daraja

Daraja Academy is a secondary school for Kenyan girls located outside of Nanyuki, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Daraja la Ruhuhu Laboresha Mawasiliano Mkoa wa Ruvuma na Njombe

    DARAJA LA RUHUHU LABORESHA MAWASILIANO MKOA WA RUVUMA NA NJOMBE. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua Daraja la Ruhuhu lenye urefu wa mita 98 ambalo linaunganisha Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma na Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe ambalo limekuwa mkombozi kwa wananchi wa Mikoa hiyo...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aagiza Daraja la Nzali-Chamwino kujengwa haraka

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi, Aisha Amour, kutafuta haraka mkandarasi wa kujenga daraja la Nzali, lililopo wilayani Chamwino, mkoani Dodoma mara tu baada ya hatua za usanifu wa daraja hilo kukamilika. Akizungumza na wananchi wa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kuna maeneo nchini miaka nenda rudi miundombinu ni mibovu, mamlaka hazioni? Mpaka maafa yatokee ndio wachukue hatua?

    Kuna maeneo nchini yana miundombinu mobuvu miaka na miaka lakini serikali wala haichukui hatua. Unakuta barabara mbovu, madaraja yamebomoka nk, lakini ni kama hakuna anayeoona! Ni kwamba wanasubiri maafa yatokee ndio wachukue hatua? Wanasubiri mpaka watu wafe ndio wachukulie malalamiko ya...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania ☯️🔴🔵 VIJUE VIGEZO (17) VYA KUTOFAUTISHA MABASI (DARAJA LA KAWAIDA, DARAJA LA KATI NA LA KIFAHARI)

    Ukiwa na changamoto yoyote kwenye basi, wasiliana na LATRA 0800110020. MAGUFULI BUS TERMINAL 0734450010. Watu wengi au abiria bado hatuna elimu ya kutofautisha haya madaraja ya mabasi licha ya mamlaka kupanga nauli kulingana na vyombo husika bado tunahitaji uelimishwaji wa hali ya juu. Leo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kimara mwisho njia ya kuelekea Matosa imekuwa kero baada ya kutomaliza maboresho ya daraja lililopo nyuma ya chuo

    Na kusababish kero kubwa kwa wananchi ni bora hata wangeliacha lilelile daraja la mwanzo kwani ni kero tu hakuna matengenezo yyte yanayoendelea na njia imefungwa. Rais na mbunge wa Ubungo liangalie hili kwa jicho la tatu TUNATESEKA
  6. Dr Shekilango

    JamiiForums Tanzania Serikali ibadili mchoro wa Daraja la Jangwani mto msimbazi

    Nimeona Waziri wa TAMISEMI anasema kero ya mto msimbazi itatuliwa kwa miaka 100 ijayo! Ila iko hivi; Eneo la Jangwani ni muhimu sana kwa muonekano wa Jiji la Dar Es Salaam, Pamoja na serikali ya Rais Samia kukosa maamzi, ni serikali isiyofanya maamzi kwa muda na yenye watendaji wavivu sana...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Samahani kwa Kuuliza hivi Daraja Jipya la Mto Wami limeshazinduliwa? Na kama bado ni Kwanini?

    Kazi yangu Kubwa ni kusoma tu Comments zenu, ila popote pale ulipo Hayati John Pombe Magufuli Roho yako ilale mahala pema peponi. Amen.
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Picha: Daraja la Bilioni 7.2 Kibiti

    Kwa kweli hata sijui nianzie wapi kuongea, au basi.. ===== Wakazi wa Kata za Mbuchi na Mbwera Kibiti Mkoani Pwani wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Taznania Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Daraja la Mbuchi linalounganisha kata hizo ambao umegharimu shilingi bilioni 72.
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hiki ndiyo Kibao cha kuonyesha Nyerere Road Pale Tazara Daraja la Mfugale

    Great Thinkers Hii ndiyo bongo aka nchi ya watu wasielewa wanataka nini. Mimi naamini uwekaji wa mbao za anwani ya makazi ulikuwa ni ufisadi uliopitiliza. Acha akina isack.mwigulu waje wachukue usukani wa baba zao. Imagine hiki hapa ndiyo kibao kuonyesha nyerere road pale mfugale afu kuna...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ihefu iwe makini kucheza na Yanga, itashuka daraja

