daraja

Daraja Academy is a secondary school for Kenyan girls located outside of Nanyuki, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Faida za Daraja la Magufuli

    Daraja la Kigongo-Busisi, maarufu kama "Magufuli Bridge," ni mradi mkubwa wa miundombinu uliojengwa kuvuka Ziwa Victoria, unaunganisha Wilaya ya Kigongo na Wilaya ya Busisi katika Mkoa wa Geita. Hapa kuna baadhi ya faida kuu za daraja hili: 1. Kuboresha Usafiri na Usafirishaji: - Upungufu wa...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wananchi waandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja Kigoma

    Wananchi katika Kijiji cha Kigogwe, Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wameandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja la kubembea, unaojengwa katika Mto Rwiche kijijini hapo, wakidai waliomba kujengewa daraja la kudumu. Kwa sasa wananchi hao wanavuka Mto Rwiche kupitia vivuko...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa CCM: Daraja la mawe na cement limegharimu mil 200. CCM haifai.

  4. I

    JamiiForums Tanzania Ukraine yaharibu daraja muhimu ndani ya Russia.

    Ukraine imeharibu daraja muhimu kimkakati juu ya mto Seym, wakati inaendelea na uvamizi wake katika eneo la Kursk nchini Urusi. Maafisa wa Urusi wamenukuliwa wakisema operesheni hiyo karibu na mji wa Glushkovo imekata sehemu ya wilaya ya eneo hilo. Daraja hilo lilitumiwa na Kremlin kusambaza...
  5. King Leon 1

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe historia ya 1987 ,1988 na 1989 katika ligi ya Tanzania,msimu ambao Simba ilinusurika kushuka daraja

    Tuanze kuigusa SIMBA SPORTS CLUB ambayo ilipitia historia mbaya iliandikwa mwaka 1987, na mwaka 1988 pia mwaka 1989 kwani katika miaka hii mitatu Simba iliponea chupuchupu kuteremka Daraja kutoka Ligi daraja la kwanza ( kwasasa ni Ligi Kuu) kwenda daraja la pili. Tuanzie mwaka 1987 Ambapo...
  6. aka2030

    JamiiForums Tanzania Timu za ligi kuu zitakazoshuka daraja 24/25

    1.JKT Tanzania 2.Fountain gate 3.pamba jiji
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Daraja la Magufuli wafikia Asilimia 90

    Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Paschal Ambrose amemshukuru Waziri Innocent Bashungwa kwa kuendelea kutoa msukumo ili kazi mbalimbali zinazoendelea za ujenzi katika daraja hilo ziweze kukamilika na kumueleza kuwa hadi kufika mwisho wa mwezi Agosti wananchi wataruhusiwa kupita juu ya...
  8. Said kinyombe

    JamiiForums Tanzania Kukosewa kwa daraja (class) cheti cha diploma

    Habari wakuu. Mimi cheti changu cha diploma kimekosewa, nimekirudisha kirekebishwe ila nimeomba kazi kupitia ajira portal je nikiitwa kwenye interview natakiwa niende na document gani mbadala wa hiko cheti nilichokirejesha kwa ajili ya marekebisho. Maana chuoni wananizungusha kwamba cheti bado...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Huu ndio Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu (Mita 133) katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara

    Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara sehemu ya Kidatu - Ifakara kilometa 66.9 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Morogoro. Daraja hilo limejengwa na Mkandarasi Reynolds Construction Company - RCC ya Nigeria na...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Lifahamu Daraja la Ruaha Mkuu - Morogoro

    LIFAHAMU DARAJA LA RUAHA MKUU - MOROGORO Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara sehemu ya Kidatu - Ifakara kilometa 66.9 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Morogoro. Daraja hilo limejengwa na Mkandarasi Reynolds...
  11. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa serikali waweke barabara nne kwenye daraja la Mkaramo mlandizi

    Hili eneo limekua kero, na limeua watu wengi sana ndugu zangu, kwa mfano leo hii yenyewe ni foleni kubwa sana. Serikali fanyeni jambo,
  12. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Ili la Fadlu David Simba litawacost mnoo. Huwezi kucheza Pre season ya pili na Telcom inayopigania isishuke kutoka Ligi daraja la pili.

