dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je? Mkojo Wa Ngamia Ni Dawa

    Salaam Wa JF Wote Nmekutana Na Mtu Mmoja Akiwa Anasumbuliwa Na Ugonjwa Wa UTI, Malaria, Kukosa Hamu Ya Chakula,Kwenye Maongezi Yetu Baada Ya Kumjulia Hali Akaniambia Ana Miaka 10 Hajawahi Kuugua Magonjwa Kama Malaria, UTI, Minyoo, Vidonda Vya Tumbo Na Magonjwa Mengi Mengine Akaniambia Mwaka...
  2. JamiiForums Tanzania Dawa bandia ni tishio barani Afrika. Fahamu namna 3 za kuzibaini

    Mwishoni mwa siku ndefu, unagundua kuwa unaanza kuhisi maumivu ya kichwa. Unachokifanya ni kunununua dawa za kutuliza maumivu kutoka kwa muuzaji wa mtaani, na unakunywa mbili. Lakini unajuaje tembe hizo ni sahihi ama sio feki? Muuzaji sio duka halisi la dawa lililothibitishwa. Hakuna kifungashio...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Wauza Majeneza na Dawa Pharmacies wakituambia Karibu tena tunachukia na kuwaelewa vibaya?

    Na kwa mfano kama ukija Kwangu GENTAMYCINE Muuza Majeneza na nikakuuzia unataka nikuambie neno gani zaidi ya Karibu tena? Mnajua kabisa Mimi nafanya Biashara na moja ya Kanuni Kuu yoyote ya Mfanyabiashara ni kuwa na Customer Care hivyo nijuavyo hata ukija Kununua hilo Jeneza Kwangu ni lazima tu...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna aliepona bawasili kwa dawa asili au aliefanya operation akawa safi

    Kuna aliepona bawasili kwa dawa asili au aliefanya operation akawa safi
  5. JamiiForums Tanzania Dawa za kuongeza nguvu za kiume zakua dili Urusi, wanaume wana msongo balaa

    Maisha yanazidi kuwa magumu Urusi, jameni Putin ameliingiza taifa pabaya.. Putin's invasion of Ukraine IS a flop: Erectile dysfunction pill sales surge in Russia – with young men of conscription age suffering extreme stress Russian spending on erectile dysfunction drugs surged 75 per cent...
  6. JamiiForums Tanzania Nisaidie dawa ya mtoto kuacha kula karatasi. Ana mwaka 1

    Mtoto wangu anatimiza mwaka mmoja ila anapenda sana kula karatasi. Je, ni tatizo la lishe? Na ni nini dawa yake? Tafadhali naomba msaada wenu
  7. JamiiForums Tanzania Askari wa SMZ adaiwa kunaswa akisafirisha dawa za kulevya

    Askari wa moja ya vikosi vya Ulinzi na usalama vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Juma Abdalla Khamis (34) amekamatwa akiwa na vifuko 31 vikiwa na kete 3,198 zinazodhaniwa kuwa dawa za kulevya aina ya Heroin. Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu jana, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi, TMDA wakamata mtandao wa kutengeneza dawa feki za Binadamu Dar

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Kanda ya Mashariki likishirikiana Jeshi la Polisi wanamshikilia William Mwangile anayedaiwa kuzalisha na kusambaza dawa bandia kwa mfumo wa makopo. Mkaguzi wa Dawa wa TMDA, Jafari Mtoro, amesema Mwangile amekamatwa jana Ijumaa Aprili 14, maeneo ya Kipawa...
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji Pharmacy (duka la dawa) linalouzwa Kigamboni

    Kwa mwenye kuuza duka la dawa kigamboni nahitaji. Iwe ni biashara yenye vibali vyote muhimu na pia unioneshe daftari la mauzo na location iwe nzuri ya kueleweka. Nicheki inbox tuzungumze zaidi.
  10. JamiiForums Tanzania Tupeane makavu: Kama pombe ni dawa ya kulevya yenye madhara makubwa kuzidi bangi ni kwanini bangi isiruhusiwe?

    Madhara ya sigara: Ocean road pale hospitali ya cancer wapo wagonjwa wengi wenye kansa ya mapafu, fizi, koo, n.k. kwasababu ya matumizi ya muda mrefu ya sigara. Cancer inaharibu koo kiasi kwamba wengine wamechomolewa makoo wanaongea kwa kuwekewa mashine, sauti inatoka kwenye spika Watu zaidi...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia waonee huruma maskini wa Tanzania, watu wanakufa kwa kukosa dawa huku wengine wakichota mabilioni

    Naomba kuchukua nafasi hii kuandika kwa kifupi kabisa ombi moja kwa niaba ya watanzania. Nakuomba Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia tafadhali wachukulie hatua za kisheria wote wanaohusika na ufisadi wa kutisha unaoendelea katika nchi yetu. Tunakopa matrilioni, lakini tunapoteza matrilioni...
  12. JamiiForums Tanzania Siku niliyotumia dawa ya nguvu za kiume ilikuwa hatari; dont try!!

