kuuza dawa za kuua magugu (nyasi), naombeni uzoefu

    Jamani wapendwa nataka kuanzisha biashara ya kuuza dawa za kuua nyasi kama vile round up kalachi nk. Naombeni mwenye uzoefu anipe faida na hasara za biashara hii. Asanteni sana
  14. W

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuogeshea mifugo

    Nawasalimuni kwa jina la Mungu, naomba msaada kwa anaejua mahala naweza ipata dawa ya kuogeshea mifugo CYPERTOP E.C. tafadhalini maana kwa Dar nimeitafuta haipatikani kabisa natanguliza shukrani kwenu nyote, mbarikiwe sana.
  15. JamiiForums Tanzania Wadada mliowahi kudate na wakaka wakimasai wanaouza dawa za kuongeza ukubwa wa dushe njooni mnijibu maswali haya

    1.Huwa ni kweli kuwa wanamitanange mizito na minene? Maana wakiwa wanauza dawa zao huwa wanasema zinaongeza ukubwa wa dushe. 2.Kimapenzi wanarizisha? 3. Hawaumizi mpaka inakuwa kero?
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa dawa ya kuondoa usingizini

    SALAAM WAKUU. Mimi nimeajiriwa Kampuni X ambayo nafanya kazi kwa masaa nane saa 2-10 Jioni. Ila Kwa Neema ya Mungu nimepata kazi ya Online Kampuni Fulani kwa mkataba wa miezi Minne hivyo hii kampuni ya Online nafanya kazi kuanzia saa 5-12 asubuhi. Hivyo kutokana na Majukumu haya muda wangu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kupima afya zetu kabla ya kutumia dawa

    Katika maisha yetu tunasumbuliwa na magonjwa ya aina mbalimbali ambapo inatulazimu kutafuta dawa za namna Fulani iwe za mitishamba au za hospitalini, suala hili wakati mwingine hutokana na kuwa na kipato kidogo au kukosa mda wa kufuatilia afya yako kwa wale wenye uwezo kifedha Jambo ambalo ni...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta anayeuza duka la dawa au maabara ya vipimo

    Hodi wakuu! Kama kichwa Cha habari hapo juu kilivyosema nahitaji mtu anayetaka kuuza biashara yake ya duka la dawa yaani DLDM au maabara ya afya kwa mikoa ya kanda ya ziwa. kwa yoyote anayeuza anicheki Natanguliza shukrani zangu kwenu
  19. JamiiForums Tanzania Mawakili wasumbufu dawa yao nini?

    Nina Ndugu yangu mawakili wake wanamsumbua kwenye kesi aliyowapa.. Copy ya hukumu ..hawampi.. Ushirikiano sifuri... Je, dawa ya mawakili wasumbufu kama hawa ni IPI? Tanzania tunazo taasisi za kuwamulika na kuwachunguza mawakili aina hii? What if walikula rushwa? Je unaweza kwenda wapi kuomba...
  20. JamiiForums Tanzania Hili la kuzuiliwa kwa maiti sababu ya bili kubwa mzizi wake ni huu, Wizara ya afya rudisheni utaratibu wa zamani

    Haka ni katatizo kadogo sana ambako wizara inajua mzizi wake ni nini, kama hawajui basi nawajuza. Kwanza hili tatizo huwezi kulisikia kwenye hospitali zifuatazo, kama lipo basi ni kwa udogo sana: Hospitali za Wilaya, Mikoa, Vituo vya Afya, Hospitali binafsi. Hili tatizo utalikuta hospitali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…