data

  1. Elon Musk: Vituo vya Data Angani na Mwezini

    Elon Musk anasema SpaceX inaweza siku moja kujenga vituo vya data angani, na hata kwenye Mwezi. Wazo hili linasikika kama hadithi za kisayansi (science fiction), lakini mantiki yake ni rahisi. Vituo vya data duniani vinahitaji kiasi kikubwa cha umeme, mfumo wa kupoza (cooling), ardhi, na...
  2. Data Science: Fursa na umuhimu wake kwa vijana wa Tanzania katika enzi ya uchumi wa kidigitali

    Utangulizi Katika karne ya 21, dunia imeingia katika enzi mpya ya mabadiliko ya kidigitali (digital transformation). Kila siku, mabilioni ya taarifa (data) huzalishwa kupitia simu za mkononi, mitandao ya kijamii, benki, hospitali, biashara, mifumo ya usafiri, na hata mashine za viwandani. Hata...
  3. DATA SCIENCE: NGUZO MPYA YA MAENDELEO YA KIUCHUMI TANZANIA NA DUNIANI

    Katika karne ya 21, dunia imeingia katika enzi mpya ya kidijitali ambapo kila kitu kinategemea taarifa (data). Kila unapotumia simu yako, kufanya malipo ya kidijitali, kuvinjari mitandao ya kijamii, au hata kutazama video mtandaoni, unazalisha data. Data hii, ikiwa itachambuliwa vizuri, inaweza...
  4. K

    Mzee aliye data wasira wauaji ni ma boss wako

    Mzee huyu inabidi apewe wana za kupunguza ukichaa wa uzeeni hayupo sawa kabisa. Yaani hata hajitambui kwa ukweli kwamba mauaji ya mwaka jana amri imetoka kwa boss wake
  5. A

    KERO Kampuni zinazounga internet ya nyumbani hazisemi ukweli kuhusu kiasi cha ‘data’ anayopata mteja

    Shida ni kwamba hizi kampuni ambazo zinajihusisha na services za home internet zinakuwa kwanza hazisemiukweli interms of amount ya data unayopata, mfano unaweza kulipa unlimited kwa speed kiasi flani lakini unakuta kumbe limit ni 1tb, so wanakuwa wana advertise uongo na hawajulishi watumiaji...
  6. Nawezaje kupata API ya DSE kwa ajili ya App yangu ya data analysis

    Natengeneza App ya AI ya kuchambua taarifa, kutoa ripoti na kutoa ushauri katika maswala ya fedha na uwekezaji., moja ya ya features zitakuwepo nahitaji App iwe inachambua maswala ya hisa za mtumiaji ambae amewekeza kwenye dse Shida nimetafuta namna ya kupata API ya dse sioni . Naomba mwenye...
  7. M

    Learn Data Science: A Beginner’s Transformation Guide

    This ebook introduces the world of Data Science in a simple and practical way. It covers key concepts such as data collection, cleaning, analysis, visualization, and machine learning. You will also learn how data science is used to solve real-world problems in business, health, technology, and...
  8. Kenya On Track To Secure European Union Data Adequacy Decision

    The EU Delegation to Kenya, Invest Kenya, and Two Rivers International Finance & Innovation Centre (TRIFIC) co-hosted a lively side event on March 26, 2026, at the Kenya International Investment Conference 2026, highlighting Kenya's quick ascent to prominence as Africa's top business process...
  9. Ingekua wewe ungechagua nini? Kati ya data analysis au programming?

    Nina mwanafunzi anayesoma ICT, Yuko mwaka wa kwanza Sasa, amenambia wanagusa Kila sehemu wanasoma cyber security, networking, web development, programming, n.k kaniuliza achague kipi hasa kitakachomsaidia kwenye kujiajiri? Au kufanya kazi na kampuni mbalimbali, kuliko kusubiri ajira za serikali...
  10. Senior Credit Data Scientist at NMB Bank February 2026

    Senior Credit Data Scientist (1 Position(s)) Job Location: Head Office, Hq Job Purpose: To provide competent and reliable support on credit related projects including system development / implementation / enhancements and automation, new credit product designing, Credit Bureau (CRB) services...
  11. B

    Sheria mpya za Icasa zinalenga kuzuia muda wa matumizi ya data ya simu za watumiaji kuisha (expire)

    Hakuna kifurushi cha data kupotea tena! ICASA sasa inawataka waendeshaji wa kampuni za simu za mkononi ambazo huuza vifurushi vya kulipia kabla (prepaid) ambavyo havijatumika visipotee bure. Muda wa kuisha kwa data ya simu umekuwa mada yenye utata kwa muda mrefu, hasa kwa watumiaji wa kulipia...
  12. La HAZINA ya Dhahabu, limethibitisha TRA ya Samia ,ni wahuni,Makanjanja , wasiokua wabunifu, Wanaopikaga Data kumdanganya Samia waonekane wanakusanya!