    Wakati fulani miaka ya 2000 nilicheza show mbovu sana kiasi cha kudharauliwa na demu. Demu akaniambia mbona tunapochati unakuwa na mbwembwe nyingi sana ila kumbe hauna maajabu. Kwa kweli nilijisikia vibaya na nikaingia woga. Baada ya sakata hilo nikapata tena demu mkali sana. Lakini bado...
  13. JamiiForums Tanzania Vidonda vya tumbo vinaanza kurejea, nifanye nini kukabiliana na changamoto hii?

    Msaada, Mimi ni mhanga wa acid kujaa kwenye tumbo had kupanda kwenye Koo Kwa muda wa miaka miwili. Nilienda hospital mbalimbal bila mafanikio ila nikaenda singida hospital ya itigi wakanipa dawa na vyakula ambavyo natakiwa nisitumie na mpangilio wa kula, kweli nikafanya hivyo baada ya miezi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujuzwa dawa ya kuua na kufukuza popo

    Nyumba yangu kuna popo wanajificha kwenye mbao nilizoezekea. Wanakera sana, nitumie dawa gani jamani?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna dawa inayoua taratibu. Dawa kazi yake kutibu, msidanganywe

    Nafahamu kweli mfano metronidazole inaleta side effect chapu tena inaweza ikaua kabisa ukichanganya na pombe Ila sijasikia dawa eti inaleta side effect taratibu. Kama ipo itaje, taja na side effect yake tujifunze.
  16. JamiiForums Tanzania Kamishna Jenerali Aretas James Lyimo atangaza vita mpya dhidi ya dawa za kulevya nchini. Kuanza na vijiwe vyote

    KAMISHINA Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA),Aretas James Lyimo ametaja malengo yake ambayo ameingia nayo ili kuhakikisha mamlaka hiyo inadhibiti kabisa biashara na matumizi ya dawa za kulevya nchini. Ameyasema hayo leo Aprili Mosi, 2023 mkoani Mtwara wakati...
  17. JamiiForums Tanzania TBS inakanusha kuwa ilipima bidhaa za dawa za meno na kutoa taarifa kuwa zina vichocheo vya kibiolojia

    Kufuatia lile kongamano aliloshiriki Harrison Mwakyembe ambapo mmoja wa wazungumzaji alieleza uwepo wa dawa za meno na "body spray" zinazoongeza homoni za kike kwa wanaume. shirika la viwango Tanzania (TBS) limetoa tamko kukanusha madai hayo huku ikieleza inaendelea kufuatilia JISOMEE HAPO...
  18. JamiiForums Tanzania Songea: Wanafunzi waliopatiwa dawa za meno za msaada watakiwa kurudisha mara moja

    Baada ya wadau wasiofahamika bado kuwa ni kutoka taasisi ipi kugawa dawa za meno na miswaki kwa shule za.msingi Songea. Leo imetoka taarifa kwa walimu wakuu kuwataka kuwaambia wanafunz hao warudishe vitu hivyo mara moja. Bado haijajulikana zaidi kwann hili limekua hivi hadi sasa.
  19. JamiiForums Tanzania Je, dawa za meno zinazogawiwa mashuleni zinaharibu homoni za watoto wa kiume?

    Salaam Kuna audio inasambaa mitandaoni kwamba kuna dawa za meno zinagawiwa Mashuleni ambazo zinaharibu homoni za kiume. Kwamba TBS ilithibitisha. Je, kuna mtu ana uhakika na hizi taarifa au ni Uzushi tu wa mitandaoni. Wizara ya Elimu inajua hiki kitu na Uliruhusu? Msililize huyu anachoongea
  20. JamiiForums Tanzania Mswaki na Dawa zinazotolewa mashuleni ni salama?

    Wakuu habari, Kwa mwenye uelewa tusaidiane. Watoto wa shule za primary wamekua wakipewa dawa za meno na mswaki kwa lengo la kuhamasisha usafi wa kinywa. Licha ya nia kua nzuri lakini pamekua na sintofahamu ikidaiwa dawa za meno zinazotolewa zina madhara kwenye upande wa hormones. Wadau mnaopita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…