data

  1. Tabora: Data officer post

    Habari zenu . Mwenye info zozote kutoka MDH tabora data officer post kuhusu interview ?
  2. Data driven decisions. Kwanini NALA wawe na HQ Kenya na sio Tanzania?

    Nimeona uzi wa mdau mmoja Upepo wa Pesa nadhani akilalamika ni kwanini nala wawekeze USD 5 Million in Kenya wakati kampuni imeasisiwa na mtanzania? Mods nawaomba msiunganishe huu uzi kwasababu nataka uwe na discussion tofauti. Kuna kitu kwa wachumi na pia kwenye uwekezaji huwa tunakiita...
  3. Looking for reliable and efficient data analysis services? Look no further! Our team of experts is here to help you

    Looking for reliable and efficient data analysis services? Look no further! Our team of experts is here to provide you with top-notch analysis using the latest technologies. We offer a variety of data analysis options to meet your specific needs. Our Excel data analysis services start at just...
  4. Anza kutumia Nguvu ya Sayansi ya Data

    "Badilisha Biashara Yako kwa Masuluhisho ya Sayansi ya Data " Umuhimu wa Sayansi ya Data nchini. Faida za Kufanya Kazi na Mwanasayansi Maarufu wa Takwimu. Mwongozo wa Kina wa Zana Bora za Sayansi ya Data. Maudhui: Umuhimu wa Sayansi ya Data nchini : Katika ulimwengu wa kisasa wa biashara...
  5. Wakulima hutumia 24% ya kipato chao kununua GB 5 za data

    Hali ni mbaya kwa ununuzi wa data kwa wakulima. Kwa takwimu za NBS za 2020 wakulima wanapata kwa wastani Tsh. 169,377 kwa mwezi. Wastani wa fedha wanazopata wanawake ni ndogo zaidi kuliko wanaume ambapo wanawake huingiza kwa wastani Tsh. 124,479 na wastani wa wanaume ni Tsh. 195,617. Kwa...
  6. USHAURI: Jiajiri kutokana na taaluma yako badala ya kulalamika ajira hamna

    Tutafute pesa Kwa maarifa yetu. 👇👇👇 Badala ya kujificha na kulalamika kuhusu ajira fungueni centers/madarasa/ ofisi Mikoani, Wilayani na hasa mikoa yenye taasisi za elimu ya juu ama vyuo vikuu, kuna fursa kubwa sana sana. Tuokoe taifa. Ni hayo tu.
  7. Siri katika uuzwaji wa data za whatsapp, Twitter na mitandao mingine

    Habari zenu, Jamani mimi ningependa kuuliza tu. Hivi wanaposema account zimedukuliwa na data za watumiaji zimeuzwa. Wanamaanisha nini? Data gani? Wanauza wapi? Wanaowauzia wanazitumia vipi? Nakumbuka niliwahi angalia muvi fulani ya kizungu ilikuwa inahusisha kudukua account za watu sasa pia...
  8. TIC inatengeza data kudanganya umma au ni ukweli?

    Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kimesajili jumla ya miradi 132 yenye thamani ya dola za Marekani 3.16 bilioni (takribani Sh7 trilioni) katika kipindi cha Julai hadi Novemba 2022. Tunaomba hii miradi iliyosajiliwa Kwa kipindi hicho TIC iweke kwenye website’s ya TIC Ili watanzania waione na...
  9. TWITTER API HACKED: Mamillion ya data za watumiaji wa twitter yanauzwa

    Hello bosses..... Musk alikosea sana kufukuza fukuza watu hovyo, mm shabiki yake lkn kwa hilo alikosea, makampuni mengi yamefanya layoff ila yanaenda polepole sio kwa speed ya kufukuza watu wengi kiasi kile. Sasa watu wamedukua twitter masaa mawili yalopita, data za zaidi ya watumiaji million...
  10. Data za mwaka 2021, Tanzania na mataifa mengine zikionesha kiwango cha nishati ya umeme kilichozalishwa kwa mwaka Tanzania ina kipi cha kujifunza?