    Ihefu inatumia nguvu nyingi sana inayoweza kutumika kucheza mechi Saba na timu nyingine ndogo za ligi. Wanaingia uchovu wa kudumu baada ya kulazimisha kuifunga Yanga au Simba unasababisha kupoteza mechi 7 baada ya mechi na Yanga. Baada ya kuifunga Yanga wanaendelea kufurahi na kushangilia kwa...
  11. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 2000 hatimaye Mwanza yapata daraja la juu la kwanza

    Katika hali ya kushangaza na kufurahisha kwa wakati mmoja, hatimaye jiji la Mwanza linaingia katika orodha ya majiji ya kisasa yenye miundombinu ya kisasa. Katika eneo la Mkuyuni , beams zimeanza kupanda juu kuashiria kuanza rasmi maandalizi ya kutengeneza njia ya reli ya SGR. Daraja hili la...
  12. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Daraja kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo limefungwa

    Daraja la Mto Mpiji ambalo lipo mpakani na linalounganisha Wilaya ya Bagamoyo na Mkoa wa Dar es salaam limefungwa kutumiwa na Waendesha magari na vyombo vingine vya usafiri baada ya sehemu ya daraja hilo kutitia na kupelekea uwepo wa shimo kubwa ambalo linahatarisha usalama wa Watu. Kwa sasa...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi, Bashungwa Atoa Ufafanuzi Daraja la Kuunganisha Dar na Pwani: Litaanza Kutumika Kufikia Kesho Jioni

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa ufafanuzi wa Changamoto iliyotokea katika daraja linalounganisha mkoa wa Pwani na Dar es salaam katika barabara ya Tegeta kuelekea Bagamoyo kwa kueleza kuwa timu ya wataalam imeshafika kufanya tathimini ya daraja hilo. Bashungwa ametoa pole kwa...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri Mradi wa Bonde la Mto Msimbazi na Daraja la Jangwani tungewapa Waholanzi Watujengee

    Nimefurahishwa sana kusikia Waholanzi ndo waliotoa fedha za ujenzi wa Daraja la Jangwani. Nimefika Uholanzi. Na kwa waliofika Uholanzi watakubaliana na Mimi kule kuna hadi madaraja yanayojifungua na kujifungwa yenyewe. Sio hivyo tu wale jamaa nadhani ndo namba moja duniani kwa uwezo wa kujenga...
  15. Leak

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe umefikia hatua ya kujidhalilisha? Hakika umeanza kuchanganyikiwa

    HiVi Zitto kabwe huu aliofanya si zaidi ya uzalilishaji na ukandamizaji wa haki za binadamu! Hivi si dalili za Zitto kama kiongozi kuchanganyikiwa? --- Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha Kijiji cha Kalinzi Wilaya ya Kigoma, Khalid Isaa (kushoto) akimwongoza kiongozi wa chama cha...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yajenga Daraja Kuunganisha Vijiji Vinne Meatu, Simiyu.

    SERIKALI YAJENGA DARAJA KUUNGANISHA VIJIJI VINNE MEATU, SIMIYU Serikali Kupitia Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) imetoa kiasi cha shilingi Mil. 197 kwa ajili ya kujenga daraja la Mto Makomangwa linalounganisha vijiji vinne vya wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu. Awali wananchi...
  17. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Angalia jinsi uzinduzi wa kufungua daraja ulivyowaibisha hawa vigogo

    Hii sijui ni comedy au ni reality ila either way hii inajumuisha mustakabali wa miradi mingi ambayo inakuwa chini ya viwango katika nchi za kiafrika kutokana upigaji.
  18. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Je, Kanda ya Ziwa kutumika kama daraja la kuwavusha wanasiasa 2025 waliodiriki kumkejeli Hayati Magufuli?

    JE, KANDA YA ZIWA KUTUMIKA KAMA DARAJA LA KUWAVUSHA WANASIASA 2025 WALIODIRIKI KUMKEJELI DR JOHN POMBE MAGUFULI? Baada ya kifo cha marehemu Dr John Pombe Magufuli tuliona wanasiasa waliokuwa karibu yake na wengine ambao Leo hii wapo madarakani Kwa sababu yake walianza kumnanga na kumkejeli...
  19. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Ujenzi wa Daraja la Jangwani kuanza Desemba 2022

    Huwa sipendi maneno mengi
  20. Kennedy

    JamiiForums Tanzania Daraja La Kigongo ~ Busisi

    Kwasasa Daraja La Kigongo ~Busisi/Daraja La J Magufuli Linazidi Kupendeza Na Ama Kwahakika Suala La Uvukaji Litakuwa La Muda Mfupi Sana
Back
Top Bottom