dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maduka ya Dawa za binadamu yanapogeuka kuwa zahanati kwa kuendesha matibabu

    Kutokana na mfumo wa maisha ya sasa, ikiwemo hali ngumu ya maisha watu wameamua kuvunja sheria ili kujiingizia kipato kwa namna yoyote ile iwayo. Maduka haya yamegeuka kuwa zahanati kwa kuendesha shughuli za. Matibabu tofauti na leseni waliyopewa Mengi sana yamejificha nje ya maduka haya...
  2. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu ayakubali maoni kinzani maduka ya dawa

    Anaandika katika kurasa yake Twita Tumepokea maoni na ushauri kuhusu Kanuni za mwaka 2020 zinazosimamia usajili wa majengo ya dawa (ikiwemo maduka binafsi karibu na Hospitali/Vituo vya huduma za Afya vya Serikali. Ni mjadala mzuri. Tumefurahi kujua kuwa watanzania wengi tunakubali kuwa lipo...
  3. JamiiForums Tanzania Hadi Mama Dangote amekuja Mbao Tanzania, sijui anajenga ghorofa!

    Habari zetu kupitia JF zinafika mbali sana. Ishukuriwe platform hii kwa kutusaidia kuonekana kupitia mijadala yenye tija hasa kwa sisi eneo letu la ujenzi na hamasa tunazopeana humu. Tunapenda kuwajuza tu kuwa Mama Dangote ni miongoni mwa wateja wetu waliofika #MbaoTanzania kuchukua mzigo wa...
  4. JamiiForums Tanzania TAFAKARI: Maduka ya dawa marufuku kuwa karibu na hospitali lakini biashara ya majeneza ruksa kuuzwa karibu na hospitali

    Waziri wa Afya leo ametoa msisitizo kuwa ni marufuku maduka binafsi ya dawa kuwa karibu na viunga vya hospitali za umma hivyo yanapaswa kuwa umbali usiopungua mita 500 kutoka hospitali ilipo. Sababu kuu ni kuwa, huenda maduka hayo ya dawa yanahusika katika kuchochea upungufu wa dawa na vifaa...
  5. JamiiForums Tanzania Je, umeelemewa na michepuko, au wapenzi wengi na unashindwa namna ya kuwaacha? Wambie huna pesa

    Habari! Ni hulka ya kila mwanaume kutamanitamani vibinti vizuri vyenye sura au umbo zuri. Na ikitokea una kakipato kidogo cha kubadilisha mboga ghafla unaweza kujikuta una wapenzi 3-5 au zaidi huku nyumbani una mke. Hii hali inachukuliwa poa ila kwa hakika inafanya umasikini uendelee...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu, karibu tena Sekta ya Afya. Ukifika Bohari ya Dawa MSD tupia jicho pia kwenye haya...

    Ndugu Mh. Waziri Ummy - Waziri wa Afya, kwanza kabisa tunakupongeza sana kwa kuaminiwa tena na Mh. Rais Samia kwa kuiongoza tena Wizara ya Afya - karibu sana. Nakumbuka mara bada tu ya kuapishwa na Mh. Rais kuingoza wizara yetu hii, ulihojiwa na waandishi wa habari na ukaahidi kuitembelea mara...
  7. JamiiForums Tanzania Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Jambo watanzania wenzangu!! Katika kubadilishana maarifa ninaomba kuulizwa chochote juu ya dawa asili za mimea na mitishamba katika kutibu magonjwa mbalimbali. NB: Maswali hayo yasihusishe ramli na mambo ya kishirikina, ama mambo dhahania, maswali yajielekeze katika magonjwa ya kila siku...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Grace Products (Zoa Zoa) yaja na Dawa ya Meno

    Grace Products (Zoa Zoa) yaja na Dawa ya Meno Ile kampuni maarufu Bongo kwa utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za vipodozi, maarufu kwa jina la Zoa Zoa imepiga hatua nyingine mbele kwa kutoa dawa ya Meno iitwayo Zoa Zoa ya Meno. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
  9. JamiiForums Tanzania Nina siku moja tangu nimemaliza dawa za UTI naweza kunywa pombe?

    Mimi na siku moja nimemaliza dozi za UTI , sasa leo nimejikuta na kunywa pombe ,naomben ushauri je nimekata dozi , na weza kuanza upya? Nawaza sana naomben ushauri ndugu zangu.
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa dawa ya kutibu tatizo la kichwa kuuma mara kwa mara

    Habari wapendwa? Nakuja kwenu kuomba anaefahamu dawa ya maumivu ya kichwa kwani yamekuwa yananisumbua kila siku najikuta natumia painkiller kila aina lakini zinagonga mwamba huu mwaka was saba sasa kinanisumbua tu. Nimeenda hospitali mbalimbali lakini naambiwa sina, nimepiga CT scan MRI...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hivi addiction ya pombe ina dawa kweli?

