dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI Maziwa fresh ni tiba sahihi ya tatizo la vidonda vya tumbo

    Vidonda vya tumbo ni tatizo linalosumbua watu wengi. Husababisha maumivu makali sana, kiasi cha kufanya liwe tatizo lisilovumilika kirahisi. Katika kutafuta tiba, baadhi ya watu hutumia dawa za hospitalini, huku baadhi wakitumia dawa za asili. Pia, maziwa ni miongoni mwa dawa zinazo...
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI Pombe ni dawa ya mafua na kikohozi

    Baadhi ya watu hushauri matumizi ya pombe kali ili kutibu mafua na kikohozi. Madai yao yamebeba nadharia nyingi zinazohitaji uthibitisho wa kisayansi ili kuondoa sintohamu kubwa iliyopo. Ikumbukwe pia pombe ni mojawapo ya viambato vinavyotumika kwenye kutengeneza baadhi ya dawa za kutibu...
  3. JamiiForums Tanzania Mama Onema: Mchawi aliyekuwa na dawa ya kuzuia Risasi huko Congo

    Itakumbukwa mnamo 1964 General Mobutu alianzisha mashambulizi huko Rusizi plain (Uvira), eneo hili lilikuwa linashikiliwa na waasi wa Simba-Mulele ,kwa usaidizi wa anga wa jeshi la Marekani mashambulizi haya dhidi ya waasi yanapata changamoto, waasi ikasemekana wanapewa dawa na bibi kizee mmoja...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuondoa makovu sugu mwilini

    Mambo vipi, Naomba kujua kama kuna dawa ya kuondoa kovu, nilipata ajali ya boda nikapiga uso baada ya kupona nikabaki na kovu Je, kuna dawa ya kuondoa hilo kovu na kama ipo inaitwaje ili niitafute? Natanguliza shukrani.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuondoa tatizo la mtoto kupata degedege

    Mtoto wangu miaka(4) alipatwa na homa mwaka Juzi 2021 mwez wa 11. Joto ilikuwa juu sana mpaka ikamsababishia dalili za degedege kutokwa na povu mdogo. Tulimpa Panadol kushusha homa na kumkimbiza hospitali ikaonekana ana infection kwenye damu akapatiwa dawa akapona. Mwezi ulioisha tena alipata...
  6. JamiiForums Tanzania UN: 50% ya dawa eneo la Afrika Magharibi ni feki au hazikidhi viwango

    Umoja wa Mataifa (UN) imetoa angalizo hilo katika ripoti yake kuhusu biashara haramu ya bidhaa za matibabu. Biashara hiyo inaweza kusababisha dawa za kuua wadudu kutofanya kazi au maambukizi ya magonjwa hatari, pia kudhoofisha mifumo ya afya kwa watumiaji. Kati ya Januari 2017 hadi Disemba...
  7. JamiiForums Tanzania Dawa ya GAMMORA kutoka kampuni ya Zion Medical ni kweli kwamba inatibu HIV?

    Wana Jukwaa la JF Shalom Shalom, Assalamu aleykumu, Tumsifu Kristo Yesu. Bila kuwapotezea mda wadau naomba msaada wa maelekezo kwa mwenye information kuhusu kampuni ya Zion medical ya huko Israel, kuwa ina tengeneza dawa aina ya Gommora ya kutibu H.iv. Kumekuwa na matangazo kwenye baadhi ya...
  8. JamiiForums Tanzania 2014 nilirogwa kwa kununua dawa ya mvuto mtaani, sikuwa najitambua, ponea yangu ni ndugu yangu kunijua nina tatizo na kunipeleka kwa mtaalam

    Nawaasa sana watu mnaonunua hizi dawa za mvuto wa mapenzi, kusafisha nyota, n.k. muwe makini sana, hizo dawa nyingine mnazonunua huwa mnajitoa sadaka kwa wanaoziuza, wanawaibia vitu vyenu ama kuwaharibia maksudi baraka mlizopewa pengine ili wanufaike na matatizo yenu, Ridhika na ulichopewa, Tia...
  9. F

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Baada ya kutumia dawa ya Pregabalin(ligaba), natokwa na mate Kama manyunyu napozungumza na watu, nifanyeje?

    Sijui hata nifanyeje? Nilipata tatizo la ganzi mwilini, nikatumia vodonge vya Pregabalin miezi minne. Sasa kila nikiongea na watu nawarushia mate Kama manyunyu yanapuliza. Sasa watu hunikwepa au kuweka mikono usoni na mdomoni kwa tahadhari. Sikuwa na hili tatizo kabla. Je nifanye nini...
  10. K

    JamiiForums Tanzania TMDA dhibitini uuzaji wa dawa holela kwenye vyombo vya usafiri

    TMDA na mamlaka husika chukueni hatua haraka kuna upotoshaji mkubwa wa namna na aina mbalimbali za dawa zinazouzwa kwenye mabus yatokayo Moshi bus stand kwenda Arusha na kwenda Dar. Vijana hao wanasema wanatoka kampuni ya Mama Kilimanjaro. Tafadhalini fuatilieni na mzuei upotofu unafanywa na...
  11. JamiiForums Tanzania Niliwahi kwenda kwa mganga kuomba dawa ya biashara haikusaidia, ikanipa mvuto wa wanawake. Niliwachakata mpaka nikafilisika