    Nilishaonesha sana Ubovu wa kitwakimu huyu bwana akisimamia timu mara 7 tofauti. Simba wanabaki kumpamba tu kwenye media haita badili kitu kuhusu uwezo wake. Kinachomfanya aombe Timu mbovu sio kukosa timu nzuri bali ni muoga wa mechi kubwa. Ona Fadlu Sio kocha huwezi cheza na timu inayocheza...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Tutajuaje kwamba Mkopo wa Daraja la Kigamboni umeisha?

    Au ndio serikali iteaendelea kututoza malipo kupita Kwenye Daraja hilo bila ya ukomo?
  14. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha 6 2024: Shule 710 kati ya 929 zimepata Wastani wa Daraja C la Ufaulu, Shule 100 zimepata Daraja A na B

    Kwa mujibu wa Matokeo ya Mtihani wa Kihitimu Kidato cha 6 uliofanywa Mei 2024 na kutangazwa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Ufaulu wa Watahiniwa waliopata Daraja I - III umeongezeka kwa 0.10% kutoka Wanafunzi 95,442 (99.30%) mwaka 2023 hadi 102,719 (99.40%) mwaka 2024. NECTA imesema...
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Dereva Daraja II - Nafasi 7 Arusha -July, 2024

    POST DRIVER CLASS II – 7 POST EMPLOYER Arusha City Council APPLICATION TIMELINE: 2024-07-09 2024-07-22 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Checking the vehicle before and after the trip to determine the vehicle’s safety condition; Sending employees to different places on business trips...
  16. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Dereva Daraja II - nafasi 4 Karagwe - Julai, 2024

    POST DRIVER CLASS II – 4 POST EMPLOYER Karagwe District Council APPLICATION TIMELINE: 2024-07-09 2024-07-22 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Checking the vehicle before and after the trip to determine the vehicle’s safety condition; Sending employees to different places on business...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Injinia: Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi umefikia 88.61%, litaanza kutumia Desemba 30, 2024

    Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo – Busisi) lenye urefu wa Kilomita 3.0 na barabara unganishi Kilomita 1.66 linatarajiwa kuanza kutumika Tarehe 30 Disemba 2024 likiunganisha Barabara Kuu ya Usagara – Sengerema – Geita zenye urefu wa Kilomita 90. Daraja hilo linajengwa Urefu wa kilometa 3.0 Upana...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha asema Tsh. Bilioni 136.2 zimetumika urejeshaji wa Miundombinu barabara na madaraja

    Serikali imetoa jumla ya Shilingi Bilioni 136.2 kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) na Wakala ya Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA), kwa ajili ya kurejesha hali ya awali ya miundombinu ya barabara na madaraja yaliyoharibiwa kwa kiasi kikubwa na janga la mvua za El Nino. Hayo yameelezwa...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Tutapanua barabara ya Mbagala Rangitatu-Kongowe (km 3.8) na daraja la Mzinga na upanuzi wa barabara ya Mwai – Kibaki (km 11.6)

    BASHUNGWA AWEKA WAZI MIRADI ITAKAYOONDOA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MAJIJI. Serikali itaendelea na utekelezaji wa miradi inayolenga kuondoa kero ya msongamano wa magari katika majiji. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na...
  20. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: TANROADS kuanza ujenzi wa Daraja la Jangwani

    TANROADS KUANZA UJENZI DARAJA LA JANGWANI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kuanza kutekeleza mradi wa kimkakati wa Ujenzi wa Daraja la Jangwani. Bashungwa ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati wa kuwasilisha...
Back
Top Bottom