    Nina ndugu yangu alikuwa ameacha pombe kama miaka minne hivi iliyopita. Sasa hizi sikukuu za juzi: Akaniambia: "Aisee, ngoja niinjoi kinywaji kuanzia krismasi mpaka mwaka mpya tu, halafu mambo yarejee kama awali." Jamani, Leo hii (tarehe 15/1/2022) yuko kaunta ana bia ya nne! Jamani kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Maduka ya Dawa yaliyo nje ya mageti ya Hospitali za Serikali huwa na dawa muda wote lakini ndani ya Hospitali husika hamna dawa

    Kipindi cha awamu ya tano Mheshimiwa Rais Magufuli alipiga marufuku sana ya maduka yaliyo nje ya hospitali za Serikali, kwani ilionekana kuwa hayo maduka ndo chanzo cha Kukosekana dawa ndani ya hospitali hizi za serikali. Wengi tulishuhudia huduma nzuri pamoja na upatikanaji wa dawa ndani ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Muhimbili tusaideni hili la dawa ya tezi dume

    Facebook kuna clip inayotangaza dawa ya kutibu tezi dume bila upasuaji wala vidonge. Tangazo linajinasibu ya kuwa dawa hiyo inatoka Muhimbili. Ukiangalia anayetangaza kavaa Tshirt yenye nembo zinazohusiana na serikali. Ukijaribu ku-chat ili kujua bei majibu yanakuwa si ya wazi sana. Kwakuwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania SUA kweli kwenye maabara zenu hamuwezi kubuni dawa kama Butalex? na zingine za mifugo?

    Najiuliza kweli hamuwezi kubuni kutoka maabara zenu kwa kutumia miti shamba yetu kutengeneza dawa kama Butalex? hii dawa sasa hivi haipatikani madukani, kuna formulations zenye mapungufu makubwa. Mnakwana wapi na mmejaza maprofesa na MaDr kibao wenye mabooks na madictionary kibao? Litafakari...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Dawa ifutwe ni kiini macho na Upigaji wa Wazi

    Nimefika katika hospitali mbali mbali ndani ya msimu huu wa mafua ya kawaida na sikukuu za mwisho wa mwaka. Katika hospitali zote nilizokwenda kama mgonjwa au kupeleka wagonjwa nimethibitisha tashwishi yangu kuhusiana na bajeti ya dawa. Hakuna wagonjwa wanaopata huduma ya dawa. Dawa zote...
  16. JamiiForums Tanzania Lindi: Ally Chinga mkazi wa kata ya Msinjaili, amefungiwa ndani na kupuliziwa dawa ya Mbu kwa tuhuma za Wizi

    Kijana mmoja aliefahamika kwa jina la Ally Chinga mkazi wa kata ya Msinjaili manispaa ya Lindi amefungiwa ndani na kupuliziwa dawa ya Mbu baada ya kupigwa na mtu aliyemtuhumu kuiba betri ya gari leo Disemba 28, 2021. Imeelezwa kuwa, Mtuhumiwa huyo ambaye ni kondakta, alipewa gari hiyo kwenda...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kutumia PEP saa ya 38 tangu kujichoma sindano ya mtu aliyeathirika na VVU

    Habari wakuu Katika kujipima kutumia bioline nimejikuta nimejichoma sindano niliyokuwa nimemchoma mtu mwenye HIV Sasa nilikuwa mbali kidogo na eneo la kituo cha afya kwahiyo kesho yake ikanibidi niende kituo cha afya mida ya saa nane nikawaelezea wakanipa dawa ya pep imeandikwa LTD m...
  18. JamiiForums Tanzania "Dokta nimekuelewa, ila kama unadhani hizo Dawa ni Tamu, Meza wewe"

    Kiukweli binadamu ni wabishi sana. Yaani mtu ameathirika na VVU, akashauriwa kuanza kumeza dawa akakubali. Baada ya kumeza kwa muda akaacha. Sasa leo anatafutwa tujue tatizo nini ili kulinda afya yake haya ndio majibu anatoa🙄 Anyway, hawa ndio binadamu.
  19. JamiiForums Tanzania Binti aliyebebeshwa dawa za kulevya na mchumba wake wakati wa safari ya kwenda kutambulishwa ukweni

    Jumapili nilikuwa nasikiliza kipindi cha njia panda cha Clouds nikasikia story yam dada flani anayeitwa Mansura. Mansura ni mwenyeji wa Moshi, alikuja kuishi Dar mwaka 2013 wakati alipojiunga na chuo cha Bandari. Kama mnavyojua mabinti wa chuo, Manstura alikuwa ni sista du wa ukweli. Siku moja...
  20. JamiiForums Tanzania JITIBU Kisukari, Shinikizo la damu, Arthritis, Vidonda vya tumbo nk kwa dawa hii

    WATER THERAPY Faida zake; Utaondokana na changamoto zifuatazo: 1. Uzito usiotakiwa 2. uchovu kwa wakati usiostahili 3. kutopata usingizi kwa wakati muafaka wa kulala 4. Maumivu sugu ya Tumbo, Kichwa, viungo nk 5. kupunguza Tumbo/ Kitambi 6. Cancer, Kisukari, asthma, Shinikizo la damu( la juu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…