    Tukishaikomboa hii NCHI, hawa TRA NAO tutawafumua , tutawashikisha Adabu. Wanaiba, wanajilimbikiza Maliz alafu wanakuja kupika Data, Kila Mwezi wanaonekana Makusanyo yamepanda. Kumbe ni uongooo mtupu , HAINGII AKILINI , MIEZI MIWILI TU YA RAFIKI ZETU WAULAYA NANMAREKAN KUSITISHA MISAADA , ET...
  13. Nataka kuanza safari yangu ya kuwa Data analyst unanishauri nini katika safari yangu?

    Habari zenu Mabro Mda mrefu sana nimekuwa namatani hii kitu sasa huu mwaka nimedhamiria kabisa niongeze hii skills ya data analysis Ili nikitoboa hili jalamba la Degree hapa niwe vyema kote kote Mwaka huu nimeugawanya katika quarter 4 kila quarter moja najifunza Skills moja na niliyopanga...
  14. Data Manager at ASUTA January 2026

    Introduction Asasi ya Uwezeshaji Tanzania – ASUTA working in partnership with FHI 360 on Epidemic Control (EpiC) which is a global project funded by the U.S. President’s Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR) and the U.S. Agency for International Development (USAID) which is dedicated to...
  15. UFADHILI WA SAMIA (SAMIA SCHOLARSHIP EXTENDED DS/AI+) KATIKA FANI ZA SAYANSI YA DATA, AKILI UNDE NA SAYANSI SHIRIKISHI

    Hellow , kuna yeyote alieomba huu ufadhili?mchakato upoje hadi Sasa?
  16. Inamaana jf bado imefungiwa na haijui nani ameendeleza kufungia kwani data zinaonesha ni nani kama sio mamlaka haramu isiyo heshimu haki za watu

    Inamaana jf bado imefungiwa na haijui nani ameendeleza kufungia kwani data zinaonesha ni nani kama sio mamlaka haramu isiyo heshimu haki za watu. Hali hii sio solution na haivumiliki nchi imevamiwa na matapeli na wapumbavu hii.
  17. Jinsi gani ya kuwa Data Analyst

    Wakuu, moja kati ya passions nilizonazo ni pamoja na kuwa "data analyst ". Nipo kwenye process ya kumalizia SQL queries course relating to data analytics. Katika research ambayo nimefanya huko YouTube, wanasa ni lazima nizijue zofuatazo. 1. Sql 2. Advanced excel ikiwemo "pivot table and Vlookup...
  18. M

    Hivi ni uraibu wa simu au uraibu wa intenet, unaweza kuwa mraibu wa simu bila data ?

    Mimi nilichokiona kusema mtu ni mraibu wa simu kuna vitu vimemiss kwa kiasi kikubwa huwa naona waraibu wa simu huzitumia sana kwenye internet mfano kuperuzi google, mitandao ya kijamii, youtube, whatsapp groups, downloading, n.k.
  19. Exploring Opportunity in Sales, HR, and Administration Personal assistant, Receptionist,Sales, Customer Service and Enumerator( data collection)

    Hello, I am 25 yrs old, holder of Bachelor degree of human resource management. I am actively seeking roles in any sector and am highly skilled and experienced in Personal assistant, Receptionist, Sales, Customer Service, Enumerator(data collection ) and General Administration/HR. If anyone...
  20. Ni muhimu kukumbuka Data Zinaoza!

    Hili ni kumbusho kuwa karibia hifadhi zote za data zinaoza baada ya muda fulani, kitu ambacho ni muhimu kuzingatia. HDD (Hard Disk Drive) Zile mechanical ambayo haitumiki zinaoza baada ya miaka 2-20 kutegemea na ubora wa drive na hasa mazingira iliyohifadhiwa, mazingira ya TZ ya joto na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…