    Miaka ya nyuma nilikuwa na biashara yangu ikawa inapata ugumu wa ushindani. Mjinga mmoja akaniambia twende Handeni lwa babu ukaiboost. Nilichoamini sasa, hawa mawitch doctor nao wana areas of specialization kama MD walivyo, kunaambao wamebobea kwenye dawa za kufuta kesi, dawa za mapenzi...
  12. JamiiForums Tanzania Vilabu vingi Vikubwa Afrika vikisafiri 'Pre Season' hasa nchi za 'Kitajiri' huwa zinasafirisha Dawa za Kulevya

    Sijajua kwa Vilabu vya hapa Kwetu Tanzania ( na nahisi havina Upuuzi huu kwa Matajiri wake ni Watu na Wafanyabiashara Waaminifu na Wacha Mungu mno ), ila kwa Vilabu vingi Vikubwa vya Soka ( Mpira ) Barani Afrika ambavyo viko chini ya Matajiri ukiona tu Vinasafiri ama ndani ya Msimu wa Ligi au...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hivi dawa za PEP zinapatikana kwenye pharmacy hapa Tz?

    Oya eeh jana mambo km vile hayakuenda vizuri. Nlikua nasafisha rungu kwa izi dada poa asee si nkashtuka ndomu imetoka na kubaki ndani ya k bila mi kujua, bizee naendelea na kazi. Sasa nina wasiwasi ule mda ilivovuka nilikua na direct contact na fluid zake asee. Em nisaidieni kupata dawa za PEP...
  14. JamiiForums Tanzania TBC 1 ni kweli sikio la kufa halisikii dawa?

    Hii TBC 1 kweli imeamua kupuuzia maoni ya watazamaji wake, yaani TBC1 ikishafika saa 10 usiku hakuna kitu zaidi ya mitaarabu tu; hivi hii tabia itakwisha lini? Hamuwezi kutuwekea hata movie tuburudishe akili? Sasa taarabu saa 10 usiku kiukweli haileti afya. TBC1 enzi za Tido burudani za ku...
  15. JamiiForums Tanzania Ufilipino: IGP ajiuzulu baada ya Maafisa wa Polisi kukamatwa na Dawa za Kulevya

    Mkuu wa Jeshi la Polisi, Jenerali Rodolfo Azurin Jr, amesema anachukua uamuzi wa Kuwajibika kama Kiongozi ili kuwahimiza Maafisa wengine 1000 kujiuzulu ili kurejesha imani ya umma kwa Polisi. Waziri wa Mambo ya Ndani Benjamin Abalos alitoa wito kwa Majenerali wote wa Polisi na Makanali...
  16. JamiiForums Tanzania Mods futeni tena na huu uzi: Tumia dawa hii utapona ugonjwa wa sickle cell ndani ya miezi 3

    Mkipenda futeni mods! Mahitaji nunua chungu na kuku jogoo kisha mchinje huyo jogoo halafu toa vitu vyote vya ndani(utumbo, maini, firigisi, mapafu) maana ndiyo tiba na uvipike kwenye hicho chungu bila kuweka maji mpaka viungue kabisa kama mkaa kufikia hatua ya kusaga na kupata unga wake, baada...
  17. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tanzania Institute Of Education (TIE) does the textbooks business in a "cocaine style". Is that the core job of the institute?

    Here you get Kiswahili version to start with followed by English version KISWAHILI VERSION TAASISI YA ELIMU TANZANIA (TET) INAFANYA BIASHARA YA ELIMU NA VITABU KWA MTINDO WA DAWA YA KULEVYA. BIASHARA YA VITABU (TEXTBOOKS) NDIYO KAZI YAO KWA KISHERIA YA TAASISI HII? Kwanza kabisa TET...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya kuuwa/Kuzui wadudu wanaokula mahindi shambani

    Wakuu kama kichwa cha habari. Nina vimahindi vyangu kama robo heka hiv vina kama mwezi hivi.Ila wadudu wanavishambulia hatari sana.mwenye uzoefu wa daqa ya kutibu hili( kama kuna njia za asili za kutibu zisizo na athali za mazingira nitafurahi sana pia).pia namna ya kizuia hawa wadudu.yaani...
  19. JamiiForums Tanzania Watoto 18 wafariki baada ya kunywa dawa yenye sumu

    Takriban watoto 18 wamefariki dunia nchini Uzbekistan baada ya kunywa dawa iliyotengenezwa na mtengenezaji wa dawa wa India Marion Biotech, kulingana na Wizara ya Afya ya Uzbekistan. Wizara hiyo imesema watoto 18 kati ya 21 waliokuwa na ugonjwa wa kupumua waliotumia syrup ya Doc-1 Max papo hapo...
  20. JamiiForums Tanzania Pwani: Askari Magereza akutwa akiuza Dawa za Serikali kwenye 'Pharmacy' yake

    Mtumishi wa Jeshi la Magereza wilayani Mafia Mkoa wa Pwani (jina limehifadhiwa) anadaiwa kukutwa akiuza dawa za Serikali katika duka lake binafsi kinyume na sheria, kanuni na maadili yanayohusika na utoaji wa huduma za afya. Hayo yalibainika jana baada ya Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…