    Data za mwisho wa mwaka wa 2021 ziki onesha viwango vya kinishati ya umene Tanzania pamoja na mataifa mengine walicho zalisha kwa mwaka. Data hizo zili tawaliwa kwa taifa la China kwa kuongoza katika uzalishaji mwingi wa nishati za umeme, liki fuatiwa na taifa la marekani baadae India na...
  11. Msaada: PC system inakula sana data

    Beijing! Bonjour wakuu, PC yangu inakula sana data kwa vitu visivyoeleweka. Nimeweka connection kuwa metered Nimestop background applications Nimestop google updates (ilikuwa ishakula mb95) Nimeweka data limit Nimezuia system updates mpaka January huko Lakini bado kila mkitumia nakuta Mb kibao...
  12. Tetesi: Data za watumiaji zaidi ya Milioni 487 wa WhatsApp zinauzwa mtandaoni

    Kuanzia November 16; taarifa za watumiaji hao zimevuja na zinauzwa mtandaoni. Taarifa hizi zikiwemo namba za simu, majina (kwa wanaoweka majina yao kwenye akaunti zao) na profile picture zimekusanywa na kuuzwa kwenye Dark Markets. Hakuna chats zilizovuja; data zinazouzwa ni namba za simu za...
  13. T

    Huenda David Zacharia Kafulila ndio mwanasiasa kijana toka CCM anayewasumbua zaidi Anti-Samia kwa hoja zenye data na misimamo thabiti isiyoyumba

    Wasalaam JF, Hoja thabiti za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila zimeendelea kugonga Vichwa vya wale wote wanaotamani kusikia na kuona Rais Samia Suluhu Hassan kashindwa kuliongoza Taifa hili na Sasa utafutwe mbadala, Tofauti kabisa na wanasiasa wengi hapa nchini...
  14. S10 android 12 na ukosefu wa quick data button

    Amani na iwe kwetu wote. Nashukuru jukwaa la tech ndo huwa hawana bla bla nimesaidika sana. Sasa nina samsung s10 ina android 12. AT &T Tatizo lake sasa linaloninyima raha ni kutokuwepo button ya data kwenye quick panel. Nalazmika kuzunguka wenye setting kuzima na kuwasha data. Unaona...
  15. Mbunge Sanga alia gharama kubwa za tiketi ATCL

    Mbunge wa Makete Festo Sanga ameitaka serikali kuangalia upya bei ya tiketi ya Shirika la Ndege la Air Tanzania kwa kuwa ni kubwa kulinganisha na uhalisia." Ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mapendekezo ya Mapango wa Taifa. Sanga amesema: "Ukikata tiketi ya DSM kwenda...
  16. Daraja la Wavuka kwa Miguu Kawe Bondeni lifanyiwe kidogo tena Matengenezo ili kuliimarisha

    Kuna sehemu kule Juu unaona kabisa Bati limeanza kuachia huku Lami iliyoko kwa kule Juu nayo ikianza Kuisha. Ni Daraja zuri ila liwe linafanyiwa Matengenezo na Uangalizi ili Kuliimarisha kwani kuna muda hata ukiwa kule Juu unasikia kabisa likinesa na Uimara wake kutia Shaka. Ombi langu hili...
  17. Swala la kupanda Bei ya data ilaumiwe Serikali na TTCL ndio wanaouzia makampuni huduma za internet kwa Bei na kutokuwa na mshindani

    Watu wanalaumu kuhusu mb kupanda Bei lkn muuzaji wa huduma hizo Ni Kampuni ya serikali TTCL. Kupitia mkonga wa Taifa. Kifupi kitu kinachoendeshwa na umma na kisichishindani kwa nchi za dunia ya tatu Ni kasoro kubwa na huumiza wanyonge. Kampuni zikiwa huru kupata huduma hizo kupitia satellites...
  18. Stella Fiyao: Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi ni muarobaini wa wananchi kuingiliwa akaunti zao

    Mbunge CHADEMA Songwe Viti Maalum, Stella Fiyao akichangia hoja yake katika mjadala wa Muswada wa ulinzi wa taarifa binafsi anabainisha kuwa mswaada huu ni muhimu na utakwenda kutatua changamoto ya mamlaka kuingilia kwenye akaunti za watu mbalimbali. Akifafanua hoja yake anasema kuwa Muswada...
  19. INSTINCTS ARE MATHEMATICAL / MACHALE NI MAHESABU :: From my personal experience as a Data Engineer and Computer Programmer

    Hello bosses........ Nadhan hii inawakuta watu wengi pia. Kuna muda unafanya decision bila kuwa na sababu yoyote ya msingi au logical. Hii wazungu hupenda kuiita 'gut feeling'. Yaan unaweza panga kwenda safari lakini ghafla tu unaamua kuahirisha halafu unasikia basi ulilopanga kusafiria...
  20. Kupunguza bei ya Internet ni muhimu katika kuhamasisha ulinzi wa taarifa binafsi na matumizi sahihi ya mitandao

    Matumizi ya Internet ni muhimu sio tu kwa mtandao usiolipishwa na wazi, lakini pia kwa kutambua haki za binadamu mtandaoni. Lakini hakuna faida yoyote kati ya hizi inayoweza kupatikana bila ulinzi thabiti na wa kina wa data, usalama wa data, ulinzi wa faragha na mifumo ya haki za binadamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…